Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimefuatilia game, city walianza kwa kumiliki mpira zaidi ya 30 mins walikuwa above 60% sasa tunaenda HT tunaongoza na possesion imekuwa kama sawa 53/47%
City wamechoka wamekamia hii game sasa inakula kwao
 
Chelsea hapa jukwaa limepoa sana utafikiri hatuko mbele ya bao moja.. Tatizo nini hatujiamini au...!
 
1622318339711.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom