Tatizo ni kuwa hatuwezi kufungwa na takataka kama Chelsea mara tatu mfululizo kudadekiii...


Yaan wachezaji wote wapo na moto ...


Mtajuta kuingia uwanjan nyie madogo wa darajani ,


Man city 3- 1chelsea


Come on city
Nakukumbusha kuwa hii nifainali na haina mrudio tunaomba msije mkatafuta visingizio kumbuka Chelseafc ni mpiganaji mzoefu ktk fainal hizi hajaanza leo,hivyo hatishwi na kitu chochote wala hana chakupoteza.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Nakukumbusha kuwa hii nifainali na haina mrudio tunaomba msije mkatafuta visingizio kumbuka Chelseafc ni mpiganaji mzoefu ktk fainal hizi hajaanza leo,hivyo hatishwi na kitu chochote wala hana chakupoteza.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mpiganaji mzoefu ??

Wazoefu ni kina drogba na walishaondoka ..

Kesho uwanjan wapo wale vinabo werner ,mount ,kai ambao hawajawai cheza final ya CL
 
Kesho muda kama huu tutampongeza/tutamlaumu TT kwa kikosi alichoweka, binafsi ntaenda kuangalia mechi kwa hofu kubwa.

TT amethibitisha uwepo wa Mendy na Kante watakuwepo. Natamani kesho mabeki wawe wanne ili angalau tuongezee ulinzi golini.

London is 💙💙💙
Alijaribu hiyo formation akaona haina matunda, hawezi itumia kesho.
 
We unakuaga na moto kabla ya mechi ila mchezo ukiisha unaletaga visingizio kua kilikua kikosi cha pili, mpigie pep mwambie kesho kiwekwe kikos cha kwanza hatutak kisingizio.

Kama kikos hakina Aguero City wamepotesa.
Unajua mara ngapi Aguero hajakuepo na City anashinda? Siku hizi mlinde Mahrez kuliko Jesus na Aguero.
 
“We will build a team that nobody wants to play against,” he said after the goalless draw with Wolves in his first game in charge
 
Line-up leo kwenye formation ya 3-4-3
Mabadiliko yawe hivi


Pulisic--------Giroud------- Werner

Alonso -- Mount --- Kante --- James

Rudiger ---- Silva ---- Azpilicueta

Mendy

Sub
  1. Kepa
  2. Chilwell
  3. Christansen
  4. Jorgninho***
  5. Kovacic***
  6. Havertz***
  7. Odoi***
  8. Ziyech***
  9. Tammy Abraham

*** Sub zitakazotumika kulingana na uhitaji
 
Hakuna unachokijua kuhusu soka kaa kimya baada ya mechi kuisha utanipa murejesho.

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Wewe ni kilaza tu ,chelsea anauzoefu gan CL wewe ,taja wachezaji 5 wameocheza final CL kwenye kikosi kinachocheza leo ...

Tatizo mnatembelea historia za 2012 ,wakati tupo 2021 ,..

Kaa ukijua unategemea kina werner ,mount kupata matokeo kenge wewe
 
Pep kesho ataingia uwanjani kwa kujilinda huku akishambulia kwa kushtukiza, nimemsikia akielezea jinsi chelsea inavyo cheza kwa sasa hivyo lazima aingie kwa kujilinda sana. Chelsea tunapata shida sana tukikutana na timu inayo jilinda sana inakuwa ngumu sana kupata goli, Pep alitizama mchezo wetu dhidi ya Villa hivyo lazima aende na ile mbinu. Naona kabisa hapo kesho Pep ataruhusu tumiliki mpira.

Pep akijichanganya tu atushambulie ama afanye high press amekwisha. Hiyo kitu asije akathubutu kabisa, ule ujinga wa kupeleka wachezaji wote kwenye lango la mpinzani kisha wachezaji wanapigana pasi hapo hapo golini kwako asije akafanya huo ujinga. Najua kabisa Pep amejua namna ya ku deal na sisi ila atapata shida sana hapo kesho.
Chelsea amestruggle kupata matokeo kwa timu zinazopaki basi ila siyo timu zinazofunguka.
 
City na Chelsea wako sawa nyuma na kati, tunatofautiana tu kule mbele, najua mashabiki wanaishi kwa imani zaidi kuliko waumini wa dini, ila mpira ni sayansi, kubahatisha ina nafasi ndogo na ndio hiyo nafasi ndogo kesho tutaitumia
Timu zinazofunguka hazitupagi shida.
 
  • Kesho ili tushinde, sharti City anyimwe kukaa na mpira hasa katikati na hasa KDB
  • Hata wakiposess sana ila iwe ni kwa mabeki tu
  • Pili Aguero asicheze
  • Tatu, Jorginho asicheze
  • Kante awe kwenye form hasa ile ya RM
  • Kule mbele Werner acheze na Ziyech au Pulisic au Havertz na wawe kwenye form
Wakifunguka wameisha. Defense ya chelsea ikicheza kama ile match tumewapiga 1 bila basi kesho tunashinda.
 
Kesho muda kama huu tutampongeza/tutamlaumu TT kwa kikosi alichoweka, binafsi ntaenda kuangalia mechi kwa hofu kubwa.

TT amethibitisha uwepo wa Mendy na Kante watakuwepo. Natamani kesho mabeki wawe wanne ili angalau tuongezee ulinzi golini.

London is
Mabeki wanne tulishafeli vibaya. Refer match na Leeds kama sijakosea. Huwa mnaangalia mipira kweli?
 
Unajua mara ngapi Aguero hajakuepo na City anashinda? Siku hizi mlinde Mahrez kuliko Jesus na Aguero.
Mahrez anakutana na mtu amevaa mask kule kushoto. Bwana Rudiger, amekuwa na roho mbaya sana sikuhizi.

3612.jpg
 
Line-up leo kwenye formation ya 3-4-3
Mabadiliko yawe hivi


Pulisic--------Giroud------- Werner

Alonso -- Mount --- Kante --- James

Rudiger ---- Silva ---- Azpilicueta

Mendy

Sub
  1. Kepa
  2. Chilwell
  3. Christansen
  4. Jorgninho***
  5. Kovacic***
  6. Havertz***
  7. Odoi***
  8. Ziyech***
  9. Tammy Abraham

*** Sub zitakazotumika kulingana na uhitaji
Hicho kiungo tutanyanyaswa sana.
 
Back
Top Bottom