Of course ban imetuathiri kiasi Fulani tusingekuwa na wachezaji hao ila kwa leo na history tulionayo naamini Bayern wataona pachungu Stamford bridge hata hao wachezaji unaowaona hawana quality Leo watapandisha viwango vyao.
Umeona sasa enh? Ndo nilichokuwa naongea. Huwezi tegemea history na wakati una matopolo uwanjani. Huwezi fananisha hiki kikosi na cha kina Cole, Drogba, Cech etc. Hawawezi fanya kitu kama kile wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna mchezaj hata wa sub anayeweza badilisha matokeo
Wachezaj wote tulionao ni average player wengine wanaonekana wabovu coz ya wenzao

Halaf ukiangalia ubora wa chelsea hii na bayern hii ni mkubwa sana hatuna wachezaj wakupambana na bayern kwa sasa sion shida yyt ya kocha kwa hii game bayern wako vizur kuanzia first eleven yao mpaka sub zao
Wewe sub yako una pedro,emerson,gilmour

Wenzako wana coutinho,goretzka,hernandez,toliso hao wote ni wachezaj wanaoweza kupa matokeo mda wowote

Kumlalamikia lampard kwa mechi ya leo ni sawa na kuamin kuwa leo tulikuwa tunashinda kwa lazima wakat nikitu cha uongo.

Sent using Jamii Forums mobile app
unapanga middle wote unashindwa hat kupata goli moja hakuna cha akina cotinho timu haichezi kwa kujitoa na moral
 
IMG_7818.JPG



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivyo vitoto vya Arsenal vinafurahia kwa sababu vyenyewe vilishindwa kwetu so kufanya ivyo vinahisi vinatukasirisha. Wakati huo huo wao wanasahau walishikishwa ukuta usiku mzima.

London is always blue.

Sent using Jamii Forums mobile app
naona vitoto vya chelsea vimeshikishwa ukuta usiku nusu naona,hahahaaaaa tena bila hata kukukuruka yaani inaonesha dhahiri vilivyokuwa vizoefu wa hiyo michezo,yaani vimetulia tu wanaume wanaweka.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
For Chelsea to beat *Bayern Munich* tonight, they need a squad like this:

*GOALKEEPER*
Jackie Chan

*DEFENDERS*
Schwarzenegger,
Syllivester Stallone(John Rambo),
May Weather
Shaggy

*MIDFIELDERS*
Manny Pacquiao,
Vladimir Putin(Captain)[Russia President],
Jet Lee
Mr Bean

*STRIKERS*
Usain Bolt
Stephen Chao

*Bench*
Tyson Fury
John Wick



*COACH*
Donald Trump
 
Back
Top Bottom