Injury Updates
Christensen and Kante are doubts while there’s hopes Kovacic will be okay to face Newcastle.
 
Dah kumbe Chelsea vimepita vyuma vya Atari ivyo!!
Aiseeeh humu kumbe kuna vitoto eeenhhhh hahaha sasa kama hukumbuki kama crespo na gudjohson wamepita hapo..daaaaahhh sina mengi ngoja ninyamaze...

Ila hii chelsea ni timu ya vitoto mno...muwe munasomaga hata google huko na wikipedia historia ya kitimu chenu,sio kuja kujidhalilisha hapa
 
Hahaha sisi hatuishi kwa historia kama nyie mkuu ..sisi tunatengeneza mpya, nyie bakini na za akina Thierry Henry uko cjui nani ..yani hamna kipya mnachofanya..hahaha
 
Hivi Combined kati ya Liverpool na Chelsea kikosi kitakuwaje? Mimi naona liver wataingiza wachezaji wa nne tu ..waliobaki wote watatoka Chelsea..
 
Aiseeeh humu kumbe kuna vitoto eeenhhhh hahaha sasa kama hukumbuki kama crespo na gudjohson wamepita hapo..daaaaahhh sina mengi ngoja ninyamaze...

Ila hii chelsea ni timu ya vitoto mno...muwe munasomaga hata google huko na wikipedia historia ya kitimu chenu,sio kuja kujidhalilisha hapa
Kwan kam wakiwa n vtoto au wakubwa ww inakuuma nn.ww fanya yako cio unaingilia mambo ambayo haya kuhusu.hii n kwa ajl ya chelsea ww mshabk wa arsenal nenda kwny thread yako.rubbish ww
 
Tena wewe sidhani kama hata unajua kama cecs fabrigas,ramires,oscar,lampard,sarah,na filipe luis walishawahi chezea chelsea maana umekuja kwa hasira...utafikiri mbogo hahahahaaaaaaa ukweli unauma eti eeehhh

Wenzio tumeanza kukijua haka katimu kako kadogo hapo londo toka enzi za kina Gianfranco Zolla,Viari,Dan Petrescu na Tole andre Fro..sasa ukisikia tunakaongelea haka katimu kako ujue kuwa tunakafahamu vizuri,

Sio wewe uliekajua juzi kipindi cha kina kante, shubamitt

Alafu usinipangie pakucomment hii JF ni jukwaa huru ingekuwa haturusiwi sisi waahabiki wa timu kubwakubwa kuja katika nyuzi za timu ndogo Mods wangeweka hizo sheria...sawa dogo
 
Hakuna mtu anaitwa Sarah amewahi kuichezea chelsea.
 
Ahahah etty sarah yan umepanik had unakosea kuandk punguza povu ukavae nep.

Ya kwak yamekushnd kazi kufuatlia ya wenzako ndo maan wabongo mnakosa maendeleo coz ya kufuatlia ya wenzen wny maendeleo.

Na hata hvy cwez bshan na mtoto kama ww ambaye bado unavaa pampers na unajkojolea hovy ktandan
 
IMG_6468.JPG
 
Sarah tangu lini akachezea Chelsea ya wanaume?
 
Ahahah etty sarah yan umepanik had unakosea kuandk punguza povu ukavae nep.

Ya kwak yamekushnd kazi kufuatlia ya wenzako ndo maan wabongo mnakosa maendeleo coz ya kufuatlia ya wenzen wny maendeleo.

Na hata hvy cwez bshan na mtoto kama ww ambaye bado unavaa pampers na unajkojolea hovy ktandan
Tatizo lenu kubwa sana hapa nyie vitoto mkikosa hoja za kusimamia mnakomaa ktk lugha na makosa ya uandishi hahahaaa hiyo ni spelling error....na hili ni jukwaa la kitimu kidogo cha london na sio darasa la sarufi....

Hahahaaaaaaa
 
Aiseeeh humu kumbe kuna vitoto eeenhhhh hahaha sasa kama hukumbuki kama crespo na gudjohson wamepita hapo..daaaaahhh sina mengi ngoja ninyamaze...

Ila hii chelsea ni timu ya vitoto mno...muwe munasomaga hata google huko na wikipedia historia ya kitimu chenu,sio kuja kujidhalilisha hapa
UJINGA HADI UNAMWAGIKIA KWA HIYO WALIOZALIWA 2002 NI DHAMBI KUWA CFC FAN
 
Back
Top Bottom