rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,503
- 41,934
Liverpool na chelsea taka taka kabisaa Bora Man uHahaa.. Maisha haya bhana. Eti leo hii Chelsea inamdhalilisha Arsenal
Vituko vingine hivi
Liverpool na chelsea taka taka kabisaa Bora Man uHahaa.. Maisha haya bhana. Eti leo hii Chelsea inamdhalilisha Arsenal
Vituko vingine hivi
Nenda huko kwenye futuhi yenu,Man U yako ingekuwa bora kuliko Liver na Chelsea mbona unashiriki mashindano ya futuhi?Liverpool na chelsea taka taka kabisaa Bora Man u
Sasa si bora kuliko kudhalilikaaNenda huko kwenye futuhi yenu,Man U yako ingekuwa bora kuliko Liver na Chelsea mbona unashiriki mashindano ya futuhi?
Analeta uingereza haiwezekani pulisic anasugua benchi unaingiza garasa
Hili kund niliwaambia ni gumu , kuna hatari mkashika mkia au tukawapokea Europa
Hilo kund lina vichaa watupu
Lille sio kilaza kama wengi mnavyodhani
Unajua kuwa goli la jana limekuja baada ya Zuma kuondoka? Hata kama humpendi mtu, it's better to be fairyeye na zouma ni mashine za kuturudisha nyuma wanaumia wachezaji wazuri Rudiger,Mount ,Kante Hawa wasiojua wanatamba tu
Utashangaa arsenal msimu ujao mnamchukua kisa alifunga Chelsea ..rodrigo ni raia wa nchi gani wakuu?
Huwezi kumlinganisha Giroud na Batshuayi , kwa sasa bado Giroud ni bora Zaidi ya Batshuayi hata asipofunga magoliOlivier Giroud vs mitchy batshuay
Nani bora Zaidi?
Hazard alizwa 3-0, ndoto ya Ballon d'or yaanza kwa ukakasi
Dimaria na K Navas waonyesha hasira yao kwa RM
Io kwel Kama Jana kipindi Cha pili hazard Kun mda alishuka jini ili kutafuta mipira,lkn alivo kuwa Chelsea alkuwa free prayer ancheza anakotaka yeye mipra anapewa yey, uku Madrid hamna kitu Kama icho,,Jana mechi yote kapiga shuti moja nalo Ni off Target dribble zake hazijazd Kum,Maneno ya Peter Crouch: "Hazard at Chelsea was one of the top five players in the world but watching him tonight he didn't look it," Crouch said.
"At Chelsea he was the main man and everyone was giving him the ball from everywhere. He won't get that at Madrid until he earns it."
Nahisi yana ukweli Ndani Yake! Eti Real hapewi Mpira (Pasi) mpaka autafute!!! Ha ha ha ha ha
Hata hazard sioni akipta anwchohitaji madrid...Courtois wa Chelsea siyo huyu wa Madrid
Ila hazard naona akirudi chelsea kama ataondoka madrid.Hata hazard sioni akipta anwchohitaji madrid...
Bora angebaki na madogo amake history
Huyu jamaa maisha yake yanaweza kuwa magumu sana mbeleni.Courtois wa Chelsea siyo huyu wa Madrid
Hata mimi namwona kabisa pale darajaniIla hazard naona akirudi chelsea kama ataondoka madrid.
Arudi tu nyumbani kwa sababu aliondoka vizuri tutampokea hata kwa mkopo aje kusaidiana na Mount pamoja na Tammy. Kwa assist za Hazard Tammy atakuwa hatari zaidiHata mimi namwona kabisa pale darajani