Chelsea wakiwa sokoni hakuna timu inaweza kushindanna nao
Liverpool kwa mfano
- Liverpool walishindwa kumsajili Mo salah 2014 akachukuliwa na Chelsea mpaka hapo baadaye Salah alipoondoka baada ya kukosa muda wa kutosha kwenye First XI
- Willian 2013 pia Chelsea walimyakua mdomoni mwa Liverpool
- Remy 2014 alikuwa anaingia Anfield na dakika ya mwisho wababe wa manunuzi wakiingilia kati na kumdaka
- 2013 tena Liverpool walikuwa wamsajili Diego Costa kutoka A Madrid lakini Chelsea hao wakadaka jembe mwaka 2014
- 2017 Liverpol walikuwa wamsajili Emerson lakini wakashindwa bei ya karibu mil 20 wakaamua kwenda kwa Roberston wa mil 8 na Chelsea mwaka uliofuata wao wakamchukua kwa mil 18
- Klopp alikuwa ni mpenzi sana wa Pulisic na alipohamia Liverpool ilikuwa wamchukue kama winger wao lakini baada ya form ya Mane na Salah kuwa juu wakaamua kumuacha Chelsea wao wakaingi na mihela kibao
Wao Liverpool wakatupiga kibao kwa VVD ambaye Chelsea walikwishamuweka kwenye radar kama replacement ya akina Terry - Soo bad tungempata huyo Leo hii tungekuwa tunacompete kwenye tittle race
Yani Liverpool ya 2014 ndiyo unaifananisha na hii ya Leo?
Unaishi kwenye Sayari gani wewe bro?
Unadhani Liverpool ya 2014 VVD angeiwacha Man City na Chelsea zilizokuwa zikimtaka na kuja Liverpool??
Liverpool ya 2014 unadhani Alisson angelikuja kujiunga??
Hiyo Liverpool uliyokuwa ukitupokonya wachezaji usidhani kama ndiyo hii ya sasa.
Sasahivi nasisi tupo very powerful kwenye Soko.
Kwa hapo uengereza linapokuja suala la kugombania Mchezaji kwasasa hakuna Timu ya kutuzidi! Labda Timu iweke Mshahara Mkubwa kuliko tutakaomuekea sisi huyu Mchezaji.
Nakushauri uhame kutoka mwaka 2014 na uishi katika mwaka 2019 huu tuliopo.
Mwaka 2014 ilikuwa hata wachezaji average tunapowataka walikuwa hawatutaki wanatukimbia!
Lakini sasahivi ni sisi ndiyo tunaowakataa wachezaji, Sio sisi tena tunaokataliwa.
Mfano:
1) Tulimtaka Fekir baadae akakataliwa kwenye vipimo vya Afya
2) Tulimtaka Pulisic mwisho tukafika ÂŁ15m, Dortmund walipotaka ÂŁ55m Klopp akaachananae na kumpotezea kabisa
3) Tulimtaka Joginho kabla ya Man City na Chelsea, Klopp alipoona Napoli wanafanya Mbwembwe kumpandisha dau kila siku! Kaamua kumpotezea kaenda kwa Fabinho.
Hao niliowataja wote walikuwa wanalia na kutamani usiku na Mchana lakini Klopp kaamua kuondosha interest kwao.
Kwahiyo kwasasa usijigambe huna Chelsea haina uwezo wa kupambana na Liverpool kwenye soko la kugombania Mchezaji.
Sio VVD tu, hata Chamberlain kumbuka mulimtaka nyinyi Chelsea mwanzo akawakatalia akaichagua Liverpool hii ikionesha kuwa Tumeshafanya Mapinduzi kwenye Soko la usajili.
Hatupo tena kwenye mwaka 2014 Ndugu be realistic