Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Haya ndio maajabu tunaongelea mashindano mazito kabisa ulaya unaleta vituko tafuta pa kushika huku sio saizi yenu huku ni mabingwa wa ulaya, ukiwa arsenal mitazamo, maisha, akili inakuwa useless
wewe na valencia ni mabingwa wa nini?hahahahahahaha nimecheka sana
 
wewe na valencia ni mabingwa wa nini?hahahahahahaha nimecheka sana
Ntakupa elimu utaelewa tu kwenye mashindano kuna mshindi wa 1,2,3 ,Chelsea ni mshindi wa 3 epl pia ni bingwa wa europa msisitizo uko palepale tumia akili za kichwani unufaike
 
Ulimpiga mashindano gani ?unafunga team unajisifu halafu unaishia kufungwa final chuma 4, kuwa serious, Valencia katufunga sisi tulikukanda 4, tumia akili vizuri
hili ni povu zitozito ila kamwe halitopindua matokeo ya jana kuwa jamaa wamewatoboa tundu darajani mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....kesi kubwa sana hii,yaani game ya kwanza tu unaachia aaaaaaaaahhh munatudharaulisha majirani
 
Ntakupa elimu utaelewa tu kwenye mashindano kuna mshindi wa 1,2,3 ,Chelsea ni mshindi wa 3 epl pia ni bingwa wa europa msisitizo uko palepale tumia akili za kichwani unufaike
wewe toa povu ila ukiamka matokeo yatabakia vilevile

chelsick 0 valencia 1

ukibisha naongeza sauti
 
hili ni povu zitozito ila kamwe halitopindua matokeo ya jana kuwa jamaa wamewatoboa tundu darajani mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....kesi kubwa sana hii,yaani game ya kwanza tu unaachia aaaaaaaaahhh munatudharaulisha majirani
Naendelea kujenga nchi ntarudi badae kukupatia elimu.
 
Alitapatapa sana kabla ya kufa. Tugawe chai kwa makini waombolezaji ni wengi jamani!

na kwa tamaduni zetu sisi wabantu msiba unapotokea sisi watani tunabeba jukumu letu ili kufariji wafiwa

kheeee kheeeeeeeee kheeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeee

RIP ze blauzi
 
Naendelea kujenga nchi ntarudi badae kukupatia elimu.
hahahah sasa hapo umekosea sio unajenga nchi sema tu ukweli kuwa unahangaika kuziba tundu lililotobolewa na valencia jana ila hilo usipokuwa makini hutorudi tena hapa maana itakuchukua wiki nzima kuliziba
 
1568416413133.png
 
1568416915967.png
golikipa ghali ulimwenguni ambaye liverpool hawakumjua,real madrid na barcelona hawafahamu kama alikuwa yupo spain,arsenal hawakumuona ,hahahahahahahahaha vituko havitoisha duniani
 
FUNGA BAKULI LAKO, KAPIGENI UMBEA HUKO FUTUHI. UEFA TUACHIE MABINGWA BADO MATCH 7 KWENYE KUNDI
hhahahahah ni lazima mupagawe chezea kichapo tena cha home?lazima mujiongezee mechi kudadadek eti bado mechi 7 hizo mechi labda mucheze na NAMUNGO FC, na NJOMBE MJI
 
hahahhhahha usinichekeshe mkuu, pale Emirates atacheza namba ya nani huyu galasa wenu?
Huyo ni kiungo wa England National Team iliyofanya vizuri kwenye kombe la dunia na anapata namba huko, Chelsea alicheza Europa akawabamiza, EPL alicheza sana akaiwezesha Chelsea kushika no. 3 timu ya tatu kwa ubora EPL, nyie hata Europa tu mlishindwa, EPL namba 5, hata mickeymous cup hamna. Sasa niambie ni nani pale Arsenal atamnyima namba Ross?
 
hahahahah usitake kuchekesha walionuna mkuu ndugu yangu Barkley ameachwa mbali sana tena mbali mno na Dani Ceballos mashine ya kazi.....sasa kama huyo tu hawezi kumweka bench atamweka bench Mesut?mkiwa mmechanganyikiwa na matokeo msijiingize katika battle mnajidhalilisha,huyu barkley ni overrated mno tena mnoooooooooooooooooooo na ndio kawaida ya wachezaji wa kiingereza kuwa hivyo nikiangalia mishemishe za Mapinduzi Balama wa pale Yanga huwaga nashangaa sana kwanini hivi vitu vinatokea yaani ila dah......tumwachie MUNGU
 
Dk 1 baada ya Zouma kutolewa na kuingizwa Giroud, Chelsea wanafungwa
Dk za lala salama Chelsea wanapata penalty halafu mtu asiyeserious Barkley anagh'agh'ania kupiga penalty badal ya Willian au Jorginho
Yote haya ni makossa ya kocha ngoja tusubiri labda hili la kumuondoa defender na kumuweka mshambuliaji litakoma na pia wapigaji wa penalty kubadilishwa hovyo naman hii litabadilishwa pia

Kutoka Defender na kuingia Striker ile ilikuwa ni Game plan (Plan B) ya Kocha kwani alihitaji ushindi zaidi kuliko kujilinda kwa Draw

Bahati mbaya game plan yake haikuwa na positive feedback lakini kwa mtazamo wangu alikuwa sahihi plan aliyoifanya ya kutafuta ushindi bahati mbaya haikufanya kazi tu.

Na kuhusu Barkley kung'ang'ana kupiga Tuta unamaanisha hakupata maelekezo kutoka kwa Kocha wala Captain kuwa apige yeye bali alikumbatia mpira kwa Nguvu au?
 
hili ni povu zitozito ila kamwe halitopindua matokeo ya jana kuwa jamaa wamewatoboa tundu darajani mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....kesi kubwa sana hii,yaani game ya kwanza tu unaachia aaaaaaaaahhh munatudharaulisha majirani
Hahaa.. Maisha haya bhana. Eti leo hii Chelsea inamdhalilisha Arsenal

Vituko vingine hivi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom