kituko ni nini?

kituko ni kumcheka mbabe wa London kudroo alafu wewe unakuja kutobolewa tundu na valencia.

vituko havitoisha duniani
 
tukizungumza kuhusu UEFA hakuna kitu unajua wewe na ka arsenal seriousless kaeni pembeni mambo ya wakubwa haya
huyo valencia ambaye wewe kakufanya vibaya hapo kwako mimi nilipiga in and out.....kubali kuwa wewe ni underCAT
 
kituko ni nini?

kituko ni kumcheka mbabe wa London kudroo alafu wewe unakuja kutobolewa tundu na valencia.

vituko havitoisha duniani
Haya ndio maajabu tunaongelea mashindano mazito kabisa ulaya unaleta vituko tafuta pa kushika huku sio saizi yenu huku ni mabingwa wa ulaya, ukiwa arsenal mitazamo, maisha, akili inakuwa useless
 
huyo valencia ambaye wewe kakufanya vibaya hapo kwako mimi nilipiga in and out.....kubali kuwa wewe ni underCAT
Ulimpiga mashindano gani ?unafunga team unajisifu halafu unaishia kufungwa final chuma 4, kuwa serious, Valencia katufunga sisi tulikukanda 4, tumia akili vizuri
 
Back
Top Bottom