mart66
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 610
- 691
Io ni kwa miaka mitano nyuma ukichukua miak Kum Chelsea Yuko juu kuliko arsenal
Io ni kwa miaka mitano nyuma ukichukua miak Kum Chelsea Yuko juu kuliko arsenal
CLUB 5 BORA DUNIANI KWA KIPINDI CHA MIAKA 10 View attachment 1204204
Chelsea ni Calinlbre ya Dortmund kama alivyoekwa hapo na huo ndiyo ukweli ingawa wenyewe Watapinga
Chuki inakusumbua mjuba.Chelsea ni Calinlbre ya Dortmund kama alivyoekwa hapo na huo ndiyo ukweli ingawa wenyewe Watapinga
Chuki inakusumbua mjuba.View attachment 1204324
Kama ni domestic cup basi hata Chelsea alistahili kuwepo ndani ya hiyo top 10. Nadhani kilicho angaliwa hapo ni ushiriki wa mara kwa mara wa mashindano ya UEFA na Europa League. Kwa sababu kuna msimu sisi hatukushiriki yote kati ya hayo mashindano na hatua ambazo timu imefikia so imepelekea kuwa na point chache.Yani nyinyi kwa kujiokotea vijipost vya chochoroni mukavifanya ndiyo reference zenu hamuwezekani!!!!
Halafu tukiwachallenge baazi ya washabiki wenzake wanaanza kutuattack kwa kituita "HATUNA AKILI" "MAZUMBUKUKU" "HATUJIELEWI" "HATUJUI KITU" "HATUNA LOLOTE" !!
Hivi hata hutilii wasiwasi hutilii doubt hiyo screen shot kumueka Barcelona kwenye kundi la G.O.A.T ?
Hapo G.O.A.T ni Real Madrid tu pekeyake.
Huyo Barcelona ni wakawaida sana! Ni sahihi kuwa anaingia kwenye kundi la GIANTS.
Nenda kwenye Link ya UEFA utaona Ranking zao mpya walizotoa zipo hivi ↓↓
1/ Real Madrid
2/ Atletico Madrid
3/ Barcelona
4/ Bayern Munich
5/ Juventus
6/ Man City
7/ PSG
8/ Liverpool
9/ Arsenal
10/ Man United
Nilitaka kujiuliza kwanini kuna timu zipo mbele ya Liverpool hapo? Lakini nikahisi pengine ni kwasababu ya kubeba Domestic cups za Ligi zao mfululizo.
Lakini still najiuliza Kwanini Real na Atletico wapo hapo juu kwa hii current Ranking!!!!!!
@lembu ubabishana na UEFA ? hao wenyewe wanajua unabahatisha ,na wanajua kuanzia msimu huu kuna uwezekano Chelsea ikaenda championship na huko UCL ikashika mkia kwenye hilo kundi, unadhan UEFA hawajui hiloHivi wewe Ngwaba unatumia akili ya wapi maana Aroon tunajua anatumia akili ipi? Arsenal hizo Ranks anazitoa wapi, Arsenal angekuwa mrembo tungesema ni kwa sababu ya sura nzuri kapendeza lakini ranks za UEFA zinatolewa kwa point sasa Arsenal hata Europa tulimponda hizo ranks ebu tujuzeni sisi washamba wanazipataje na sura nzuri hana
Kama ni domestic cup basi hata Chelsea alistahili kuwepo ndani ya hiyo top 10. Nadhani kilicho angaliwa hapo ni ushiriki wa mara kwa mara wa mashindano ya UEFA na Europa League. Kwa sababu kuna msimu sisi hatukushiriki yote kati ya hayo mashindano na hatua ambazo timu imefikia so imepelekea kuwa na point chache.
Kuhusiana na hiyo screenshot, Barcelona yupo hapo kwa sababu ya ushiriki wake kwenye mashindano tofauti na umewaletea pia tija. Kwa mfano kwa kipindi cha ivi karibuni wamechukua La Liga mfululizo pamoja na Copa Delrel pia UCL kwa kipindi cha miaka 10 wao wamechukua mara 3 kama sikosei ndio imepelekea kuwekwa nafasi hiyo.
Katika kipindi cha miaka 10 Atletico ana makombe matatu ya Europa League (Micky Mouse) pia alichukua Super Cup kwa Madrid nadhani nafasi aliyopo anastahili ila Tot na Arsenal sioni sababu wao kuwepo kwenye hizo nafasi.Atletico ????
With Zero Trophy????
Ni timu bora ya PILI barani Ulaya?
Acha ushabiki maandazi,Katika kipindi cha miaka 10 Atletico ana makombe matatu ya Europa League (Micky Mouse) pia alichukua Super Cup kwa Madrid nadhani nafasi aliyopo anastahili ila Tot na Arsenal sioni sababu wao kuwepo kwenye hizo nafasi.
KUFIKIA 2022 ,Chelsea itakuwa sawa na GWAMBINA YA PASTA ATHANAS
Real Madrid na Chelsea wameafikiana makubaliano ya uhamisho wa kiungo N’Golo Kante, 28, ambapo klabu hiyo itaambia klabu hiyo ya Uhispania iwapo watapokea maombi yoyote ya mchezaji huyo wa Ufaransa. (Defensa Central, via Express)N'golo Kante