Cleansheet haziamui ubora wa goli kipa
Goalkeeper pekee mwenye ballon D'or Levy Yashin aliwahi kusema mwaka 1966;
"a good enough goalkeeper is measured through his task which is only goalkeeping. "
FIFA hawajaangalia kigezo cha clean sheets as a priority bali wameangalia total saves pamoja na save percentage (%) kwa ujumla ambazo ndio moja ya task kubwa kwenye goalkeeping.
-
Wengi wa mashabiki wa Chelsea wanaamini kwamba Jan oblak, na De gea kuwekwa bora au juu ya kepa wamependelewa kwa kuwa hawakushinda kombe lolote last season tofauti na kepa kitu ambacho si kigezo cha FIFA kilichotumika kuwapata.
.
kama mnayo kumbukumbu nilishawahi kusema kepa sio golikipa bali tumeuziwa muanzisha mashambulizi..
.
View attachment 1203374