eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Michy batshuay arudi na apewe nafasi
Kwa maoni yangu...ningependa safu ya ushambuliaji wawepo Higuan, Tammy, na Michy alafu wapewe nafasi ya kwanza Higuan na Tammy, Luiz anatakiwa apumzike acheze mechi za FA, nafasi ya nyuma wawepo Matt ..Rudiger..Chriatian...Sarri amwangalie Victor kwa jicho ya pili sasa.Michy batshuay arudi na apewe nafasi
Giroud bado anatufaa sana mkuu. Jamaa afungi lakin uwepo wake ni muhimu ..kwanza ana nyota ya kubeba makombe..Gonzalo higuain abaki, Ila giroud asepe tu
Striker msimu mzima wa EPL ana goli mbili tu
Kwa maoni yangu...ningependa safu ya ushambuliaji wawepo Higuan, Tammy, na Michy alafu wapewe nafasi ya kwanza Higuan na Tammy, Luiz anatakiwa apumzike acheze mechi za FA, nafasi ya nyuma wawepo Matt ..Rudiger..Chriatian...Sarri amwangalie Victor kwa jicho ya pili sasa.
Kante arudi nyuma nafadi ya sita..kama Joginyho hawezi kukaa 8
basi awe anabadilishana na Bankley la sivyo aondoke make ameshindwa kuendesha timu mbele akiwa nyuma. Wachezaji wanamoto wa kwenda mbele na nafasi zipo yeye anarudisha mipira nyuma.
Hahahaa ana nyota ya makombeGiroud bado anatufaa sana mkuu. Jamaa afungi lakin uwepo wake ni muhimu ..kwanza ana nyota ya kubeba makombe..
Ndg, ni timu mbili, hii ya Leicester ni ajali, wangechukua mara ya pili tungesema nao wanapokezanaTangu mwaka 2014 ni team tatu tu EPL zilizokuwa zikipokezana ubingwa
Man city Mara 3
Chelsea Mara 2
Leicester city Mara 1
Luiz bado ni chaguo langu pamoja na errors chache anazozifanya. Yuko more technical than Andreas na Rudidger combined na ndio maana kama ukifuatilia wakicheza na Rudidger huwa anamtegemea sana Luiz kwa maamuzi ya mpira. Mimi huwa nawafuatilia sana. Rudidger hapigi mpira mbele bila ya kurudisha kwa Luiz, Labda Luiz akistahafu Rudidger atakuwa na uzoefu wa kujiamini. Andreas ni mwepesi lakini bado anatakiwa kukomaa na maamuzi. Akiwa na mpira bado decision making yake sio bora kama ya hao wenzake hapo nyuma. Kwa maoni yangu Andreas aongezewe muda wa kucheza lakin I akitokea Benji na aanze mechi kadhaa wa kadhaKwa maoni yangu...ningependa safu ya ushambuliaji wawepo Higuan, Tammy, na Michy alafu wapewe nafasi ya kwanza Higuan na Tammy, Luiz anatakiwa apumzike acheze mechi za FA, nafasi ya nyuma wawepo Matt ..Rudiger..Chriatian...Sarri amwangalie Victor kwa jicho ya pili sasa.
Kante arudi nyuma nafadi ya sita..kama Joginyho hawezi kukaa 8
basi awe anabadilishana na Bankley la sivyo aondoke make ameshindwa kuendesha timu mbele akiwa nyuma. Wachezaji wanamoto wa kwenda mbele na nafasi zipo yeye anarudisha mipira nyuma.
Badilsiha hiiChelsea Trophies:
Full name: Chelsea Football Club
Nickname(s): The Blues, The Pensioners
Founded: 10 March 1905
League: Premier League
Website: ChelseaFC.com
View attachment 450996
Ground: Stamford Bridge, (Capacity: 41,663) - Pitch 103m x 67m
View attachment 450991
Owner: Roman Abramovich
View attachment 450993
Chairman: Bruce Buck
View attachment 822913
Head Coach: Maurizio Sarri
League Tittles: 6
Premier League Champions: 5 (2016/17, 2014/15, 2009/10, 2005/06, 2004/05)
First Division Championship: 1 (1954/55)
European Trophies: 5
UEFA Champions League: 1 (2011/12)
UEFA Europa League: 1 (2012/13)
UEFA Super Cup: 1 (1998)
UEFA Cup Winners': 2 (1997/98, 19970/71)
FA Cup Trophies: 8 (2018, 2012, 2010, 2009, 2007, 2000, 1997, 1970)
League Cup: 5 (2014/15, 2006/07, 2004/05, 1997/98, 1964/65)
Community Shield: 4
FA Community Shield: 2 (2009, 2005)
FA Charity Cup: 2 (2000, 1955)
Other Trophies
Second Division Championship: 2 (1988/89, 1983/84)
Full Members Cup: 2 (1989/90, 1985/86)
View attachment 794454
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned The Emirate FA Cup Winners(2018)
View attachment 512734
Chelsea Football Club celebrate as they Crowned Premier League Champions (2016/17)
View attachment 663322
Chelsea FC Squad (2017/18)
Follow this thread for team updates!
Kwa maoni yangu wote wawili wamechoka ila afadhali Giroud kidogo anacheza, chini, kati na hewaniGonzalo higuain abaki, Ila giroud asepe tu
Striker msimu mzima wa EPL ana goli mbili tu
Cheek na yeye umemuweka kwenye hii orodha mkuu?Kocha itabidi amrudishe Tammy Abraham kwenye safu yake ya ushambuliaji...ila awambie kabisa wale watoto Hodoi..Cheek na Joginhyo waache uyoto wanapokua uwanjani make kuna wakati wanacheza kama wale watoto wa Man Utd
Mkuu uoni mipira mingi Cheek anachelewa kutoa maamuzi haraka na mwisho wa siku nafasi zinazibwa? jaribu kuangalia mchezaji maamuzi ya kutoa mpira mguuni anaufanya wakati gani na kwanini?Cheek na yeye umemuweka kwenye hii orodha mkuu?
Cheek ana possession nzuri, stable, ni kiungo mfungaji, hiyo ya kuvuta miguu kaimprove sana na msimu ujao akipewa mechi nyingi Zaidi, Cheek utampenda bure. Kama unafuatilia vizuri Cheek ni kama Hazard akiingia anabadilisha mwenendo wa mpira, mashambulizi yanaongezeka. Kati ya wachezaji Sarri hatakubali kuwapoteza mojawapo ni CheekMkuu uoni mipira mingi Cheek anachelewa kutoa maamuzi haraka na mwisho wa siku nafasi zinazibwa? jaribu kuangalia mchezaji maamuzi ya kutoa mpira mguuni anaufanya wakati gani na kwanini?
Gonzalo kaja juzi tu kafunga Mara 5Kwa maoni yangu wote wawili wamechoka ila afadhali Giroud kidogo anacheza, chini, kati na hewani
Pia Giroud anaweza kufunga kwenye mazingira magumu tofauti na Higuaín ambaye anahitaji kutengenezewa mpira mzuri sana ndio afunge
Acheni majungu nyinyi huyu OG anaongoza kule europa kwa kutupia unamfananisha na kibonge?Gonzalo kaja juzi tu kafunga Mara 5
MPE heshima yake mkuu
Taarifa zake tunazo mkuu wala usijali
Baada ya final za Europa league ataenda madrid
Kuongoza Europa sio shida, nazungumzia EPLAcheni majungu nyinyi huyu OG anaongoza kule europa kwa kutupia unamfananisha na kibonge?