Kazi kwelikweli! Kwenye mfumo wa Sarri kazi ya kukaba ni ya Kante?? Means Kante anacheza nyuma ya Joginho?
Kukariri ni shida kweli!
Bora Mimi niiishie hapa wewe endelea kuamini unachokiamini
Lakwanza ufahamu ni kuwa Jorginho hachezi Dm bali anacheza CM. na Cm kazi yake sikukaba. Jorginho ni deep laying player maker nahio ndio kazi yake kuu. Kazi ya kukaba ni kazi ya Kante ambaye ancheza covering. kuufahamu football inataka kazi kidogo fungua bongo lako mkuu. Na licha ya yote hayo bado Statistic zinaonesha bado Jorginho yupo juu hata kwenye kuzuia. hebu zitizame vizuri. Na pia yeye ndie aneongoza kupiga pasi nyingi ndani ya PL msimu mzima.
Katika mfumo wa Sarri kuna 4-3-3 za aina tatu
1) Defensive 4-3-3 ambapo Kante na mwenzake wanabaki nyuma ya Jourginho na kwa mfumo huu Jourginho anakuwa na role ya Attacking Midfielder
2) Aina ya pili ya 4-3-3 ni offensive style ambapo Jourginho anakuwa nyuma ya Kante na mwenzake. Kwa style hii Jourgninho anakuwa DM na Kante na mwenzake wanakuwa Atatcking Midfielders.
3) Aina ya tatu ya 4-3-3 ni Defensive and Offesnive kwa pamoja, katika approach hii, Jourginmho anacheza kama CM ambapo anasaidia defensive roles na hapo hapo anasaidia offensive roles - Sarri ball kwa percent kubwa inaangukua hii ya 3
Hata na hivyo hizi approach zote za 4-3-3 inategemea sana timu inacheza na opponent wa namna gani
Kwa hiyo hakuna jina maalum la kusema Jourginho anacheza kama CM au DM, yote inamfaa japokuwa mara nyingi anacheza CM roles ambayo anakaba na kushambulia kwa wakati mmoja
So Jourginho ana roles hizi
- Clear opponents attacks, kusafisha lose balls kwenye eneo lake na kusaidia kwa ujumla defensive line- defensive roles
- Create the zone of possession katikati kwa kuwanyanganya opponents mipira kwa ku-intercept au kwa njia yeyote na kutoa pasi fupi fupi za haraka, normally hizi ndio zinaitwa sidway passes
- Kupeleka mipira mbele kwenye mashambulizi - forward/deep passes or long ball passes- Attacking roles
Ni kweli kama anavyosema Ngwaba Jourginho huko nyuma akizidiwa alikuwa hawezi kudefend na ndio maana mashabiki walilia sana Kante arudi katika hiyo role
Jourginho kabadilika sana kwenye mechi 5 zilziopita ameweza kudeliver roles hizo zote hapo juu na ndio maana ukifuatilia ratings za wachezaji baada ya mechi utagundua kuwa Jourginho yupo top kwenye performance
Sample za rating hizi hapa source Skysports na FootballLondon
- VS Man U alkuwa na rating ya 7 among the top performance
- VS Eintracht first leg alipata 7.2 yeye na Kante, aliyeng'ara alikuwa RLC kwa point 8, Jourginho bado alikuwa mzuri
- Vs Watford alikuwa far better than even Hazard kwa point 9 wakati Hazard alipata 8
- VS Eintracht second leg alipata 8 yeye na Kepa tu
- VS Leicester City alikuwa na top rating ya 8 kuliko wachezaji wote
Kuzipata hizi rating wewe andika kwenye google
Chelsea Vs [Opponent name] Player Ratings
Matokeo yakija chagua kulingana na source na tarehe AU control matokeo (search results) kwa tarehe kwa kutumia Google tool