walau mjitingishe tu ili mtutoe hofu kuwa hamjafa,maana dunia hii imechange sana siku hizi usipomuona ndugu yako siku mbili yakupasa umtafute hata ujifanye unamsalimia tu...............

au NYOOSHA MKONO JIFANYE KAMA UNAJIKUNA
Kama nyinyi mlipitia vipigo vyote vile na bado mnaishi mimi nani kipigo kimoja kiniondoe uhai.

Ila nataka kujua mli survive vipi na maneno ya watu mtaani au mlikua bado hamjaanza kushabikia mpira.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wenye nyumba mpoo?? Wakuu vipi mmerudi?? Sawa mi napita tu, sitaki kupita bila kuwasalimia.
 
Ndugu zangu poleni!!!vipigo kama ivo Mtavizoea tu kama tulivyovizoea sisi washika bunduki wa London, poleni sana majirani
 
Hahaa.. Wakati mwingine huu utani unaleta burudani sana. Kinachoburudisha ni utani kama huu ila kinachofurahisha zaidi ni utani wa kuamini sasa Chelsea keshakua jamvi la wageni kwa kuwa karuhusu goli sita bila majibu.

Ndugu Ollachuga Oc ataonekana hapa na kule kwenye uzi wetu akitamba kwamba atatoka na point 3 OT siku moja kabla ya mechi.

Tusubiri azinduke maana amemwagiwa maji lakini waapi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikosi kilichocheza jana
20190211_123550_rmscr-1-1.jpeg
 
sasa kama simba imepigwa 5 na MO amejitokeza na kupiga mkwala mzito ikiwemo kuwafurusha baadhi ya wachezaji nyinyi mnapigwa 6,SITA,SIX baada ya kuchukua hatua munakimbia jukwaa......kweli hiki ni kikundi cha wala ganja kikiongozwa na kocha wao SARRI kheeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Nyinyi mlivyo pigwa 6, 8, 6 & 5. Mlichukua hatua gani au mlipiga mkwara gani.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyinyi mlivyo pigwa 6, 8, 6 & 5. Mlichukua hatua gani au mlipiga mkwara gani.?

Sent using Jamii Forums mobile app
ulikuja kule jukwaani ukasema kuwa mimi unaniulizaga maswali hapa jukwaa lenu la SIXBUTTON huwa nakimbia sasa leo nipo mkuu wangu please nasubiri maswali yako niyajibu vizuri tu............ila inapendeza zaidi kama yatahusu mechi za wikiendi hii especilly jana jumapili saa 1 jioni maana mimi nilikuwepo pale ground kushuhudia matukio yote ya mtanange ule
 
Hujajibu niliyokuuliza huko nyuma ukakimbia unataka nikuulize nini kuhusu jana.?

Mi siyo kama nyie mnasema kitu halafu mnashindwa kukitetea. Tema mate niteme kohozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Huddersfield City wasingekubali kupigwa hivi
Mimi bado nahisi wachezaji wanamchokoza Sari ili aongee kiitaliano tena kama ile ya Bonamouth
Jana aliulizwa kuhusu mentality na motivation akasema hapana, kwa hiyo sasa Chelsea haina tatizo la mentality wala motivation, sijui shida nini zaidi
 
😩
 
Mkuu game ya jana wale jamaa walijipanga sana. Waliangalia makosa waliyafanya huko nyuma walishatusoma mistakes zetu walishaona makosa udhaifu wao. Kwa hiyo kilichotokea jana ni uzembe wetu katika defense na wao walifanyia marekebisho defense yao. Namlaumu Alonso na Luiz walikua wanafanya makosa mengi mno. Atleast Rudiger alikua anajitahidi.

Kule mbele huwezi kumlaumu Hazard walifanya kilichobidi lakini kwa ukabaji ule wanaanza kukaba kwetu wakipoteza mpira hawakusubiri ufike kati. Wanataka wao ndio wamiliki mpira. Mashambulizi yakifika kwao hawakufuati pembeni kuutafuta wanajaa pembezoni mwa 18 wanajua hazard ni mzuri kwenye ku drible anaweza kusababisha penalty au faulo wakati wowote. Wanaanza kukaba akitoa pasi hata akipiga shuti linaishia kwenye miguu yao. Yan hawa jamaa nina ubakika waliisoma game yetu kitambo na ndipo walipotumalizia hapo.

Kwa kiasi fulani bado namlaumu kocha kuzidi kumuamini Alonso na wakati kila siku hakuna kipya anacholeta.
Hata Huddersfield City wasingekubali kupigwa hivi
Mimi bado nahisi wachezaji wanamchokoza Sari ili aongee kiitaliano tena kama ile ya Bonamouth
Jana aliulizwa kuhusu mentality na motivation akasema hapana, kwa hiyo sasa Chelsea haina tatizo la mentality wala motivation, sijui shida nini zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujajibu niliyokuuliza huko nyuma ukakimbia unataka nikuulize nini kuhusu jana.?

Mi siyo kama nyie mnasema kitu halafu mnashindwa kukitetea. Tema mate niteme kohozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa we jamaa huoni hata aibu hivi hapo unajitetea nini sasa hebu jitetee kwa kipigo cha jana tuone kama wewe ni bingwa wa kujitetea ........na ungekuwa unaweza kujitetea mbona ulituachia manyoya hapa jana
 
Hahaa.. Wakati mwingine huu utani unaleta burudani sana. Kinachoburudisha ni utani kama huu ila kinachofurahisha zaidi ni utani wa kuamini sasa Chelsea keshakua jamvi la wageni kwa kuwa karuhusu goli sita bila majibu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi tatizo siyo goli 6 Bali tatizo ni trend yenu ya matokeo mpaka kufikia Jana hizo goli 6.maana kama utakumbuka kabla hata ya mechi ya Bournemouth ambayo mulipoteza kwa goli 4 bado mulikuwa na matokeo yasiyo ya kulidhisha .point ni hiyo mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom