DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,979
- 11,816
weka matokeo na msimamoSasambona wewe unaleta ugomvi mawe na wakati unaishi humo kwenye vioo
Sent using Jamii Forums mobile app
weka matokeo na msimamoSasambona wewe unaleta ugomvi mawe na wakati unaishi humo kwenye vioo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama nyinyi mlipitia vipigo vyote vile na bado mnaishi mimi nani kipigo kimoja kiniondoe uhai.walau mjitingishe tu ili mtutoe hofu kuwa hamjafa,maana dunia hii imechange sana siku hizi usipomuona ndugu yako siku mbili yakupasa umtafute hata ujifanye unamsalimia tu...............
au NYOOSHA MKONO JIFANYE KAMA UNAJIKUNA
Ndugu Ollachuga Oc ataonekana hapa na kule kwenye uzi wetu akitamba kwamba atatoka na point 3 OT siku moja kabla ya mechi.
Tusubiri azinduke maana amemwagiwa maji lakini waapi.
Nyinyi mlivyo pigwa 6, 8, 6 & 5. Mlichukua hatua gani au mlipiga mkwara gani.?sasa kama simba imepigwa 5 na MO amejitokeza na kupiga mkwala mzito ikiwemo kuwafurusha baadhi ya wachezaji nyinyi mnapigwa 6,SITA,SIX baada ya kuchukua hatua munakimbia jukwaa......kweli hiki ni kikundi cha wala ganja kikiongozwa na kocha wao SARRI kheeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeee kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
ulikuja kule jukwaani ukasema kuwa mimi unaniulizaga maswali hapa jukwaa lenu la SIXBUTTON huwa nakimbia sasa leo nipo mkuu wangu please nasubiri maswali yako niyajibu vizuri tu............ila inapendeza zaidi kama yatahusu mechi za wikiendi hii especilly jana jumapili saa 1 jioni maana mimi nilikuwepo pale ground kushuhudia matukio yote ya mtanange uleNyinyi mlivyo pigwa 6, 8, 6 & 5. Mlichukua hatua gani au mlipiga mkwara gani.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujajibu niliyokuuliza huko nyuma ukakimbia unataka nikuulize nini kuhusu jana.?ulikuja kule jukwaani ukasema kuwa mimi unaniulizaga maswali hapa jukwaa lenu la SIXBUTTON huwa nakimbia sasa leo nipo mkuu wangu please nasubiri maswali yako niyajibu vizuri tu............ila inapendeza zaidi kama yatahusu mechi za wikiendi hii especilly jana jumapili saa 1 jioni maana mimi nilikuwepo pale ground kushuhudia matukio yote ya mtanange ule
😩Hata Huddersfield City wasingekubali kupigwa hivi
Mimi bado nahisi wachezaji wanamchokoza Sari ili aongee kiitaliano tena kama ile ya Bonamouth
Jana aliulizwa kuhusu mentality na motivation akasema hapana, kwa hiyo sasa Chelsea haina tatizo la mentality wala motivation, sijui shida nini zaidi
Hata Huddersfield City wasingekubali kupigwa hivi
Mimi bado nahisi wachezaji wanamchokoza Sari ili aongee kiitaliano tena kama ile ya Bonamouth
Jana aliulizwa kuhusu mentality na motivation akasema hapana, kwa hiyo sasa Chelsea haina tatizo la mentality wala motivation, sijui shida nini zaidi
sasa we jamaa huoni hata aibu hivi hapo unajitetea nini sasa hebu jitetee kwa kipigo cha jana tuone kama wewe ni bingwa wa kujitetea ........na ungekuwa unaweza kujitetea mbona ulituachia manyoya hapa janaHujajibu niliyokuuliza huko nyuma ukakimbia unataka nikuulize nini kuhusu jana.?
Mi siyo kama nyie mnasema kitu halafu mnashindwa kukitetea. Tema mate niteme kohozi.
Sent using Jamii Forums mobile app
We were expecting today's newspapers headline to be *stubborn Chelsea denied city to score 7*. Media people are sleeping on their job
Na Man U pia walicheza pungufu. Mana nakumbuka john evance alipigwa red card kama sikosei tena mapema tuni kweli ila ilikuwa 6 kwa 1 tayari utofauti huo
kwani unateseka??
Nahisi tatizo siyo goli 6 Bali tatizo ni trend yenu ya matokeo mpaka kufikia Jana hizo goli 6.maana kama utakumbuka kabla hata ya mechi ya Bournemouth ambayo mulipoteza kwa goli 4 bado mulikuwa na matokeo yasiyo ya kulidhisha .point ni hiyo mkuu!Hahaa.. Wakati mwingine huu utani unaleta burudani sana. Kinachoburudisha ni utani kama huu ila kinachofurahisha zaidi ni utani wa kuamini sasa Chelsea keshakua jamvi la wageni kwa kuwa karuhusu goli sita bila majibu.
Sent using Jamii Forums mobile app