lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,492
Tatizo la Sarri analazimisha tairi ya lori kwenye Noah na tairi ya Noah kwenye lori na bado anategemea gari litembee, Chelsea haijawahi kupata a fool coach kama huyu
Alosso amekuwa akifanya silly mistakes za kujirudia na bado anampanga tu
Jourginho kaishiwa pumzi na bado anambeba
Kwa maoni yangu hawa wachezaji wawili ndio mizigo na wamewasababishia wengine wachoke uwanjani.
Goli la kwanza Alonso anamuacha Sterling peke yake fool Alonso