kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,714
- 6,490
bado ujasema mzee
bado ujasema mzee
pole sanaBora hata kufungwa 2-0, 3-1 au 1-0 unaweza kujitetea. Ila hii 6-0 mtu unasema nini halafu kuna watu wanakwambia umekimbia jukwaa. Jamani mnataka tufanyaje?.
Aseee inauma vibaya mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mfate mshabik wa Chelsea muangalie machoni, na umuambie wewe ni MSHINDI
![]()
![]()
![]()
![]()
Niaje kiongoz
Sent using Jamii Forums mobile app



poa kwema hukoInauma balaa. Kuna watu wananitag kwenye meme za kuichamba Chelsea huko Instagram sina amani. Nikigeuka kushoto nakutana na notification JF yan ndio nakwisha kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
cc. Ollachuga Oc Southern Highlandmpira mchezo wa makosa, tumeshapigwa basi hata ukimbie huwezi badili matokeo
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa ufupi ukiwa unaishi katika nyumba ya vioo usichokoze ugomvi wa mawe............Inauma balaa. Kuna watu wananitag kwenye meme za kuichamba Chelsea huko Instagram sina amani. Nikigeuka kushoto nakutana na notification JF yan ndio nakwisha kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Weekend ijayo na man utd...then mnakutana tena na city fainal........mkigeuka kushoto fimbo za ole sendeka,mkigeuka kulia bakora zingine za pep.......
walau mjitingishe tu ili mtutoe hofu kuwa hamjafa,maana dunia hii imechange sana siku hizi usipomuona ndugu yako siku mbili yakupasa umtafute hata ujifanye unamsalimia tu...............Unataka tuseme nini
Sent using Jamii Forums mobile app
huu ndio mkono wa pole kwa hawa viumbe
Sasambona wewe unaleta ugomvi mawe na wakati unaishi humo kwenye viookwa ufupi ukiwa unaishi katika nyumba ya vioo usichokoze ugomvi wa mawe............