Mulipombahatisha Liverpool Mulijazana Wengi Sana Hapa Na Kelele Zenu Za Kucheza #CL Mukajiona Mumeshakuwa na Bonge la Timu! Sasa na Leo Njooni Mujipongeze Hapa! :D:D:D
 
BAABDA YA CHELSHIT KUFUNGA LIVERPOOL KUNA MSHABIKI FLANI WA [HASHTAG]#MANURE[/HASHTAG] THE SO CALLED [HASHTAG]#RRONDO[/HASHTAG] ALIKUJA HAPA AKAWAPA SOME FUCKING FALSE HOPE YA KUWA MTAMALIZA KWENYE TOP FOUR NA LIVERPOOL ATATOKA NJE YA TOP FOUR, BASI KWAVILE CHELSHIT-FANBOYS WENGI WENU NI AMATEURS FROM NOWHERE! MULIINGIA KICHWAKICHWA KUWA MUTAMALIZA NDANI YA TOP FOUR!!...

HIVI NYINYI KWELI WAKUSHIKIWA AKILI ZENU NA MSHABIKI WA MANURE????
 
Na Kibaya Zaidi Mechi Yenu Ya Mwisho Munacheza AWAY na Newcastle United Ambaye Amejeruhiwa Leo na Spurs Huku Nyinyi Mukihitaji Lazima Mushinde Wakati Sisi Tunacheza HOME tukihitaji Draw tu! :D:D:D

Sasa Nendeni Mukamvamie Benitez Kichwakichwa muone Kitakachowatokea!
 
FACTS:

√ David Wagner Ambaye Ni Kocha Wa Huddersfield Ni Legend Wa Liverpool

√ Rafa Benitez Ambaye Ni Kocha Wa Newcastle Ni Legend Wa Liverpool

Nilijuwa Wazi Kuwa Hapa Ndiyo Shida itakapowaanzia :D:D:D
 
Maneno yako yatakutokea puani
Ukweli ni kwamba chelsea anatinga top 4 na mmoja wapo kati ya liverpool na tottenham lazima adondoke
Hisia zangu zinasema ni Tottenham ila ningependa iwe liverpool wazee wa kufeli dk za mwisho
Hongera mmeweza pata UCL football mwakani!
Jamani tuwe wakweli,Bakayoko na Morata hawawezi kukupa UCL football kupitia EPL
Tuwe wakweli,team hamna mwaka huu
 
Hongera mmeweza pata UCL football mwakani!
Jamani tuwe wakweli,Bakayoko na Morata hawawezi kukupa UCL football kupitia EPL
Tuwe wakweli,team hamna mwaka huu
Usajili bora wa mwaka EPL
tapatalk_1512844696127.jpeg
 
Back
Top Bottom