Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mpira unadunda huu Loserfools wanaweza kuteleza mkashangaa Chelsea ndio anaenda CL, tofauti kati ya Liverpool na Chelsea ilikuwa 11pts sasa hivi 3pts na Chelsea ana game mkononi!
Wewe umenena umeuongelea mpira hujabase kwenye ushabiki, lakini wakija shabiki maandazi hapa watakupinga vibaya mno.
 
Mkuu kwan EUROPA zinashiriki timu za ndondo.? Wewe ulishiriki ukahlgongwa kama mbwa koko. Leo hii unaiponda ligi iliyokutoa mafua kupigania kombe. Acheni ulimbukeni nyie Liverfool fans kwa kuwa mmeingia fainali ya UEFA.

Binafsi sijawahi kuidharau ligi ya EUROPA. Ila ninatamani pia kucheza UEFA.

Sisi Europa Tuna Makombe 3 ambayo Wewe Unahitaji Miaka 300 ili uweze Kuyafikia! Lakini Hatujiproud Na Makombe Hayo Kwa Sababu Europa Ni Micky Mouse Cup Kwa ajili Ya Wale Wasiokuwa Na Mbavu Za Kupambana Kwa Wanaume UCL.
 
Draft ya Jana dhidi ya Liver haikuwa ya mchezomchezo.wanaume wameshacharuka kucheza CL na so jambo LA kubahatisha tens.Spurs wapishe njia hawana namna kwa mechi zilizobakia.Ngoma ya Jana imeniingiza kuamini kwamba hawa wachezaji walk has hawachezi kwa kujituma msimu huu.
 
Sisi Europa Tuna Makombe 3 ambayo Wewe Unahitaji Miaka 300 ili uweze Kuyafikia! Lakini Hatujiproud Na Makombe Hayo Kwa Sababu Europa Ni Micky Mouse Cup Kwa ajili Ya Wale Wasiokuwa Na Mbavu Za Kupambana Kwa Wanaume UCL.
Ilituchukua misimu miwili kuchukua UEFA na EUROPA. Hiyo miaka yako 300 wapelekee liverfools wenzio mtakapokua mnapambana pale Kiev kumzuia king Ronaldo.

Nitakua shabiki maandazi kusema mmebahatisha kufika fainali. To be honest mli deserve kufika hapo. Mmepambana kweli, The problem mnajipa vyeo badala ya kusubiri kupewa. Mnajisahau mlipotoka. Eti ndio timu bora ulaya. Mweeeh, timu ya kina klavan, rovren na makinda kina Alexandre na Robertson. Muwe na heshima kwa wakubwa wenu.
 
Mashabiki wa Liverfool bhana. Baada ya hiyo 2010 walifanya nini baada ya hapo.? Mnasindikiza nyie hamuendi kuchukua UEFA. *****. Utakataa sa hivi ila Kiev utakubali.

Halafu utaanza kusema ni chuki. Pwaaah

Hiyo Comment Nadhani Haitajitokeza Pengine Badala Ya Hapa!

Eti Sisi Champion League Tunasindikiza!!!!!

Sasa ikiwa Sisi Tunasindikiza Nyinyi Je?
Hebu Katika Miaka 20 uliyoshiriki Umebeba Makombe Mangapi Ya CL ili tujie Kama Wewe Unakwenda Kupambana na si Kushiriki? 15? 18? 10? 8? 5?

Sasa Unakajikombe Kamoja tu cha Ngekewa na Marahii Ukararuliwa Hata Robo Mara Hii imekushinda! Leo Unapata Wapi Ujasiri Wa Kumwita Mtu aliye Finali na Makombe Matano Mkononi Kuwa Anasindikiza??

Ama Kweli Nyinyi Chelshit!!!! Eti Wewe uliyeishia 16 bora ndiyo Unajiaminisha Kuwa Mpambanaji (Ukweli Ni Loser)! Halafu Yule Aliyetinga Finali bila Ya Goli la Penalty unamwita Msindikizaji! 😀😀😀😀

"Only Chelshit Fanboy "
 
Ilituchukua misimu miwili kuchukua UEFA na EUROPA. Hiyo miaka yako 300 wapelekee liverfools wenzio mtakapokua mnapambana pale Kiev kumzuia king Ronaldo.

Nitakua shabiki maandazi kusema mmebahatisha kufika fainali. To be honest mli deserve kufika hapo. Mmepambana kweli, The problem mnajipa vyeo badala ya kusubiri kupewa. Mnajisahau mlipotoka. Eti ndio timu bora ulaya. Mweeeh, timu ya kina klavan, rovren na makinda kina Alexandre na Robertson. Muwe na heshima kwa wakubwa wenu.

Eti ilituchukuwa Misimi Miwili Kuchukua UEFA na EUROPA!!! 😀😀😀

Kwahiyo Kabla Ya Kuchukua Hayo Makombe Mlikuwa Hamkuwahi Kushiriki Hayo Mapambano? Na Hiyo Miaka Miwili Ndiyo Mara Yenu Ya Kwanza Kushiriki?

Ningelisema Mimi Kuwa ilituchukua Mwaka Mmoja tu Kubeba CL Mwaka 2005 Basi Sijengi Picha sijui ungelinijibu Nini?
 
Hiyo Comment Nadhani Haitajitokeza Pengine Badala Ya Hapa!

Eti Sisi Champion League Tunasindikiza!!!!!

Sasa ikiwa Sisi Tunasindikiza Nyinyi Je?
Hebu Katika Miaka 20 uliyoshiriki Umebeba Makombe Mangapi Ya CL ili tujie Kama Wewe Unakwenda Kupambana na si Kushiriki? 15? 18? 10? 8? 5?

Sasa Unakajikombe Kamoja tu cha Ngekewa na Marahii Ukararuliwa Hata Robo Mara Hii imekushinda! Leo Unapata Wapi Ujasiri Wa Kumwita Mtu aliye Finali na Makombe Matano Mkononi Kuwa Anasindikiza??

Ama Kweli Nyinyi Chelshit!!!! Eti Wewe uliyeishia 16 bora ndiyo Unajiaminisha Kuwa Mpambanaji (Ukweli Ni Loser)! Halafu Yule Aliyetinga Finali bila Ya Goli la Penalty unamwita Msindikizaji! 😀😀😀😀

"Only Chelshit Fanboy "
Kuanzia mwaka 2005,Chelsea katika makombe ya ulaya nimefika fainali mara 3 nimechukua makombe mara mbili. Labda nikuweke sawa kwenye mpira hakunaga kubahatisha. Ukifanya mistake wenzako wanatembea. So u better shut your dirty mouth and wait for your funeral in Kiev. Indian Bitch!!
 
Eti ilituchukuwa Misimi Miwili Kuchukua UEFA na EUROPA!!! 😀😀😀

Kwahiyo Kabla Ya Kuchukua Hayo Makombe Mlikuwa Hamkuwahi Kushiriki Hayo Mapambano? Na Hiyo Miaka Miwili Ndiyo Mara Yenu Ya Kwanza Kushiriki?

Ningelisema Mimi Kuwa ilituchukua Mwaka Mmoja tu Kubeba CL Mwaka 2005 Basi Sijengi Picha sijui ungelinijibu Nini?
Nilikua najaribu kuwatengezea picha ndogo ambayo wewe umeifanya kubwa kwa kusema miaka 300. Sasa wasomaji wengine wenye upeo mdogo kama wako wanaweza kuona ni kitu kikubwa sana.
 
Sisi Tunajua Wazi Kuwa Kilichotuathiri Katika Mechi Zetu NNE Za Mwisho Hizi Za EPL Ni Hile Champion League (vs Roma) Kwasababu Timu Yetu Haina Depth Kutokana Na injuries Za Wachezaji Wetu Muhimu.

Lakini Narudia Tena Game Yetu Ya Mwisho Hatuko Kwenye CL Kwahiyo Musitegemee Uchovu Wowote Kwa Wachezaji Wetu! Hizo False Hope Zenu Mutazizika Wenyewe.

Najua Ni Washabiki Wa Manure Diyo Wanaowadecieve Kuwa Mutacheza Nyie CL next Season na si Liverpool! Lakini Wanafanyia Double Face Cuz Wao Ndiyo Waliowafunga Nyinyi Pale OT na Kuwanyima Points 3 muhimu.
Sasa Kama Walikuwa na Nia Ya Kuwapeleka CL wangeliwaachia Nyie zile Points 3.

Ukweli Usiofichika Ni Manure Ndiye anayewapeleka Nyinyi Europa.
 
Kuanzia mwaka 2005,Chelsea katika makombe ya ulaya nimefika fainali mara 3 nimechukua makombe mara mbili. Labda nikuweke sawa kwenye mpira hakunaga kubahatisha. Ukifanya mistake wenzako wanatembea. So u better shut your dirty mouth and wait for your funeral in Kiev. Indian Bitch!!

Kuanzia Mwaka 2005 Mpaka 2018 Chelshit Kashiriki Mara Nyingi Mashindano Ya Ulaya Kuliko Liverpool! Lakini Kwa Kutokuwa na Ubavu Ameishia Kucheza Finali Mbili tu Za CL na Europa moja...

Lakini Liverpool Mwakilishi Pekee Wa Waingereza na London Kwa Ujumla Kwenye CL Kutoka Mwaka 2005 Mpaka 2018 Liverpool ameshirikia Mara Chache Mashindano ya Ulaya Ukilinganisha Na Chelshit! Lakini Kwa Uchache Wetu Tumediriki Kucheza Finali 3 za CL (2005, 2007 na 2018) na Fainali Moja Ya Europa (2016).

Still Unasafari Refu ya Kuyafikia Mafanikio Yetu..

Lakini Mimi Nina Endless Journey Ya Kuyafikia Matusi Yako
 
Sisi Tunajua Wazi Kuwa Kilichotuathiri Katika Mechi Zetu NNE Za Mwisho Hizi Za EPL Ni Hile Champion League (vs Roma) Kwasababu Timu Yetu Haina Depth Kutokana Na injuries Za Wachezaji Wetu Muhimu.

Lakini Narudia Tena Game Yetu Ya Mwisho Hatuko Kwenye CL Kwahiyo Musitegemee Uchovu Wowote Kwa Wachezaji Wetu! Hizo False Hope Zenu Mutazizika Wenyewe.

Najua Ni Washabiki Wa Manure Diyo Wanaowadecieve Kuwa Mutacheza Nyie CL next Season na si Liverpool! Lakini Wanafanyia Double Face Cuz Wao Ndiyo Waliowafunga Nyinyi Pale OT na Kuwanyima Points 3 muhimu.
Sasa Kama Walikuwa na Nia Ya Kuwapeleka CL wangeliwaachia Nyie zile Points 3.

Ukweli Usiofichika Ni Manure Ndiye anayewapeleka Nyinyi Europa.
Yani utafikiri sisi wenyewe tunashindwa kuchambua kuona condition yetu. Kwa maana hiyo tumeshikiwa akili na Manure. Si kweli mkuu sisi tunapambana kivyetu na wao kivyao na nyie kivyenu so interest ndio zinatukutanisha pamoja katika jukwaa la Liverpool unamkuta radika, katika jukwaa la Chelsea unamkuta King Ngwaba na katika jukwaa la Man U unamkuta Southern Highland.
 
Ni lazima tujitahidi kushinda game zote mbili zilizobaki huku tukiombea liver atoe sare tu match yake ilyobaki
 
Sisi Tunajua Wazi Kuwa Kilichotuathiri Katika Mechi Zetu NNE Za Mwisho Hizi Za EPL Ni Hile Champion League (vs Roma) Kwasababu Timu Yetu Haina Depth Kutokana Na injuries Za Wachezaji Wetu Muhimu.

Lakini Narudia Tena Game Yetu Ya Mwisho Hatuko Kwenye CL Kwahiyo Musitegemee Uchovu Wowote Kwa Wachezaji Wetu! Hizo False Hope Zenu Mutazizika Wenyewe.

Najua Ni Washabiki Wa Manure Diyo Wanaowadecieve Kuwa Mutacheza Nyie CL next Season na si Liverpool! Lakini Wanafanyia Double Face Cuz Wao Ndiyo Waliowafunga Nyinyi Pale OT na Kuwanyima Points 3 muhimu.
Sasa Kama Walikuwa na Nia Ya Kuwapeleka CL wangeliwaachia Nyie zile Points 3.

Ukweli Usiofichika Ni Manure Ndiye anayewapeleka Nyinyi Europa.
Wewe si ndio ulisema jana mngetupeleka Uropa, imekuwaje tena ni Mnaure!
 
Hadi sasa nikifikiria draw ya kizembe kwa Westham,kipigo cha bornamouse na Watford tusingekuwa tunaombea liver draw na Brighton kiufupi wachezaji wetu wazembe walikuwa wapi kuamsha popo mapema mpaka kumekucha, gemu za Utd pia spurs tunatangulia kupata goli kisha tunachezea kichapo, hatupaswi kwenda champions league Kama wachezaji wetu hawana winning stability mentality tutafungwa easy
 
Mwakani mtacheza Yuropa na wenzenu Real Socieded ya Spain na Mangleabach ya Germany!
Kwenye mashindano haya ya wanaume mmeisha shindwa!
Week ijayo baada ya kumpiga Roma nakuja nakupiga hapo hapo kwako
hahaha uliongea utadhani wewe ndo unacheza hahaha...
 
Bado haiji akilini tuna harzard, fabry,willian,morata,alonso,kante tunashindwa kucheza uefa wachezaji wametuangusha mashabiki.80% ya wachezaji WA Team yetu wanatumainiwa kwenye national team zao na wapo 1st eleven what the hell ? Sitaki hata kuwasikia. Blue is the color
 
Mkuu watu kama kina malafyale unapoteza muda bure kubishananao tu. Juzi alisema atafunga Roma second leg then anakuja darajani kumtandika Chelsea kilichotokea umekiona. Naamini sasa presure imempanda hana cha kusema
Mkuu kwan EUROPA zinashiriki timu za ndondo.? Wewe ulishiriki ukahlgongwa kama mbwa koko. Leo hii unaiponda ligi iliyokutoa mafua kupigania kombe. Acheni ulimbukeni nyie Liverfool fans kwa kuwa mmeingia fainali ya UEFA.

Binafsi sijawahi kuidharau ligi ya EUROPA. Ila ninatamani pia kucheza UEFA.
Mkuu watu kama kina malafyale unapoteza muda bure kubishananao tu. Juzi alisema atafunga Roma second leg then anakuja darajani kumtandika Chelsea kilichotokea umekiona. Naamini sasa presure imempanda hana cha kusemaMkuu watu kama kina malafyale unapoteza muda bure kubishananao tu. Juzi alisema atafunga Roma second leg then anakuja darajani kumtandika Chelsea kilichotokea umekiona. Naamini sasa presure imempanda hana cha kusema
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom