Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Napoli offical Radio: "Sarri signed with Chelsea."

Paolo Paoletti: "Sarri signed with Chelsea last Wednesday."

Napoli owner - Wants Sarri out

Sarri: "I have not spoken english for a long time but I was good. I don't know who I would bring from my staff."

All but confirmed.
 
Mwakani kucheza YUROPA kupo pale pale!
Namfunga Brighton kwangu 1-0 tu inatosha!
Brighton hawezi mzuia Liverpool asicheze UCL mwakani
Wewe utacheza Yuropa labda huko ndiyo utafika mbali
Huku UCL unatupa aibu tu!
 
Sawa mkuu. Ila huwa nakukubali kwa utabiri wako. Let's wait and see. Mpira ni burudani
 
Mwakani kucheza YUROPA kupo pale pale!
Namfunga Brighton kwangu 1-0 tu inatosha!
Brighton hawezi mzuia Liverpool asicheze UCL mwakani
Wewe utacheza Yuropa labda huko ndiyo utafika mbali
Huku UCL unatupa aibu tu!
Inaisha kwa sare hiyo match
Europa inakuhusu
 
Inaisha kwa sare hiyo match
Europa inakuhusu

Liverpool 4 - 0 Brighton & Holve Albion

Kama Unabisha bisha lakini Liverpool Katika Msimu Huu Haijapoteza Mchezo Hata Mmoja Wa [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Katika Uwanja Wake Wa Njumbani Wa Anfield.
 
Jumapili ndiyo NAKUPELEKA rasmi Yuropa mwakani ukacheze na Mavi ya Bata FC ya Lithunia,uwanja wa mabati watazamaji 3,000!
Nakupiga hapo hapo kwako sababu Liverpool sasa ndiyo team bora Ulaya,huwezi wazuia!
Nani sasa hayaogopi Majogoo?
Bado mmenuna kwa mafanikio yetu?
Mafi ya bata fc mmepgwa cha nguruwe polee
 
Mafi ya bata fc mmepgwa cha nguruwe polee
Yuropa n yenu mwakani
Hongereni sana
Wenye UCL isha rudi mtakuwa mnabadilishana nafasi na wenzenu
LIVERPOOL will never miss UCL spot via EPL
Nani sasa hayaogopi Majogoo?
 
Inaisha kwa sare hiyo match
Europa inakuhusu
4-0 hadi halftime
Tunatoa frontmen wote dakika ya 75!
Brighton hawezi mzuia Liverpool akicharuka!
Kajipangeni huko Yuropa
Mwaka huu hamna team!
Unauza Matic unaleta Bakayoko?
Unauza Costa unaleta Morata?
No brainer at all
 
Liverpool 4 - 0 Brighton & Holve Albion

Kama Unabisha bisha lakini Liverpool Katika Msimu Huu Haijapoteza Mchezo Hata Mmoja Wa [HASHTAG]#EPL[/HASHTAG] Katika Uwanja Wake Wa Njumbani Wa Anfield.
Hiyo hata Conte anajua
Liverpool na TOTENHAM hawawezi kosa top 4
Alikosea kumfukuza Costa na Matic kwa replacements za ajabu
 
4-0 hadi halftime
Tunatoa frontmen wote dakika ya 75!
Brighton hawezi mzuia Liverpool akicharuka!
Kajipangeni huko Yuropa
Mwaka huu hamna team!
Unauza Matic unaleta Bakayoko?
Unauza Costa unaleta Morata?
No brainer at all
Maneno yako yatakutokea puani
Ukweli ni kwamba chelsea anatinga top 4 na mmoja wapo kati ya liverpool na tottenham lazima adondoke
Hisia zangu zinasema ni Tottenham ila ningependa iwe liverpool wazee wa kufeli dk za mwisho
 
Kufeli Kwetu Katika Michezo Yetu Miwili iliyopita (vs WBA & STOKE) Ni Kwasababu Ya Mechi 2 za Roma.

Lakini Mechi Yetu Ya Mwisho hatuna Excuse! Subiri ushuhudie tutakacho Kifanya..!
 
Kufeli Kwetu Katika Michezo Yetu Miwili iliyopita (vs WBA & STOKE) Ni Kwasababu Ya Mechi 2 za Roma.

Lakini Mechi Yetu Ya Mwisho hatuna Excuse! Subiri ushuhudie tutakacho Kifanya..!
Kile Brighton walichoifanyia man u watakirudia hapo Anfild
 
Manchester City wameanza mazungumzo upya ya kujaribu kumnasa winga wa Leicester City, Riyad Mahrez ambaye huenda akaondoka ndani ya klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu.

Pia Manchester United wako tayari kumwachia Anthony Martial kwenda Borussia Dortmund kama chambo ya kumnasa Christian Pulisic.

Hata hivyo winga huyo anayetajwa kuwa na thamani ya £40m anatolewa macho pia na vigogo wengine kama Liverpool, Chelsea na Arsenal.
 
Sisi Tunajua Wazi Kuwa Kilichotuathiri Katika Mechi Zetu NNE Za Mwisho Hizi Za EPL Ni Hile Champion League (vs Roma) Kwasababu Timu Yetu Haina Depth Kutokana Na injuries Za Wachezaji Wetu Muhimu.

Lakini Narudia Tena Game Yetu Ya Mwisho Hatuko Kwenye CL Kwahiyo Musitegemee Uchovu Wowote Kwa Wachezaji Wetu! Hizo False Hope Zenu Mutazizika Wenyewe.

Najua Ni Washabiki Wa Manure Diyo Wanaowadecieve Kuwa Mutacheza Nyie CL next Season na si Liverpool! Lakini Wanafanyia Double Face Cuz Wao Ndiyo Waliowafunga Nyinyi Pale OT na Kuwanyima Points 3 muhimu.
Sasa Kama Walikuwa na Nia Ya Kuwapeleka CL wangeliwaachia Nyie zile Points 3.

Ukweli Usiofichika Ni Manure Ndiye anayewapeleka Nyinyi Europa.
Tafadhali mkuu usitubebeshe lawama, wewe malizana naye huko huko.
 
Kufeli Kwetu Katika Michezo Yetu Miwili iliyopita (vs WBA & STOKE) Ni Kwasababu Ya Mechi 2 za Roma.

Lakini Mechi Yetu Ya Mwisho hatuna Excuse! Subiri ushuhudie tutakacho Kifanya..!
na kichapo cha juzi kilikuwa kwasababu ya nni acha kulialia
 
na kichapo cha juzi kilikuwa kwasababu ya nni acha kulialia

Wewe Mtoto Mdogo Sana Siku uliyozaliwa Mimi Nilikuwa Najiandaa na Mtihani Wa Kidato Cha Sita Kwahiyo Jifunze Kauli Za Kuzungumza na Wakubwa Zako.

Jengine Ni Kuwa Chelsea vs Liverpool Ni Big Match Kwahiyo Kila Timu pale inatake advantage na opportunity..
Tofautisha Kati ya Relegators na Top Four Contenders if only You Know what I mean.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom