Mkuu mtapata shida msimu ujao kwa sababu mmesajili timu mpya kabisa: kumbukeni kilichowapata Sunderland AFC na Spurs msimu ulopita.

Sisi Chelsea Fc tumesajili kulingana na mahitaji. Beki wa kushoto, mshambuliaji mkubwa, na kiungo nafasi ya Lampard. nyinyi LFC mmejaza wachezaji wengi wa aina moja tu. leteni hela tuwape Ryan Betrand..

Team haijabadilika kabisa!Kikosi cha kwanza msimu uliopita 8 watarudisha namba zao na 3 tu ndiyo wapya!Wengi tulio wasajili ni kuimarisha bench!Mwaka huu anapumzika "Nyerere" anaingia "Jumbe" moto ule ule!

Mignolet;Glen;Skrtel;Captain;Henderson;Sterling;Stur na Coutihno wanarudi kama chaguo la kwanza!Wapya wanaoingia ni Lalana;Moreno na Lovren tu!Bench lina Pepe;Sakho;Agger;Lambert;Can na mpya toka Ureno

Bench letu hata Chelsea anaweza fungwa hata Darajani kwao!Ubingwa wa wazi kabisa huu
 
Kama timu haijabadilika na hao hao Chelsea ndo waliwafunga nje ndani msimu uliopita iweje leo benchi limfunge Chelsea, ndugu hapo fikiria tena
 
Chelsea have announced the return of Champions League hero Didier Drogba.
He will sign as a player with a view to becoming part of the coaching staff at the club where he spent eight seasons between 2004-2012 scoring 157 goals.

Source: Eurosport
 
Didier Drogba akitambulishwa leo Chelsea FC
 
Attachments

  • 1406306075801.jpg
    1406306075801.jpg
    29.1 KB · Views: 107
Kama timu haijabadilika na hao hao Chelsea ndo waliwafunga nje ndani msimu uliopita iweje leo benchi limfunge Chelsea, ndugu hapo fikiria tena

Mkuu mpira una up and down zake!Kikosi hicho hicho unaweza leo ukawa BINGWA mwaka kesho ukawa wa 7 sababu kiwango cha team kimeshuka!

Man U walikuwa bingwa 2012/13 kikosi kile kile tena wakimuongeza Matta kikashika nafasi ya ngapi?Na kwa nn?Kumfunga Liverpool mwaka jana si kigezo msimu huu tena utamfunga
 
Kama ndo hvyo mkuu, basi na wewe usiseme kwa kikosi chako cha sasa unaweza mfunga chelsea.

Kwa maana mpira una ups and down na kusajili kwako kote unaweza ukashangaa hata Sunderland anakutoa jasho na hiyo first eleven yenu.
 
Sunderland usi idharau mkuu ndiyo alikutoa kwenye mbio za ubingwa msimu huu!
Jozzy Altidore mkuu huwezi msahau
 
Back
Top Bottom