tushazoea...msimu mzima namba 7.
Hivi unapoandika humu unaandikia ushabiki tu ama ndo uwezo wako wa kufikiri (na kusoma) ulipofikia?
Soma habari zote (from different sources too) utapata habari kamili...atakuja as a player and then later join the management! Read my friend...read,....usiwe mvivu...read wildly & widely!

Nkwela huyu jamaa Ngoja msimu uanze ndio atajua sisi ni Kina nani!
We muache apost mambo yake tu!
Chelsea FC ndio Bingwa msimu huu
Kocha wenu kasema ataondoka asipo twaa ubingwa wa EPL msimu huu!
100% safari ya Mourinho imewadia maana hawi bingwa ng'oo
Umerudi tena eeh? karibu sana. Nilifikir ungerudi na busara na akili ya mpira kumbe bado ni yaleyale tu.
Wewe si ni mshabiki wa Liverpool fc? Tulia maana unajua tulikufanya nini tarehe 27Aprili.2014..palepale kwako..
Kuhusu sisi kuwa mabingwa subiri ligi ianze..
Mkuu
Mm nimenikuru tu kauli isiyo ya kimichezo ya kocha Mourinho!Sijaongeza wala kupunguza alichosema
Jana TV Boston zimewaonyesha vijana wameiva mno!Kabla ya ligi anaongezeka Moreno;Lovren na Benzema haponi mtu
nyie ni wale wale tu hamna mpya.
ndio uwezo wangu ulipofikia smart guy.
read widely and wildly...soma RRONDO
acha uvivu..:embarrassed:
kwani nyinyi mna jipya gani?
wazee wa kubebwa...:A S-eek: