Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Drogba-PA.jpg
 
Chelsea 2 (Salah, Fabregas)-0 Vitesse ( 58' )
(pre-season match)
 
Attachments

  • 1406746403093.jpg
    1406746403093.jpg
    39.7 KB · Views: 62
  • 1406746424866.jpg
    1406746424866.jpg
    39.3 KB · Views: 57
  • 1406746439575.jpg
    1406746439575.jpg
    48.2 KB · Views: 59
Chelsea are expected to line up in the following 4-3-3 formation against Vitesse:

Cech-(c);-Azpilicueta,-Cahill,-Ivanovic, Luis;-Van Ginkel, Matic,-Fabregas; Salah, Costa,-Torres.

Subs: Beeney,-Zouma, Ake, Romeu,-Terry,-Chalobah, Baker, Boga, Solanke.
 
Full-time! Chelsea 3-1 Vitesse

Mpira umeisha Chelsea wameshinda 3-1 shukuran ya magoli kutoka kwa Salah, Fabregas na Matic.-

Magoli yametokana na Assists mbili za Diego Costa, na faulo aliyochezewa, ambayo ilipigwa na Fabregas 25 yards
 
matumbo yanawauma wapinzani.

cc. pierre fm, mbu, nzi, rrondo, mosdef,viol,wise,ntuzu,mentor,:clap2::clap2::clap2::clap2:
 
kumbe wewe mgeni eeh?
Gianluca Vialli alikuwa kocha mchezaji Chelsea Fc,
drogba kapewa mwaka 1 tu, wakati huo huo atakuwa anafunzwa ukocha, kisha baada mwaka kwisha anajiunga na benchi la ufundi...

wee mtu wa Arsenal subiri ligi ianze..DROGBA atakuwa anapangwa mechi vs ARSENAL FC si unumjua alichowafanya?:A S-eek:

Nilifikiri anarudi kama msaidizi wa Mourinho kumbe mchezaji!!!?
 
Paundi M.28 ni bonge la dili nakuambia..CHELSEA FC mwaka huu ni mwendo wa faida faida tupu..

hadi sasa: David Luiz + Demba Ba + Lukaku .... na bado dirisha halijafungwa..

ha ha aha kikosi kimeanza kueleweka sasa..Cesc Fabregas the 'maestro':dance:

Lukaku anatimkia Everton leo "time to write new chapter
 
Paundi M.28 ni bonge la dili nakuambia..CHELSEA FC mwaka huu ni mwendo wa faida faida tupu..

hadi sasa: David Luiz + Demba Ba + Lukaku .... na bado dirisha halijafungwa..

ha ha aha kikosi kimeanza kueleweka sasa..Cesc Fabregas the 'maestro':dance:

mkuu agosti unaona ni sahihi kumuuza lukaku kwani ameonyesha ni namna gani anakipaji kikubwa kwa kufunga magoli mengi wakati akiwa kwa mkopo.
Tena hata umri wake bado mdogo isije ikawa kama sturrigde
 
magoli anafunga na hata Dan unayemtaja alikuwa anafunga magoli. lakini kwenye uongozi lazima uwe na uwezo wa kufanya maamuzi magumu. huwezi kujaza washambuliaji ikiwa kuna uwezekano wa kupata hela nzuri..M.28 ni dili zuri sana.

Diego Costa anatosha sana..umetazama mechi ya jana kaka?
Timu iko sawa sana kwa sasa ... na bado wachezaji wengi hawajaripoti..MSIMU UJAO ni wa Chelsea fC kutwaa makombe mengi.

timu iko sawa mno..LUKAKU alikuwa anataka kuanza kila mechi..HAKUNA nafasi ya kumhakikishia jambo hilo. Kucheza Everton ni tofauti na kucheza Chelsea FC kumbuka..

Everton inafurahia kupata nafasi ya 4. Chelsea Fc inalenga ubingwa.. hizi ni timu mbili tofauti sana. Nadhani umenielewa mkuu..

mkuu agosti unaona ni sahihi kumuuza lukaku kwani ameonyesha ni namna gani anakipaji kikubwa kwa kufunga magoli mengi wakati akiwa kwa mkopo.
Tena hata umri wake bado mdogo isije ikawa kama sturrigde
 
Diego Costa, Fabregas, Hazard, Oscar, Willian, Salah, Schurrle, Drogba...wote wachezaji wa ushambuliaji tupu hao..tena wako kwenye kiwango kizuri sana.

Matic, Van Ginkel, Romeu, Ramires, Mikel wote hao ni viungo wa kukaba..wenye uwezo mkubwa.

Filipe Luis, Cesar Azpilicueta, Ivanovic, Cahill, Terry, Zouma, ..mabeki wazuri watupu[kukaba jadi yetu kumbuka]

Mark Schwerzer, Petr Cech, Thibaut Courtois, makipa wa kiwango cha dunia hawa...

MSIMU UANZE TUANZE MAMBO YETU................:first::first::first:
 
matumbo yanawauma wapinzani.

cc. pierre fm, mbu, nzi, rrondo, mosdef,viol,wise,ntuzu,mentor,:clap2::clap2::clap2::clap2:

Mkuu agosti 8 bado kidogo goma la EPL lianze! Na safari hii wataijua Chelsea Kua ni baba Yao!
 
Last edited by a moderator:
magoli anafunga na hata Dan unayemtaja alikuwa anafunga magoli. lakini kwenye uongozi lazima uwe na uwezo wa kufanya maamuzi magumu. huwezi kujaza washambuliaji ikiwa kuna uwezekano wa kupata hela nzuri..M.28 ni dili zuri sana.

Diego Costa anatosha sana..umetazama mechi ya jana kaka?
Timu iko sawa sana kwa sasa ... na bado wachezaji wengi hawajaripoti..MSIMU UJAO ni wa Chelsea fC kutwaa makombe mengi.

timu iko sawa mno..LUKAKU alikuwa anataka kuanza kila mechi..HAKUNA nafasi ya kumhakikishia jambo hilo. Kucheza Everton ni tofauti na kucheza Chelsea FC kumbuka..

Everton inafurahia kupata nafasi ya 4. Chelsea Fc inalenga ubingwa.. hizi ni timu mbili tofauti sana. Nadhani umenielewa mkuu..

mkuu nimekupata ingawa kwa maoni yangu nilitaka torrres auzwe hata kwa hasara maana nilisikia at.madrid sasa dau likawa kubwa ambalo chelse wanataka ili lukaku apate nafasi ya kucheza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom