Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Man city bado anaonekana ni mbishi sn tofauti na LFC Arsenal na Man Utd....! Lkn kwa gape ya points iliyopo sizani km itakua kz rahisi kwa city kuipunguza...!
mkuu man city mbishi ila angalia game zake alizopoteza,mwaka huu wanakabwa na timu ndogo tofauti na mwaka jana,leo droo kwa QPR,we unadhani waje kuwafunga kina everton,spurs,achilia man,liverpool na arsenal,man city msimu huu hamna kitu
 
Ha ha ha Haaa, mkuu nyangelekene, naona sasa unaongea kiungwana, ulitutolea maneno mengi ya shombo humu, binafsi yalikuwa yananikera, so nikawa nasubiri nikuchape ili utulie, nashukuru imekuwa hivyo.

Pamoja sana Mkuu.
lazima awe mpole,slogan za chelsea kwenye hii thread ni.

ANAYETUPINGA LAZIMA AWE MPOLE.
 
kwa mara ya kwanza tangu nianze kufuatilia premier league timu nne kati ya tano za juu zina kiwango kibovu na kumuacha mmoja [CHELSEA] akikimbia na ubingwa peke yake bila upinzani wowote. kwa msimu huu pamoja na chelsea kucheza vizuri ila timu nyingine za top five zimechangia chelsea kupata[unless lutokee serious collapse kwa chelsea] ubingwa kirahisi kwa kuwa na kiwango kibovu.
 
Sio kweli RRONDO

Ntakuja badae kidogo tupige story kuhusiana na hii hoja yako..!
 
Last edited by a moderator:

sio kweli nini??

1.man utd wabovu misimu miwili sasa
2.arsenal wao ni nafasi ya nne tu ubingwa hauwahusu
3.liverpool majanga
4.man city wote tumewaona katika mechi 6 zilizopita kashinda moja.

hao ndio wapinzani wa chelsea kwenye ubingwa sasa kuna nini hapo??
 
Hahaha aiseee napenda haya matokeo yanavyokuja,Everton,Tottenham lol,ngoja tusubiri Arsenal
 
Babu Malafyale katumbukia kwenye ziwa Nyasa huko kwao Kyela..

HA AHA AHA AA HA HA LOSER POOL FC.

Kama Cahil anashika kwa makusudi lkn hamna penalty unataka sasa Kops wafanye nn?

Refa gave you a game na hii kila mwanamichezo anajua
 
Mkuu Jana tuliahidiana hunu kwamba hatutaki malalamiko baada ya mpira,tukubali matokeo
 
Ila hayaathiri tena mkuu

Viol team yako ya kawaida kabisa na mm ndipo hapo napingana na akina Ntuzu na agosti 8 kuifanya Chelsea kama ni invisible!

Chelsea hii haifikii hata nusu ile ya 2004 na jana Liverpool wameonyesha kuwa wapo level moja kisoka na Chelsea na ndiyo maana nashangaa haya ya kujiita nyie bora yanatoka wapi?

Kama refa angekuwa fair jana tungepata at least point
 
Give a break Malafyale timu UEFA ipo mkiani then uniambie ipo level ,tumewafunga kubali bhana,think twice brother think twice
 
Asiekubali kushindwa si mshindani na sikio la kufa halisikii dawa! Liverpool jipangeni! Chelsea fans tushaanza kuzungumzia habari za mechi zijazo nyie bd mpo na mechi ya jana! Jipangeni

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Give a break Malafyale timu UEFA ipo mkiani then uniambie ipo level ,tumewafunga kubali bhana,think twice brother think twice

Kuhamishia UEFA na ligi ya nyumbani ni kosa kubwa sana la kiufundi!

Jana Borusia Dortmund kawa wa mwisho ligi ya Germany kwa kufungwa karibu kila game yao ya ligi lkn anaongoza kundi lake tena kwa mbali sana!

When you come to international stage hii Chelsea hamfungi Dortmund!By the way Dan kapona namfunga Lugo na baadae Basel na qualify CL knockout stage
 
Chelsea uefa tush qualify ila nye kundi lenu wa mwisho,ligi tumewatandika mpo nafasi ya ngapi?think twice please
 
Ha ha ha Haaa, mkuu nyangelekene, naona sasa unaongea kiungwana, ulitutolea maneno mengi ya shombo humu, binafsi yalikuwa yananikera, so nikawa nasubiri nikuchape ili utulie, nashukuru imekuwa hivyo.

Pamoja sana Mkuu.

haina noma A.K.A WAZEE WA MBEREKO na umeona kuwa isingekua refa nyie ni karatas

YNWA
 
sio kweli nini??

1.man utd wabovu misimu miwili sasa
2.arsenal wao ni nafasi ya nne tu ubingwa hauwahusu
3.liverpool majanga
4.man city wote tumewaona katika mechi 6 zilizopita kashinda moja.

hao ndio wapinzani wa chelsea kwenye ubingwa sasa kuna nini hapo??

Tukianza na Man Utd,

Timu aliyoiacha SAF ndio timu iliyokua bingwa msimu wa 2012-2013. Sasa tatizo likajitokeza uwezo wa DM Ulikua mdogo... Sasaivi Mmepata kocha mkubwa...! Tena mwenye sifa kubwa na amenunua wachezaji wakubwa km Di Maria na Falcao na wengine..... Kwanini msifanye Vzr? Hapa sio swala la kiwango ni uzembe tu wa wachezaji na mpira umebadilika ata timu ndogo zinacheza mpira mzuri na mbinu ni nyingi...!
 
sina muda wa kupoteza....kama unaona man utd inawapa upinzani kwenye ubingwa sawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom