Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

QPR wako vizuri;

Rejea mechi yao QPR vs LFC., QPR vs ASTON VILLA, . QPR vs CHELSEA FC,..

na QPR vs MAN CITY.

sisi CHELSEA FC hatuna muda wa kubweteka; ukibweteka unapigwa benchi tu; muulize SCHURRLE..juzi hakuwepo hata kwenye wachezeji wa akiba..

sisi ubingwa ni lazima siyo ombi..msimu wetu huu..

Timu yoyote iliyopo kwenye EPL ni nzuri na pia nakubaliana na wewe kwamba ubingwa ni lazima kwasababu timu imejengwa na inajengwa kwa kukabiliana na Changamoto zote.... Hii inasaidia sn....! Uzuri Manager wetu anaelewa Vzr sn mambo yote...!
 
Mkuu watu wanasahau Kua Sasaivi mbinu ya kukabiliana na Chelsea imebadilika, wameanza kuwasifia sn ili timu ibweteke na utakuja kushangaa km wachezaji watalewa na hayo masifa na km kocha hatokua makini kwa kuwambia na kuwakumbusha wajibu wao wataanza kuvurunda mwisho wa siku wapolomoke hapo juu na hii itawakatisha tamaa kabisa na kukosa ubingwa...! Uzuri Mourinho anayajua haya Vzr sn.... Angalia maelezo ya Mourinho baada ya mchezo wa Marbor na Chelsea alivyowakomalia wachezaji kwa wao kujijengea mawazo kwamba watashinda tu huo mchezo na kuwabeza Marbor... Hii ilitaka kutokea ata kwa QPR.. ni kz sn Mkuu...!

unachosema mkuu ni sahihi kabisa mpira unadunda wachezaji wanaweza kubweteka tukakosa ubingwa hivihivi.
Ila naona mzee wenger kwa upande wake anaona chese atachukua ubingwa na hii inatokana na kuona chese ktk round ya kwanza amebakiza tim ambazo kwa kiasi fulani sio ngumu, hivyo chese ataendelea kuongoza msimamo wa lig ktk round hii tena nadhani kwa zaidi ya hizi point alizonazo dhidi ya wapinzani hiki ndicho kinachomuogopesha wemger
 
Ni kweli Mkuu kimtazamo kz km imekwisha lkn kivitendo kz bado sn....!

Timu inakua ktk Hali na wakati mgumu sn kwa mazingira km haya.... Tunahitaji timu kujengwa kiakili na kujua kz bado Mpk mwezi wa tano..,! Ukiangalia fixture jinsi ilvyo na hasa ya December na ukizingatia tunashiriki mashindano manne na timu zingine zina muda wa kupumzika sn tu. Tunahitaji timu imara sn ndio Maana unamuona Mourinho anafurahi kwa Costa kuachwa ktk kikosi chake cha timu ya Taifa...! Hi ni Changamoto sn Mkuu wakati huu.,! Tunahitaji timu imara isiyo bweteka na kuijenga kiakili Kua wao bado sio mabingwa Mpk Mei...!
 
usiwe na hofu Ntuzu; kwa sasa si vibaya kufurahia mafanikio; Ubingwa si lazima tufike Mei.
tunaweza kuchukua ubingwa Mwezi wa 3 au 4. itategemea juhudi zetu..

Na zimebaki mechi 8 mzunguko wa kwanza; tukimiliza hizo bila kufungwa ujue tutazidi kuwa na uhakika wa kuchukua ubingwa mapema.

Arsene Wenger; hajawahi kuwa bingwa tangu Mourinho atue Uingereza 2004.

Arsenal Fc walibeba ubingwa bila kufungwa 2003-2004. Lakini ligi haikuwa ngumu kama ilivyo sasa.

Ndo maana watu wanashngaa CHELSEA FC wamewezaje kucheza mechi 11 bila kufungwa kwenye ligi kuu.

Mafanikio zaidi yanakuja.

unachosema mkuu ni sahihi kabisa mpira unadunda wachezaji wanaweza kubweteka tukakosa ubingwa hivihivi.
Ila naona mzee wenger kwa upande wake anaona chese atachukua ubingwa na hii inatokana na kuona chese ktk round ya kwanza amebakiza tim ambazo kwa kiasi fulani sio ngumu, hivyo chese ataendelea kuongoza msimamo wa lig ktk round hii tena nadhani kwa zaidi ya hizi point alizonazo dhidi ya wapinzani hiki ndicho kinachomuogopesha wemger
 
usiwe na hofu Ntuzu; kwa sasa si vibaya kufurahia mafanikio; Ubingwa si lazima tufike Mei.
tunaweza kuchukua ubingwa Mwezi wa 3 au 4. itategemea juhudi zetu..

Na zimebaki mechi 8 mzunguko wa kwanza; tukimiliza hizo bila kufungwa ujue tutazidi kuwa na uhakika wa kuchukua ubingwa mapema.

Mkuu agosti 8 Mimi wala sina hofu kabisa Mkuu tena niko na furaha sn kwa Mpk Hapa timu yetu ilipofika...! Naelewa tunakwenda Kua mabingwa msimu huu....! Ila Nilikua natoa maoni yangu kutokana na mambo yalivyo na kz tuliyonayo hapo mbele...! Namkubari sn Jose Moirinho anayafahamu haya yote Vzr na ndio Maana baada ya game ya Marbor alisema yeye anapaswa kubeba lawama Kwanini timu Yake haikushinda. So yeye ni Manager anafahamu kuongoza timu nyakati zote....!

Pamoja sn Mkuu, ubingwa ni lazima msimu huu..!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu mna mawazo mswano sana. Kwa kweli huu ni mwaka wetu kuchukua ubingwa tena kuuchukua mapema iwezekanavyo. Hii itakuwa sifa kubwa sana kwa Chelsea, Maurinho na wote waliohusika. Fikiria kuchukua ubingwa ktk ligi ngumu kuliko zote duniai tena kukiwa kumebaki michezo kadhaa. Watatuchukia sana the rest lkn itabidi ukweli mchungu waumeze!

Nimesoma uzi fulani na wanazungumzia waliochemsha ktk usajili wa mwaka huu. Timu inayoongoza kwa kuchemsha ktk usajili ni Liverpool ikiwa na magharasa 3 kati ya 7 yaliyotajwa. Hawa ni Dejan Lovren, Balotelli,na Lallana. Jionee mwenyewe:

Ranking The 8 Worst Premier League Summer Transfers: Liverpool Flops Dominate, While Man United's £27m Defender Also Features | CaughtOffside.com
 
Wakuu mna mawazo mswano sana. Kwa kweli huu ni mwaka wetu kuchukua ubingwa tena kuuchukua mapema iwezekanavyo. Hii itakuwa sifa kubwa sana kwa Chelsea, Maurinho na wote waliohusika. Fikiria kuchukua ubingwa ktk ligi ngumu kuliko zote duniai tena kukiwa kumebaki michezo kadhaa. Watatuchukia sana the rest lkn itabidi ukweli mchungu waumeze!

Nimesoma uzi fulani na wanazungumzia waliochemsha ktk usajili wa mwaka huu. Timu inayoongoza kwa kuchemsha ktk usajili ni Liverpool ikiwa na magharasa 3 kati ya 7 yaliyotajwa. Hawa ni Dejan Lovren, Balotelli,na Lallana. Jionee mwenyewe:

Ranking The 8 Worst Premier League Summer Transfers: Liverpool Flops Dominate, While Man United’s £27m Defender Also Features | CaughtOffside.com

tunachoomba ktk tim yetu kusitokee majeruhi makubwa kwa wachezaji lisipotokea hilo ubingwa mweupe,ingawa kwa sasa kuna malumbano kati mourinho na de bosque kuhusu fabregas spain haiamini kama fabregas ni majeruhi wanataka ku re check once again
 
Ni kz sn Mkuu, Nimeiona Hiyo sakata sizani km Chelsea watamzuia Faby asiende kwa nation team Yake..!
 
Mkuu Manumbu a.k.a Maviazi tupia tu Hizo Articles Mkuu hii itasaidia kwa watu wengine kupata Habari kirahisi kulikoni kuzitafuta kupitia mitandao mingine!

Mentor agosti 8 tupieni picha wakuu...!
 
Last edited by a moderator:
Fixtures & Results

Waungwana, huu ndo msimu wetu mzima mwaka huu, kama ulivyochukuliwa toka kwenye mdomo wa farasi wenyewe!

Mon 18 Aug 2014 20:00 Burnley 1 - 3 Chelsea

Sat 23 Aug 2014 15:00 Chelsea 2 - 0 Leicester City Leicester City

Sat 30 Aug 2014 17:30 Everton 3 - 6 Chelsea

Sat 13 Sep 2014 15:00 Chelsea 4 - 2 Swansea City

Sun 21 Sep 2014 16:00 Manchester City 1 - 1 Chelsea

Sat 27 Sep 2014 15:00 Chelsea 3 - 0 Aston Villa

Sun 05 Oct 2014 14:05 Chelsea 2 - 0 Arsenal

Sat 18 Oct 2014 15:00 Crystal Palace 1 - 2 Chelsea

Sun 26 Oct 2014 16:00 Manchester United 1 - 1 Chelsea

Sat 01 Nov 2014 15:00 Chelsea 2 - 1 QPR

Sat 08 Nov 2014 12:45 Liverpool 1 - 2 Chelsea

Sat 22 Nov 2014 15:00 Chelsea v West Brom

Sat 29 Nov 2014 17:30 Sunderland v Chelsea

Wed 03 Dec 2014 19:45 Chelsea v Tottenham Hotspur

Sat 06 Dec 2014 12:45 Newcastle United v Chelsea

Sat 13 Dec 2014 15:00 Chelsea v Hull City

Mon 22 Dec 2014 20:00 Stoke City v Chelsea

Fri 26 Dec 2014 12:45 Chelsea v West Ham United

Sun 28 Dec 2014 14:05 Southampton v Chelsea

Thu 01 Jan 2015 17:30 Tottenham Hotspur v Chelsea

Sat 10 Jan 2015 15:00 Chelsea v Newcastle United

Sat 17 Jan 2015 15:00 Swansea City v Chelsea

Sat 31 Jan 2015 15:00 Chelsea v Manchester City

Sat 07 Feb 2015 15:00 Aston Villa v Chelsea

Wed 11 Feb 2015 19:45 Chelsea v Everton

Sat 21 Feb 2015 15:00 Chelsea v Burnley

Sat 28 Feb 2015 15:00 Leicester City v Chelsea

Tue 03 Mar 2015 19:45 West Ham United v Chelsea

Sat 14 Mar 2015 15:00 Chelsea v Southampton

Sat 21 Mar 2015 15:00 Hull City v Chelsea

Sat 04 Apr 2015 15:00 Chelsea v Stoke City

Sat 11 Apr 2015 15:00 Queens Park Rangers v Chelsea

Sat 18 Apr 2015 15:00 Chelsea v Manchester United

Sat 25 Apr 2015 15:00 Arsenal v Chelsea

Sat 02 May 2015 15:00 Chelsea v Crystal Palace

Sat 09 May 2015 15:00 Chelsea v Liverpool

Sat 16 May 2015 15:00 West Bromwich Albion v Chelsea

Sun 24 May 2015 15:00 Chelsea v Sunderland
 
Arsene Wenger pamoja na roho mbaya yake na chuki binafsi alizonazo kwa kushindwa kwake kumfunga Maurinho, amekiri kuwa Chelsea tunaweza kupata point 105 msimu huu. Mechi zilizosalia ni 27. kama tukishinda zote tutapata point 81. ukijumlisha na tulizo nazo sasa (29 points) unapata point 110. hii manake ni kuwa Wenger anategemea tutapoteza point 5 tu yani tutapata draw 5 au tutafungwa mechi 1 na kutoa draws 2. Wewe mwana Chelsea unadhani (otea) tutachukua ubingwa tukiwa na point ngapi? Mimi natabiri tutachukua tukiwa na point 107 tukipoteza point 3 tu kati ya 81 tuzitarajiazo mbele yetu!
 
mimi nataka mambo mawili:

1. ikiwezekana tufikie pointi 100.
2. ikiwezekana tucheze mechi zote bila kufungwa;

kijana wetu EMBOABA OSCAR # 8 ameongeza miaka 5 zaidi ya kuendelea kuitumikia timu yetu; CHELSEA FC.

Yaani; hadi mwaka 2019
 
mimi nataka mambo mawili:

1. ikiwezekana tufikie pointi 100.
2. ikiwezekana tucheze mechi zote bila kufungwa;

Mkuu tuko pamoja kabisa. Mimi nataka kidogo tu zaidi. tufikishe point 107. iwe rekodi ambayo kuja kuvunjwa tena itachukua miaka 100! ili hawa wachonga midomo wachongee lkn wafikie sehemu wakubali kuwa ile Chelsea haitotokea! Nami nataka tusifungwe hata mchezo mmoja. Infact bado naumizwa na zile draw mbili. Hazikustahili kuwepo kwa viwango vibovu vya hawa wapinzani wetu mwaka huu!
 
akina Malafyale wangekuwa bado wananusa nusa huku tungeshafika pg 1000. wote washaingia mitini so tuko wenyewe tunavinjali.
 
Pat Nevin: Most
wanted
With club football now on hold
for a fortnight, columnist and
Chelsea legend Pat Nevin
focuses his full attention on
another enjoyable outing at
Anfield…
No team in the UK can feel
quite as relaxed as Chelsea
right now, even if you can
never really be too
contemplative this early in the
season.
Maybe I use the term relaxed
because it was so tense in the
run-up to Saturday’s game at
Anfield. Oddly enough I felt
more laid back before the trips
to the Etihad, Old Trafford and
Goodison Park than I did
before this one. That is
strange because Brendan
Rogers’s side aren’t
necessarily as strong as either
City, United or arguably even
Everton, so why the pre-match
tension that never really
dissipated until the final
whistle?
It could have been the build-
up. With both teams travelling
in Europe, the eyes of the
media hadn’t left the clubs for
a second during the week. I
was at the Bernabeu watching
Liverpool and they certainly
fought well enough against a
Real Madrid side that in
fairness didn’t ever have to go
through the gears. They did
however look buoyed and it
seemed, crucially, they had
rested some key figures for
our visit.
For all the chat about
numbers, I think there were
two players in particular that
Brendan needed to perform
on Saturday - Raheem Sterling
and Steven Gerrard. The
former would have a tough
job breaking down our
defence on his best form,
which he isn’t in, but Gerrard
is one of that select group of
players who can control
matches at the very top level.
Even at his age he is the class
act at Liverpool and he needed
to be stopped, both managers
were clearly aware of his
importance. As such Brendan
had him well rested and Jose
needed to find a way of
nullifying him.
On the day Jose, as he often
does, out-thought his
counterpart. Oscar was
detailed to ensure that either
Gerrard didn’t get on the ball
or when he did, he had no
time to get his head up and
spray passes around the pitch.
Some Kopites might have
complained about the former
England captain’s limited effect
on the game, but Oscar for all
his world-class attacking
qualities is also world-class at
closing down and tackling
high up the field. It was a
master class in doing the job
of shutting down an
opponent.
With their skipper uninvolved,
the power base of the tie was
swayed in our direction.
Talking of the power, I was
pretty smug about my final
words on Chelsea TV in the
prelude to the game: ‘Our set
pieces and corners could be
vital in this contest.’
Well okay, it maybe it wasn’t
that difficult to call with
Ivanovic, Costa, JT, Cahill and
Matic all hammering in against
a much less physically
powerful home side, so no
one was really surprised that it
was the shear physical
prowess along with a greater
desire that willed Gary Cahill’s
goal over the line, just.
Even after the second goal by
Diego Costa however, I still
couldn’t really relax and I am
sure that the vast majority of
Chelsea fans watching felt the
same. Maybe it was subliminal,
it is after all November and we
haven’t always cruised
through this month over the
past few seasons.
Another thought running
through the darker recesses
of our collective minds was
the late goals lost at both City
and United already this
season. The most negative
among us would have been
thinking that the QPR win was
less than sparkling, the
Shrewsbury victory was a
battle not a cruise, and the
Maribor draw a reminder that
nothing can be taken for
granted. We needn’t have
worried but plenty of us did. I
suspect part of the real reason
for the tension was simple, we
really wanted to win this
game, maybe even more than
most others during the
season. Not just because it
gives us a good cushion over
the rest, or that our biggest
rivals have tricky fixtures to
come, but basically we love
beating Liverpool specifically,
maybe more than anyone else
in the Premier League.
There is no getting round it,
and I believe the feeling is
fairly mutual from the red side
of Merseyside, our fans are
desperate to get three points
against them and it really gets
to us when we do not. Even
though I played for Chelsea
and Everton I have never had a
particular antipathy towards
Liverpool. There is no hatred
on my part, but even I would
probably accept that I enjoyed
those three points more than
any other this season, in fact
more than any other since the
last time we beat them at
Anfield.
Maybe it is just down to
history and the way the two
clubs have travelled in
diametrically opposite
directions over the past few
decades. They were the Kings
of Europe when we for a
while could only claim to be
the Kings of King’s Road. But
now we regularly reach the
latter stages of the Champions
League and are recent
winners, while their
continental domination grows
ever more distant. There have
of course been the tussles in
that Champions League and
their young supporters
remember Istanbul as we
cherish Munich. The biggest
difference is of course their
inability to win the Premier
League for a generation while
we usurped Manchester
United and now vie with City
for the title.
It must be particularly painful
of course for Liverpool fans
when they expected to win
the title last season only to be
denied in a game against, of
all people, us at their home. In
the end I find myself not
wanting to place too much
feeling or importance on these
games but somehow always
being drawn into them more
and more. Maybe it is the fact
that in my job as a pundit, the
landscape is totally dominated
by former Liverpool players
who understandably see the
tie, to a greater or lesser
extent depending on the
pundit, through red-tinted
spectacles. It can get a touch
grating as many Chelsea fans
have said before.
Hopefully. even if I openly
want Chelsea to win, I am not
myopic. For example I openly
admit that they should have
got a penalty in the second
half when Gary Cahill ‘armed’
the ball. The difference
between being supportive and
being biased is often hard to
spot, then again all of us like
to think of ourselves as being
objective, but it is often in the
eye of the beholder and that
eye isn’t always wide open to
the opposition’s case. So in the
interests of fairness let me say
that Liverpool played quite
well last week, just not as
good as us…again.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom