successor
JF-Expert Member
- Oct 25, 2012
- 3,084
- 6,155
Kuna mwehu mmoja humu alikuwa anapiga sana kelele, sijui amepotelea wapi, anaitwa nyangelekene, stupid football fan. Njoo sasa na maneno yako ya kihayawani.
mkuu heshima mbele huyu alianza matusi hapa wiki nzima na si maana ya kuwa na hii thread if we want matusi walichokipata nia stahili kwao
nipo asee...unahasira sana Jamaa ...mlininyima last season ubingwa so siipend chelsea kinyama...HONGERENI
Refaree gave you a game!Penalty ya wazi na kadi nyekundu kwa Cahil
gape point nane na city jamani, atatukuta kweli.
Man city ndo nilikuwa nawaogopa,washakalishwa nani wakutufukuzia?Southampton?
nipo asee...unahasira sana Jamaa ...mlininyima last season ubingwa so siipend chelsea kinyama...HONGERENI
Man city ata Leo wameponea chupuchupu...! Alafu gape ya points 8 kwa wao kutufikia sio rahisi...! Maana timu yetu imedhamiria kuchukua ubingwa...!
Kaka mechi ijayo tunakutana na watani,hao walituaibisha msimu uliopita,najua kichwa cha morinho hairudii makosa
Mkuu Ni kweli mkuu. Lkn kuna kitu unaweza ukawa umejifunza kwa Mourinho..., msimu uliopita tulisema zile timu zilizopo kwenye top four zisitufunge ata moja na kweli hakuna ata moja iliyotufunga Lkn vitimu vidogo vilitusumbua sn.... Lkn msimu huu Mourinho hataki kufungwa na timu yoyote ile...! Kwa hiyo mkuu Hivi vi timu vitapigwa sn....!
Aiseee hizi team kubwa hata haiumizi akili kwetu tangu mwaka jana,kumbuka karibu hao wote timu kubwa tuliwapiga nje ndani,tuliharibiwa sana points zetu mwaka Jana na timu ndogo kama Sunderland na westham bila hao ubingwa ungekuwa wetu,lakini mwaka huu kipigo kwa wote