kalou
JF-Expert Member
- Aug 22, 2009
- 4,992
- 3,879
Viol team yako ya kawaida kabisa na mm ndipo hapo napingana na akina Ntuzu na agosti 8 kuifanya Chelsea kama ni invisible!
Chelsea hii haifikii hata nusu ile ya 2004 na jana Liverpool wameonyesha kuwa wapo level moja kisoka na Chelsea na ndiyo maana nashangaa haya ya kujiita nyie bora yanatoka wapi?
Kama refa angekuwa fair jana tungepata at least point
fair enough.
lakini kabla ya mechi ya jana mlishapoteza nyingine nne.
Na naamini kwa kikosi chako na mfumo wa BR,
kuna mechi nyinine nyingi mtapoteza ,unless mrudi kwenye kiini cha tatizo.
Last edited by a moderator: