Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

jamani chelsea wakumuogopa ni mancity peke yao .hawa wengine basi tena hawana uwezo wa kutukuta kabisa . unamwachwaje point 15 halafu na wewe unajiita upo kwenye mbio za ubingwa .
 
man city naye tiyari tumemuacha point 8 mwaka huu wetu
 
jamani chelsea wakumuogopa ni mancity peke yao .hawa wengine basi tena hawana uwezo wa kutukuta kabisa . unamwachwaje point 15 halafu na wewe unajiita upo kwenye mbio za ubingwa .

Ata loserfool wako ktk mbio za kuwania ubingwa....!
 
kwa maoni yangu hii international break inatupa mwanya mzuri sna wa kujipanga upya. phase 1 ya ligi tumeimaliza vizuri sana. sasa ni phase 2 yani Nov to Dec. tukimaliza game zote kwa ushindi basi ubingwa unapatikana by April mwakani!
 
bado match 8. wstbrom, sunderland, westhm, spurs, stoke, southmptn, newcastle na . kati hizo mkuu spurs ndio anaweza kututibulia malengo yetu
 
spurs tunamchapa kama mtoto kuna Newcastle na westham plus southhampton hawa wamejiandaa kutibua waongoza ligi
 
Tusiwadharau Southampton wakuu ukaribu wao si mzuri hii ligi ya uingereza si bongo,unaweza kushangaa hawavutwi chini
 
Mkuu Kazi imekwisha Jana....! Hizi timu zilizobaki tutazifunga vibaya sn...!

ni kweli kazi imekwisha jana lakini kuna mwezi december kila baada ya siku mbili au tatu kuna game so nawaza fitness ya kila mchezaji kuleta matokeo chanya specifically kwenye barclays premeire league
 
Nimeiona hiyo fixtures ya December lkn huo ndio Muda wa kucheza sn watu km Ake, Salah, Zouma, Christiansen na wengine wote..!
 
Tusiwadharau Southampton wakuu ukaribu wao si mzuri hii ligi ya uingereza si bongo,unaweza kushangaa hawavutwi chini

Mpk tutakapokutana Southampton December 28 tayari watakua wamefungwa na kutoka nafasi ya pili... Sisi tutawamalizia tu...!
 
Nasubiri wakutane na timu kubwa nione je watakaa pale au watashuka kama Swansea walivyoanza
 
Lazima watoke hapo juu...! Tena wakifungwa michezo miwili tu basi wanatoka hapo juu....!
 
Hii kombe tumechukua aisee,niliowaogopa ilikuwa man city,walivyo wabovu hata kwao hawapumui basi njia nyeupw
 
Man city bado anaonekana ni mbishi sn tofauti na LFC Arsenal na Man Utd....! Lkn kwa gape ya points iliyopo sizani km itakua kz rahisi kwa city kuipunguza...!
 
nipo asee...unahasira sana Jamaa ...mlininyima last season ubingwa so siipend chelsea kinyama...HONGERENI

Ha ha ha Haaa, mkuu nyangelekene, naona sasa unaongea kiungwana, ulitutolea maneno mengi ya shombo humu, binafsi yalikuwa yananikera, so nikawa nasubiri nikuchape ili utulie, nashukuru imekuwa hivyo.

Pamoja sana Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
jamani chelsea wakumuogopa ni mancity peke yao .hawa wengine basi tena hawana uwezo wa kutukuta kabisa . unamwachwaje point 15 halafu na wewe unajiita upo kwenye mbio za ubingwa .
hahaha kauli ya madharau mkuu,kwahiyo hao wengine hawana madhara tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom