ENZO
JF-Expert Member
- Sep 30, 2010
- 4,248
- 1,745
mkuu Ntuzu huyo hata asikuumize kichwa! ye mwenyewe anaelewa! kesho hatoki, sema nguvu za banana na viroba ndio zinampeleka peleka!" ...........
Grand PA
Last edited by a moderator:
nini shida?
kesho siyo mbali
mkuu Ntuzu huyo hata asikuumize kichwa! ye mwenyewe anaelewa! kesho hatoki, sema nguvu za banana na viroba ndio zinampeleka peleka!" ...........
Grand PA
Kesho jongoo linajileta lenyewe, kazi yetu nikuchija tu, na kunywa supu hehehehehehehehehe!
Loseful wanaudhi sana mkuu Ntuzu,hawana kipya wanahema tu lakini mashabiki humu kuzingua watu.
TEH TEH TEH......balotel mtoa bikra
we nawe acha kupoteza muda wako!" kelele nyiiingi, wakat unajua timu yako! majanga, ........ muda wako ungeuwekeza kwenye mambo ya msingi angalau upate hela.
Grand PA
utabiri ni kazi tofauti kabisa...
Baloteliiiiiiii???,?? atamfunga nani? kilaza kama yule.
team chelseafc,, leoo ushindii lazimaaa chelsea2-liver 1
Game 3 za karibuni za LFC vipi unaangalia pia?
L L L
Game 3 za karibuni za CHELSEA FC.
D W D
Unafikiri sisi wajinga kama wewe?
teh teh teh teh...at the begining it waz W W W now its D W D..Ndomana nakwambia mchaanza kuchungulia kabur.
Golini atakua Courtois
Beki za pembeni Ni Ivanovic na Azzp
Beki za Kati Ni Terry na Cahill
Viungo wa Kati Fabregas na Matic na Oscar
Viungo wa pembeni Ni Willian na Hazard.
Mshambuliaji Ni Costa...!
LFC lazima wapaki bus na kutafuta mbinu ya kutuzuia...!
#KTBFFH