Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

jmoc bikra inatolewa.....jiandae maumivu

liverpool haiwezi kuifunga chelsea toka April haijafungwa game yoyote na ni unbeaten for .17 games uwe realistic tu, You shall never win against chelsea in any competition this season. Chelsea top premeire league ,top champions league, quarter finals on capitol one they are the best at moment na bora liverpool wa focus kwenye tactics zao za kufungwa unless lunchtime game it will be disaster for liverpool
 
in fact mechi ya mwisho ya mashindano sisi kufungwa ni April 2014 kwenye nusu fainali na Athletico Madrid. Baada ya hapo hatujafungwa hata game moja! na hatufungwi in a near future at all! kufungwa kwetu ni kama jana...kutoa sare. na ndio maana hawa waliozoea kuchonga na waliozoea kufungwa wanaona point kuwa 'tumefungwa'. kiukweli ni admiration waliyonayo kwetu, kwa kujua au kwa kutokujua hata wakatae vipi wanatukubali.

Mkuu Manumbu, Liverpool walishangilia kufungwa 1-0! Hii timu imekuwa mbovu kupitiliza. Hata aibu hawaoni, wanajisifu hadharani, ni kitu cha ajabu sana. Kocha amekata tamaa, kadhalika na wachezaji bila kusahau mashabiki wao.

Msimu huu kila timu iki draw na chelsea inashangilia kana kwamba imeshinda wakati huo sisi tukihizunika, hapo ndio ubora wa chelsea unapodhihirika.

Naisubiri Jumamosi kwa hamu sana, tuwadhihirishie hawa mashabiki maandazi wanaopenda kuukimbia ukweli, kuwa sisi ni bora kuliko wao kila idara.
 
Last edited by a moderator:
liverpool haiwezi kuifunga chelsea toka April haijafungwa game yoyote na ni unbeaten for .17 games uwe realistic tu, You shall never win against chelsea in any competition this season. Chelsea top premeire league ,top champions league, quarter finals on capitol one they are the best at moment na bora liverpool wa focus kwenye tactics zao za kufungwa unless lunchtime game it will be disaster for liverpool

we weka yote ila jmoc ndo utajua kuwa nyie ni unbeaten au walain tu....kuwa bora haimaanishi hamtofungwa jamaa...tembea kifua mbele ila jmoc utajua maana ya disaster kwa kiswahil
 
Mkuu Manumbu, Liverpool walishangilia kufungwa 1-0! Hii timu imekuwa mbovu kupitiliza. Hata aibu hawaoni, wanajisifu hadharani, ni kitu cha ajabu sana. Kocha amekata tamaa, kadhalika na wachezaji bila kusahau mashabiki wao.

Msimu huu kila timu iki draw na chelsea inashangilia kana kwamba imeshinda wakati huo sisi tukihizunika, hapo ndio ubora wa chelsea unapodhihirika.

Naisubiri Jumamosi kwa hamu sana, tuwadhihirishie hawa mashabiki maandazi wanaopenda kuukimbia ukweli, kuwa sisi ni bora kuliko wao kila idara.

ata timu bora inafungwa jamaa tena haijalish nyie ni unbeaten kwa gem ngap..nakama unatakajua nyie mshaanza kuchungulia kaburi ,chek gemu zenu za iv karibun..ynwa
 
ata wenzio wanajua iyo bikra mlotunza jmoc ndo mwisho wake vidume vitaitusua kweupe.......kwa LIVER nyie ni weupe sana tena walain mnaiva kwa moto wa magazeti....

yaani afadhari ungesema spurs anaweza leta upinzani lakini si lvpol. livpol amsubiri man ndiyo kibonde wake wanaosumbuana
 
huyo jamaa wa lfc kaingia akaanza kuongea ujinga ..

hakuna ujinga popote kush....unahasira sana kama vile unayo man?,,take eazy kush,,jmoc iko karbu usiogope sana kufungwa nikawaida tu so jiandae kutobolewa..ynwa
 
Ehehehehehe wakati mdhamini wa Chelsea ni auto-Glass ndugu yangu kweli ulikuwa Chelsea?

Kicheko cha RRONDO kinaanzia hapo eheheheheh

kama mimi nina miaka 20, wakati napata akili chelsea walikuwa na fly emirates, kwa hiyo usi complain tu
 
Last edited by a moderator:
yaani afadhari ungesema spurs anaweza leta upinzani lakini si lvpol. livpol amsubiri man ndiyo kibonde wake wanaosumbuana

mshaanza kuchungulia kaburi,jaribu kuangalia gemu za iv karibu...narudia tena"nyie ni walain sana mnaiva kwa moto wamagazeti"...jmos ndoutajua namaanisha nn
 
we nawe acha kupoteza muda wako!" kelele nyiiingi, wakat unajua timu yako! majanga, ........ muda wako ungeuwekeza kwenye mambo ya msingi angalau upate hela.

Grand PA
 
Game 3 za karibuni za LFC vipi unaangalia pia?

L L L

Game 3 za karibuni za CHELSEA FC.
D W D

Unafikiri sisi wajinga kama wewe?

ata timu bora inafungwa jamaa tena haijalish nyie ni unbeaten kwa gem ngap..nakama unatakajua nyie mshaanza kuchungulia kaburi ,chek gemu zenu za iv karibun..ynwa
 
Jaman toeni ujambuzi yakinifu mambo ya bikra humu co mahara pake..kama MTU anawaza bikra aende jukwaa LA mapenzi huko

Huyo asikusumbue... Ngoja niwambie majembe wa lugha km zake waende ktk Uzi wao kule wakarushe maneno..!

Viol Grand PA komaeni na Uzi wa loserfool muwezavyo...!
 
Last edited by a moderator:
hawa liver hawataonekana tena humu jukwaani baada ya kesho. wenzao arsenal, man u na city walishatoweka kitambo baada ya kufulia. so hawa nao wana sio zaidi ya saa 24 hatutawaona tena humu jamvini. mabingwa tutabaki wenyewe tu tukizungumzia mikakati ya ushindi kwa next game. one game after another...ndo mkakati
 
Loseful wanaudhi sana mkuu Ntuzu,hawana kipya wanahema tu lakini mashabiki humu kuzingua watu.
 
Last edited by a moderator:
kabisa..

hawa liver hawataonekana tena humu jukwaani baada ya kesho. wenzao arsenal, man u na city walishatoweka kitambo baada ya kufulia. so hawa nao wana sio zaidi ya saa 24 hatutawaona tena humu jamvini. mabingwa tutabaki wenyewe tu tukizungumzia mikakati ya ushindi kwa next game. one game after another...ndo mkakati
 
Huyo asikusumbue... Ngoja niwambie majembe wa lugha km zake waende ktk Uzi wao kule wakarushe maneno..!

Viol Grand PA komaeni na Uzi wa loserfool muwezavyo...!

mkuu Ntuzu huyo hata asikuumize kichwa! ye mwenyewe anaelewa! kesho hatoki, sema nguvu za banana na viroba ndio zinampeleka peleka!" ...........

Grand PA
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom