Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
khe khe khe khe khe khe khe anaekereka hacheki....labda ungeuliza kinanichekesha nini?! #GloryHunters
Cha ajabu kitu gani mpk ucheke?
khe khe khe khe khe khe khe anaekereka hacheki....labda ungeuliza kinanichekesha nini?! #GloryHunters
Cha ajabu kitu gani mpk ucheke?
Ehehehehehe wakati mdhamini wa Chelsea ni auto-Glass ndugu yangu kweli ulikuwa Chelsea?
Kicheko cha RRONDO kinaanzia hapo eheheheheh
Cha ajabu kitu gani mpk ucheke?
umenikumbusha enzi za kina gullit, zola, viali ,wise na wengineo, muholanzi yule akawa anajidai kocha mchezajiEhehehehehe wakati mdhamini wa Chelsea ni auto-Glass ndugu yangu kweli ulikuwa Chelsea?
Kicheko cha RRONDO kinaanzia hapo eheheheheh
umemsahau roy evans mkuu, si katoka juzi tu ndo akaja g hwatu hutofatiana umri; kwa hiyo hata kuingia kwenye timu inaweza kuwa tofauti pia.
Hata LFC fans; wengine wamekuwepo tangu Enzi za kuangalia mikanda iliyorekodiwa ya mechi za Ulaya ambayo ndugu na marafiki kutoka ughaibuni walileta.
Wengine LFC wa Enzi ya KD,
Wengine LFC wa Enzi ya Gerrard Houllier
Wengine watoto wa juzi..
hakuna cha ajabu; mkuu Malafyale.
Ishu ya msingi; kila anapenda apendacho..
watu hutofatiana umri; kwa hiyo hata kuingia kwenye timu inaweza kuwa tofauti pia.
Hata LFC fans; wengine wamekuwepo tangu Enzi za kuangalia mikanda iliyorekodiwa ya mechi za Ulaya ambayo ndugu na marafiki kutoka ughaibuni walileta.
Wengine LFC wa Enzi ya KD,
Wengine LFC wa Enzi ya Gerrard Houllier
Wengine watoto wa juzi..
hakuna cha ajabu; mkuu Malafyale.
Ishu ya msingi; kila anapenda apendacho..
timu pekee kutoka ligi ya EPL inayoongoza kundi kwenye UCL.
timu pekee ambayo haijafungwa kwenye mechi yoyote ya mashindano msimu huu.
CHELSEA FC -
hao majogoo lazm tuyakaange na yawe supu tiyari kwa kuliwa na chapati.
Basi tumia lugha nzuri mkuu ata km ndio mambo ya Mpira Lkn upunguze ukali wa maneno....! Kuna Chelsea fans wengine hawawezi kuvumilia hizi lugha zako.....! Ni ushauri tu nimetoa...!
Btw, tunafahamu Ni kiasi gani mtakua mmejiandaa kucheza Mpira wa nguvu hasa mkizingatia vitu kadhaa.... Kwanza hamtaki tuwafunge tena hapo kwenu, na pili mnataka muwe wa kwanza kutufunga ktk msimu huu.... Lkn napenda mfahamu Kua mkijitahidi sn siku hiyo mtapata draw vinginevyo kichapo kiko palepale...!
jmoc bikra inatolewa.....jiandae maumivu
ata wenzio wanajua iyo bikra mlotunza jmoc ndo mwisho wake vidume vitaitusua kweupe.......kwa LIVER nyie ni weupe sana tena walain mnaiva kwa moto wa magazeti....
mwaka jana niliitoa yako pande zote.
Kaka naona umeanza kukata tamaa sasa "tulipata bao likakataliwa"! Refa akilikataa ina maana siyo bao!
Why uende hadi kutegemea penalty kwa Marboro?Je hujui kuwa washindi kundi lenu kutawaondolea uwezekano wa kukutana na miamba kana Munich na Madrid?
Mm isha washtukia nyie kama mmeanza kutepeta kama kawaida yenu kwenye game ya Man U na QPR
Jumamosi nakupiga easy kabisa
kaanza nani?