Golini atakua Courtois
Beki za pembeni Ni Ivanovic na Azzp
Beki za Kati Ni Terry na Cahill
Viungo wa Kati Fabregas na Matic na Oscar
Viungo wa pembeni Ni Willian na Hazard.
Mshambuliaji Ni Costa...!
LFC lazima wapaki bus na kutafuta mbinu ya kutuzuia...!
#KTBFFH
mkuu naomba ufafanuz kwan Ivanovic si alipewa red card mech na man u mbona anacheza hata gem na QPR pia alicheza au hakufungiwa kucheza mechi 3 ?!