Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
timu gan ilipaki basi kipind mlipo cheza nayo...evidence plz
Na nyie Leo mtapaki bus...,!
timu gan ilipaki basi kipind mlipo cheza nayo...evidence plz
baloteli ni chizi...
Kocha anatumia dakika 14 za kipindi cha mapumziko kumsihi yeye tu tena akiongea na balo tu kua, acheze mpira tu, ata km mchezaji akimchezea rafu, yeye acheze mpira tu amuachie refa, ata km refa akitoa maamuzi mabaya, yeye amuache tu, ata km mchezaji akimtolea maneno mabaya balo, yeye amuache,! Then kipindi cha pili kilipoanza baada ya maneno yoote hayo na kocha wake kutumia muda mwingi kumsihi dakika ya 46 baloteli akapewa kadi nyekundu... Huyu si chizi huyu?!!! Alafu wewe ndo unatutisha na chizi? Kweli wewe poyoyo...!
ahahahahaa...unaongea kwa uoga asee...jiamin bhana
hiyo ndio pressure aliyonayo kocha wako na kutufunga leo hilo halipo....!
mzimu wa liverpool ushaanza kukusumbua,,,SUBIR KIDOGO KIBRA INAKARIBIA...YNWA
na nyie leo mtapaki bus...,!
mkuu nyangelekene, nakuomba baada ya mechi usije ukapotea....uendelee kuwepo tafadhali. Maana watu kama nyie mna maneno mengi lakini baada ya kichapo mnakimbia na kupotea. Maneno yako yatakuponza.
Leo tunawafunga magoli yasiyopungua mawili na hamtagusa nyavu zetu....mark my words mkuu.
ulishaona mashabiki wa chelsea wakawa waoga km nyie mnaoshangilia kufungwa goli moja?
jogoo akimaliza kazi yake sina haja yakuja tena humu ntawaacha muendelee na maombolezo....ynwa
thanx poyoyo mimi but leo ndoutajua balotel ni chiz au mwehu ndan ya nyavu zenu...ushaur wangu anza kujiandaa kisaikolojia mapema na kufungwa leo,kama unatumia viroba anza kutumia kuanzia saiv vinaweza kukusaidia..ynwa
Jose Mourinho - ''My approach is when Liverpool have the ball we have to defend, when we have the ball we have to attack. When they have the ball we try to stop them, when we have the ball we have to score. This is the A, B, C of football... It is simple''
Ushindi lazima leo. Go Chelsea...goooooo!
Trying to defend negative mentalities..