chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,428
- 4,476
yaan hiyo combination ya hao wachezaji inatengeneza kitu tunaita unstopabo chelsea
mpira ndivyo ulivyo huwezi kushinda mechi zote mechi unayotoka droo inakufanya uongeze bidii ktk mechi inayofuata, lakini kwa ujumla tim yetu ni nzuri ingawa mechi ya jana kulikuwa individual mistake katika beki line ambazo zilitaka kutucost.
Timu yetu inacheza vizuri ukifananisha na tim tunazocheza nazo ndiyo maana tunatembea kifua mbele kwamba kombe halali yetu msimu huu
Mkuu tatizo sio beki line.... Swala ni kwamba Chelsea wakipata goli basi hawachezi tena kwa nguvu kutafuta goli na hii naona inasababishwa na sababu kadhaa.. Kwanza Wana Angalia ratiba ya game itakayofata na pia wanaona km wataendelea kutafuta goli lingine kwa nguvu wanaweza kupata majeruhi ya mtu kuumia kwa maana hiyo wakipata goli basi mbinu inabadilaka na kubaki kushambulia kwa kushitukiza tu kidogo kidogo.....!
mkuu unachosema ni sahihi lakini ukumbuke kuwa kuna tim kuzishinda goli zaidi ya moja ni kazi kubwa mno kutokana na wawo walivyojipanga,hivyo unapotaka kupata goli la pili inaweza kusababisha wakasawazisha refer counter attack ya qpr iliyosababisha goli la kusawazisha. chelse alikuwa anashambulia ili kupata goli la 2 lakini alivyopoteza mpira ndipo wakasawazisha kumbe kwa mtazamo wangu tim yetu inapotafuta goli la 2 ili kuua mchezo ni vyema wakawa waangalifu ktk kulinda goli.
lakin tim yetu bado tuna shida ya kuzuia caunter attack magoli mengi tumefungwa kupitia mfumo huu refer schalke 04,
mkuu unachosema ni sahihi lakini ukumbuke kuwa kuna tim kuzishinda goli zaidi ya moja ni kazi kubwa mno kutokana na wawo walivyojipanga,hivyo unapotaka kupata goli la pili inaweza kusababisha wakasawazisha refer counter attack ya qpr iliyosababisha goli la kusawazisha. chelse alikuwa anashambulia ili kupata goli la 2 lakini alivyopoteza mpira ndipo wakasawazisha kumbe kwa mtazamo wangu tim yetu inapotafuta goli la 2 ili kuua mchezo ni vyema wakawa waangalifu ktk kulinda goli.
lakin tim yetu bado tuna shida ya kuzuia caunter attack magoli mengi tumefungwa kupitia mfumo huu refer schalke 04,
Mourinho ni mtaalamu wa mpira wa Counter Attack, iweje ashindwe kuandaa Timu kuzuia Counter attack? Huwezi kuona tunapocheza na Timu kubwa tunachezea counter attack km vi Timu vidogo vinavyofanya kwasababu wachezaji ktk big game umakini unakua juu sn, lkn ktk Timu ndogo wanakua wazembe na ndio maana Mourinho wakati mwingine amekua akisema haridhishwi na kiwango cha mchezo wa wachezaji wake...!
Nakubaliana na wewe sn mkuu, lkn kuna makosa na uzembe na zarau kwa wachezaji wetu ktk Hizi Timu ndogo na pia wachezaji naona km wameanza kuchoka vile mkuu kutokana na kushiriki mashindano mengi...!
Hii ni dalili ya wazi kuwa hauna maadili na ni dalili ingine kuwa wewe ni mtu wa hovyo hovyo tu!!
Mtu anayeshindwa kujenga hoja huru hadi atukane ni ushahidi mwingine kama umeshindwa kupewa maadili kwenu
QPR ni LONDON DERBY..
haijawahi kuwa mechi rahisi mkuu Ntuzu; timu iko vizuri kwa sababu inapotaka ushindi inaupata. Nilisema tungecheza mechi 10 bila kufungwa yametimia..bado mechi 9 tu ligi ipinduke..
CHELSEA FC tuko vizuri sana..
tarehe 8 tutashinda tena..
Tufikishe pointi 29 litakuwa jambo jema.
Katika mechi 9 zilizobakia kuna pointi 27..
game tisa, then ligi inapinduka i.e tunamaliza mzunguko wa kwanza, tunaanza w pili,mkuu heshima mbele kwa nini umechagua mechi Tisa kuwa zitakuwa ni game za kkimapinduzi na kutoa mwelekeo wa ubingwa chelsea..?
hapo game ngumu z mzunguko wa kwanza zilizobaki ni stoke, southampton, westham na newcastle, tukipata point 10 hapo tutakuwa pazuri
kuna game za newcastle na stoke ndo zinakuwa ngumu ukizingatia mwak jan walichukua point zote tatu tulipokuwa ugenini.Mkuu game kumi za mwanzo ambazo zimepita ndio kulikua na game ngumu sn... Ktk Hizi 9 zilizobaki kuna unafuu kidogo....! Tena ktk Hizi 9 Jose Mourinho ataongeza nguvu sn kuhakikisha hapotezi ata mchezo mmoja.
Tutakua na EPL games 9
Captal one game moja
UEFA games 2.
Ratiba imekaa Vzr mkuu...!
kuna game za newcastle na stoke ndo zinakuwa ngumu ukizingatia mwak jan walichukua point zote tatu tulipokuwa ugenini.