Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Maneno yake mwenyewe

"Now I am playing deeper in midfield, there will be moments during the season when maybe I go five or six games without a goal or an assist, and I am more proud about the team work, the discipline, the way we coped with the sending off, than my goals or my assists. I give those to other people to talk about."

Cesc Fabregas Says He is Thriving in Deeper Chelsea Role

Where the inability of Ramires and others to turn over possession and start attacks at pace has been a hindrance for Chelsea, Fabregas appears to be the answer.

i thought the same fabregas anacheza vizuri kwa chelsea akiwa deep and not number 10.
 
Oya ntuzu na agost 08, hivi huyu dogo lenu nathan Ake ana vinasaba vya rud gullit?

Nimekaa kimywa lkn naona sasa matusi yenu kwa legends wetu kwenye soka mmezidisha!!

Ake kumlinganisha na Gullity akiwa teen ni matusi makubwa kwa nguli huyu wa soka!Pls Chelsea acheni dharau

Week zilizopita mkamuweka Fabrigas kundi moja na Messi "soccer Massiah"bila wasi wasi wowote ule!

Hatutawavumilia tena na hili ni onyo la mwisho
 
nadhani hujaelewa nilichouliza
 
Ni uchambuzi mzuri mkuu na Kama nilivyosema Hapo awali kua Mourinho atakua amejifunza kitu kutokana na Hizo game mbili na tunahitaji kuona mabadiliko ktk game ya LFC Hapo tarehe 8.

Hata iwe vipi nakupiga Anfield Nov 8
 
chelsea fc.

W; w; w; w; w; d; w; w; d.

Hapo inafuatia 'L' sjui mtakuwa mkijipa moyo kwa lipi..
*****
Najua unaelewa Mkipata D nyingine 2 & Southampton wakipata W2 mnakuwa sawa kwa point na wanaweza wapita kwa goal difference..
Mnajitisha wenyewe na kuigiza kutishika ila hata 'HAMTISHI'
 
Sawa.

Lakini unapomtoa attacking midfielder na kumweka a defending midfielder unafikiri utakuwa unatuma message gani kwa wachezaji wengine? That they should sit deep and defend more than attacking?

On one hand, it may send a message to the opposition kuwa sasa jamaa kwa kumwingiza Mikel jamaa watadefend zaidi so, let's us attack them more.

On the other hand, one could say that kuingia kwa Mikel means Fabregas atacheza kama namba ten na hivyo more attacking.

Mkuu Nakubaliana na wewe ktk maelezo yako hasa hiyo Aya ya mwisho kabisa ktk post yako Sema ni vitu vidogo sn wanavyokosea wachezaji wa Chelsea ktk hiyo mbinu ya Mikel. Lkn km wanaongeza nguvu kidogo basi wanaweza kutengeneza nafasi nyingi za kufunga. Kwasababu unapokua na viungo wawili wakabaji maana yake ni kwamba Fabregas atakua Huru sn kushambulia pamoja na viungo wa pembeni yaani Hazard Na Willian etc. Kwahiyo hii inawapunguzia majukumu hawa hasa ya ukabaji. Lkn kitu ninachokiona kwa Chelsea wakifanya hayo mabadiliko basi hawajitumi tena Zaidi kucheza mpira na matokeo Yake unakuta Timu yote inasukumwa nyuma na wote kua wakabaji tu....!
 
EMT hii sio utani mkuu au kukosa heshima ktk Timu zingine mkuu.... Nasema hivi kwasababu naiona dhamira ya Jose Mourinho ktk kila mechi anayokutana nayo iwe ndogo au kubwa... Maana hapendi kupoteza wala kupata sare hapendi.

Nakubali kua Timu za wakati ule zilikua Vzr lkn ata sasa mpira umebadilika na mbinu zimeongezeka sn.

Vile vile ninapo Angalia Timu zingine viwango vyao na matokeo zinazopata kila game na ratiba yetu jinsi ilivyo naona Hicho kitu kinakwenda kutokea iwapo pia na Marefa watakua wazuri.

Sio nyumbani tu kwamba sitofungwa ata ugenini pia sitofungwa mkuu.

If this is not a joke, then I would say that is a bit disrespectful to other teams. Of course, kuna similarities kati ya kikosi cha Arsenal cha wakati ule na hiki cha Chelsea lakini kikosi cha Arsenal cha mwaka 2004 kilikuwa kikali zaidi kulinganisha na kikosi cha sasa cha Chelsea.

Lehmann alikuwa kipa kama ilivyo Courtois. Chelsea wana Costa. Kaanza kwa matata lakini hatujui kama atamaliza kwa matata. Arsenal tayari walikuwa na indisputable King Henry I.

Chelsea wana Matic lakini Arsenal walikuwa na Viera. Jamaa alikuwa a nightmare na miguu yake mirefu hata Roy Keane alikuwa anabugi pale.

Chelsea wana Fabregas lakini what about Arsenal having Denis Bergkamp? On the wings, Chelsea wana Hazard na wengine, lakini Arsenal walikuwa na Pires na Ljunberg.

So far bado sijanona timu ambayo imematch dynamic ya Pires na Ljunberg on the wings. Labda Man Utd enzi za Ronaldo na Giggs? Though Ronaldo alikuja wakati Giggs anaishia?

Kimpira, approach ya Arsenal ilikuwa more positive kulinganisha na counter attack ya Chelsea. Interestingly, Arsenal walikuwa hawachezi hii tikki takka wanayocheza siku hizi. They were clinical.

Attack ya Chelsea kama vile inamtegemea zaidi Costa na hakuna replacement kubwa kama akiumia. Kikosi cha sasa cha Chelsea hata hakijafikia kile kikosi cha msimu wa 2005/6 aka enzi za akina Robben na Duff on the wings.

Nafikiri msimu ule Chelsea walifungwa mechi moja tuu? They were pragmatic. Kama kile kikosi kingecheza leo Man City na Man City wasingerudisha yale magoli.

Timu za wakati huu siyo zile za wakati wa Arsenal. The main rival against Arsenal alikuwa Man Utd. Msimu huu kuna mechi karibu nane dhidi ya timu kama Liverpool, Man Utd, Man City, Spurs na hata Southampton. Then, ngoma zikianza kuchanganya kuna kukutana na akina Stoke, West Ham bila kuwasahau Newcastle.

Labda useme possiblity ya Chelsea kutofungwa nyumbani lakini kutofungwa msimu mzima? Sidhani!

Last edited by a moderator:
Well said Mkuu
Chelsea hii ina top performers wasiozidi watano, JT, Matic, Fabregas, Hazard na Costa......imagine siku Chelsea iwe na majeruhi kwenye beki yake kama waliyonayo Man United, say JT, Brana na Cahill wawe majeruhi, watacheza kama wanavyocheza na kupata same results?
Ndio maana na mimi nilimkatalia Ntuzu hapo juu kuhusu kumaliza msimu bila kufungwa, hivi how do you replace Matic? Halafu Mourinho anacheza mchezo ambao kwa kiasi kikubwa anaamrishwa na uongozi wa Club kuutumia, siyo vile ambavyo yeye binafsi angecheza kama angekua na maamuzi 100% on how to play, kwa maana hiyo JM anatumia mfumo asioujua vizuri na asiouamini completely.
Na hii ni weakness ambayo akikutana na team zitakachocheza counter attack football kama West Ham na New Castle, maswali mengi sana yataulizwa kuhusiana na hii so called 'invincible' Chelsea ya Ntuzu

Mkuu majeruhi Timu ikipata inakua shida lkn kwa Timu km Chelsea inaweza ikacheza bila ya Terry au Matic au Cahill na ikapata matokeo mazuri. Nakumbuka msimu uliopita Tulikwenda kwa LFC bila ya Terry lkn Yule Dogo alicheza Vzr sn ingawa huyo Dogo hayupo kwa Timu kwa sasa.

Kwahiyo mkuu replacement za wachezaji ziko Vzr mkuu na ndio maana unaona mtu km Mimi sina wasiwasi kabisa na Hali yoyote ile!
 
Last edited by a moderator:
Hapo inafuatia 'L' sjui mtakuwa mkijipa moyo kwa lipi..
*****
Najua unaelewa Mkipata D nyingine 2 & Southampton wakipata W2 mnakuwa sawa kwa point na wanaweza wapita kwa goal difference..
Mnajitisha wenyewe na kuigiza kutishika ila hata 'HAMTISHI'

Southampton ni Timu nyepesi sn kwetu.... Tena kwa hasira tutawafunga vibaya na kuwapoka point 3.

Waulize Swansea City Hapo awali walikua sawa Na Sisi ktk point lkn tupokutana nao ndio ikawa mwanzo wa Swansea kuporomoka. Hiyo Ndo Itakua kwa Southampton....!
 
Pia ukumbuka msimu ule hakukuwa na MAN CITY imara;
Msimu hakukuwa na Southampton; West Ham imara kama za sasa.

Rekodi ya CHELSEA FC ya pointi 95; itavunjwa na Chelsea..

If this is not a joke, then I would say that is a bit disrespectful to other teams. Of course, kuna similarities kati ya kikosi cha Arsenal cha wakati ule na hiki cha Chelsea lakini kikosi cha Arsenal cha mwaka 2004 kilikuwa kikali zaidi kulinganisha na kikosi cha sasa cha Chelsea.

Lehmann alikuwa kipa kama ilivyo Courtois. Chelsea wana Costa. Kaanza kwa matata lakini hatujui kama atamaliza kwa matata. Arsenal tayari walikuwa na indisputable King Henry I.

Chelsea wana Matic lakini Arsenal walikuwa na Viera. Jamaa alikuwa a nightmare na miguu yake mirefu hata Roy Keane alikuwa anabugi pale.

Chelsea wana Fabregas lakini what about Arsenal having Denis Bergkamp? On the wings, Chelsea wana Hazard na wengine, lakini Arsenal walikuwa na Pires na Ljunberg.

So far bado sijanona timu ambayo imematch dynamic ya Pires na Ljunberg on the wings. Labda Man Utd enzi za Ronaldo na Giggs? Though Ronaldo alikuja wakati Giggs anaishia?

Kimpira, approach ya Arsenal ilikuwa more positive kulinganisha na counter attack ya Chelsea. Interestingly, Arsenal walikuwa hawachezi hii tikki takka wanayocheza siku hizi. They were clinical.

Attack ya Chelsea kama vile inamtegemea zaidi Costa na hakuna replacement kubwa kama akiumia. Kikosi cha sasa cha Chelsea hata hakijafikia kile kikosi cha msimu wa 2005/6 aka enzi za akina Robben na Duff on the wings.

Nafikiri msimu ule Chelsea walifungwa mechi moja tuu? They were pragmatic. Kama kile kikosi kingecheza leo Man City na Man City wasingerudisha yale magoli.

Timu za wakati huu siyo zile za wakati wa Arsenal. The main rival against Arsenal alikuwa Man Utd. Msimu huu kuna mechi karibu nane dhidi ya timu kama Liverpool, Man Utd, Man City, Spurs na hata Southampton. Then, ngoma zikianza kuchanganya kuna kukutana na akina Stoke, West Ham bila kuwasahau Newcastle.

Labda useme possiblity ya Chelsea kutofungwa nyumbani lakini kutofungwa msimu mzima? Sidhani!

winning is not about the formation only...it's about the character of the team, the players, and the club in general.

CHELSEA FC inafanya vema sana kwa kuzingatia upinzani na ugumu wa ligi.

Bingwa mtetezi ameshafungwa mechi 2 tayari..

Well said Mkuu
Chelsea hii ina top performers wasiozidi watano, JT, Matic, Fabregas, Hazard na Costa......imagine siku Chelsea iwe na majeruhi kwenye beki yake kama waliyonayo Man United, say JT, Brana na Cahill wawe majeruhi, watacheza kama wanavyocheza na kupata same results?
Ndio maana na mimi nilimkatalia Ntuzu hapo juu kuhusu kumaliza msimu bila kufungwa, hivi how do you replace Matic? Halafu Mourinho anacheza mchezo ambao kwa kiasi kikubwa anaamrishwa na uongozi wa Club kuutumia, siyo vile ambavyo yeye binafsi angecheza kama angekua na maamuzi 100% on how to play, kwa maana hiyo JM anatumia mfumo asioujua vizuri na asiouamini completely.
Na hii ni weakness ambayo akikutana na team zitakachocheza counter attack football kama West Ham na New Castle, maswali mengi sana yataulizwa kuhusiana na hii so called 'invincible' Chelsea ya Ntuzu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom