Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

wakuu sio mbaya mkanipa maelezo tatizo hasa la Gunner's kuchezea kichapo kwa Chelsea nini, nimelazimika kulala saa 7 usiku, Saa 9 Konyagi imekata, sijui kwa nini niliupenda Mpira na michezo ipo mingi.

Ni mbinu tu za kocha nothing else...arsenal wameingia kushambulia kwa nguvu ndio maana ukamuona carzola sanchez na ozil ila wakasahau hawana namba 6 na 8 creative atakayelinda back 4 zake ndo hapo mou akaanza kupush na kupush piga counter mpk wakalegea....
 
Hili ndio tatzo la Wenger, huwa anatatzo na Game kubwa, sijui kwa nini wakati ana uzoefu wa kutosha na Epl, nilipenda line up ya Man cty wakati ilipokutana na Chelsea watu wa kazi tu ndani warembo kama kina ozil nje,
 
Last edited by a moderator:
Hata ile game ya man c tulikuwa tunashinda , tatizo mour sub alifanya mapema mno. ndio maana pellegrin anajiona mjanja na kuongea sana. Crystl palace wakuu alitufunga sasa safari hii sijui itakuwaje
 
Hata ile game ya man c tulikuwa tunashinda , tatizo mour sub alifanya mapema mno. ndio maana pellegrin anajiona mjanja na kuongea sana. Crystl palace wakuu alitufunga sasa safari hii sijui itakuwaje

Msimu Huu Hakuna timu itakayo tufunga!
 
1412528146706_wps_10_Jose_Mourinho_the_head_co.jpg
Mourinho, pictured with Roman Abramovich and the Chelsea owner's son Arkadiy, looked in jubilant mood

1412528146721_wps_11_Chelsea_Chairman_Roman_Ab.jpg
Abramovich will have been delighted with his side's performance against London rivals Arsenal

1412528146738_wps_12_Chelsea_Chairman_Roman_Ab.jpg
The Chelsea owner, pictured shaking Mourinho's hand, saw his side pick up all three points at the Bridge
 
Mkuu Mndengereko Asante sn mkuu, Msalimie sn utafiti maana baada ya Arsenal kuifunga Galatasaray alikua ananipigia sn kelele! Mara ooooh tunakuja Mara sijui nini! Lkn sasaiv amepotea simuoni!

Mkuu Mndengereko kunguru kumnyea binadamu makusudi au bahati mbaya? Ndugu zako wamebahatika basi hatuna amani tena.... Ntuzu anajitangazia yeye bingwa kila kona...haya bana jana walikua kwao darajani
 
Last edited by a moderator:
tutashinda kama jana. uwe na amani. kila kitu kiko under control.

CHELSEA FC. - FOREVER BLUE.

cc. Ntuzu, Mentor, Viol, kalou..

Hata ile game ya man c tulikuwa tunashinda , tatizo mour sub alifanya mapema mno. ndio maana pellegrin anajiona mjanja na kuongea sana. Crystl palace wakuu alitufunga sasa safari hii sijui itakuwaje
 
tutashinda kama jana. uwe na amani. kila kitu kiko under control.

CHELSEA FC. - FOREVER BLUE.

cc. Ntuzu, Mentor, Viol, kalou..

Mkuu agosti jana nilitabiri humu hawa majamaa tutawafunga mbili,kweli nilipatia
 
Mkuu Mndengereko Asante sn mkuu, Msalimie sn utafiti maana baada ya Arsenal kuifunga Galatasaray alikua ananipigia sn kelele! Mara ooooh tunakuja Mara sijui nini! Lkn sasaiv amepotea simuoni!
na auwezi kumuona ila mkuu mnanishngaza kwa pande mwingie kuwona mnashangilia sana kumfunga arsenal wakati ni kibonde wenu ni sawasawa na mme afurahie kwamba mkewe kampa unyumba na aende kutangaza kwa majirani wakati ni haki yake ile
 
Ahahahaha khe khe khe khe kge Wacha 1 naomba picha ahahahahaha mna bahati sana i was out of town!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom