mbona wewe unakula ugali wa muhogo na mboga zenye chumvi? hapo hauchanganyi mambo?mbona mnachanganya habari thread kibao au hii ya champions league? lol haya hongerini kwa kufungua tawi jipya ndani ya JF.sasa hivi mtajenga makundi kama yanga lol.
kwani we haujui kusoma? au unatumia miwani? no offence mkuu!Mkuu,ina maana hujaiona thread hii: https://www.jamiiforums.com/michezo-sports-and-games/20023-the-chelsea-fc-thread.html ama umeamua kuleta vurugu kwa makusudi tu
kwani we haujui kusoma? au unatumia miwani? no offence mkuu!