Man utd ni mbovu kuanzia kwenye kiungo mpaka kwenye backline!!
na hao majeruhi unaowazungumzia wote ni mediocre players..Phill jones, carrick, Evans etc, ni wachezaj ambao hawatakuongezea chochote kwenye team!
Ni makosa tu ambayo yanafanywa na clubs zetu, sometimes unakuta club inaspend BIG kwa mchezaj lakin tatizo bado linakuwa pale pale, (kma LFC kwa Lovren), Manchester utd baada ya kukamilisha usajili wa Di Maria, mlikuwa mnawahitaj zaid kina Hummels, benatia, Calvariho, De jong etc, but you decided to go for Falcao and Blind, naelewa lengo la kumsajili Falcao lilikuwa ni kwa ajili ya kuleta ile fear factor kwa opponents, lakin itafail as long as defense ni mbovu na opponents washalijua hilo...
Cambiasso (MZEE zaid ya Lampard na SG) dominated the midfield yesterday..Blind and Herrera made him look like a 23 years old midfield..huwez kutegemea ushind Etihad au darajan na Midfield ile!
Belo, Me nna hali ngumu, Lakin wewe una hali ngumu zaid ndugu yangu!
Kwanza game ya jana sijaiangalia so siwezi kuizungumzia sanaMan utd ni mbovu kuanzia kwenye kiungo mpaka kwenye backline!!
na hao majeruhi unaowazungumzia wote ni mediocre players..Phill jones, carrick, Evans etc, ni wachezaj ambao hawatakuongezea chochote kwenye team!
Ni makosa tu ambayo yanafanywa na clubs zetu, sometimes unakuta club inaspend BIG kwa mchezaj lakin tatizo bado linakuwa pale pale, (kma LFC kwa Lovren), Manchester utd baada ya kukamilisha usajili wa Di Maria, mlikuwa mnawahitaj zaid kina Hummels, benatia, Calvariho, De jong etc, but you decided to go for Falcao and Blind, naelewa lengo la kumsajili Falcao lilikuwa ni kwa ajili ya kuleta ile fear factor kwa opponents, lakin itafail as long as defense ni mbovu na opponents washalijua hilo...
Cambiasso (MZEE zaid ya Lampard na SG) dominated the midfield yesterday..Blind and Herrera made him look like a 23 years old midfield..huwez kutegemea ushind Etihad au darajan na Midfield ile!
Belo, Me nna hali ngumu, Lakin wewe una hali ngumu zaid ndugu yangu!
Naelewa yote hayo Ndio maana siwezi sema neno lolote juu yake Zaidi ya kuumia Moyo na pia ata yeye Hana furaha japokua alifunga! Upo hapo mkuu?
11-11 Diego Costa hakufanya lolote dimbani na hii likely ni wake up call kwenu na isije ikawa kama Suarez kufunga only mid table teams
(Suarez hajawahi ifunga elite teams notably Man U;Man City;Arsenal na Chelsea ktk EPL)

Daaah poleni wakuu Mentor maana kama ingekuwa 11-11 uwanjani tungekuwa tunaongea mengine hapa!
Kabla Zabaleta hajatoka Kompany ali win kila battle ya kugombea mpira na Costa!Mshambuliaji wenu ni special kqa mid table teams au?

LFC Ha ha ha ha ha mechi 5 mshapoteza 2..hakuna jipya mwaka huu mnarudi nafasi zenu..
:wacko:
Ahahahaha sio 2 mkuu tumepoteza 3 ehehehehe
Diego costa ameifunga Real Madrid barcelona,bayern munchen, PSG
hujui kwamba mchezo wa mpira unafuata sheria 17? au wewe ndo walewale ambao wanataka kufosi matokeo?
sasa mtu anacheza mieleka kwa nini asitolewe? angalia Silva pia alikuwa anapaswa kutolewa kwa kadi nyekundu..City wanatumia nguvu nyingi bila akili wanapocheza na Chelsea Fc.
NB. mechi ya tatu mfululizo kwenye EPL. MAN CITY hawajaifunga Chelsea FC.
Huko alicheza na mafundi!Sasa kama mifo yako ni Turan na mbele unasimama na Garcia na nyuma yako kuna Miranda na Godin why usifunge?
Yale mapande ya Koke hata wewe Ntuzu ungefunga tu!Kaja huku kweli anaweza piga one-two na Terry kama alivyokuwa anapiga na akina Miranda?
Subiri aje hapo kwenu Kwa kajogoo aje awachape tatu peke yake hapo ndipo mtaona moto wake!
Kuna mambo makubwa sn yatakuja Kwa Costa na Remy na hili limedhihirika wazi ktk EPL. Kua na SUBIRA mkuu. Nafikiri utakua wa kwanza kuja humu na kusema Costa ni kitu kingine!
Huko alicheza na mafundi!Kama mido yako ni Turan na mbele unasimama na Garcia na nyuma yako kuna Miranda na Godin why usifunge?
Yale mapande ya Koke hata wewe Ntuzu ungefunga tu!Kaja huku kweli anaweza piga one-two na Terry kama alivyokuwa anapiga na akina Luis Filipe kule?
Kituko alitoa ubashiri wake ktk chambuzi zake KABLA ya game kwamba city watapata kadi nyekundu na akawataja kabisa Kwa majina na Zabareta alimtaja na hicho Ndio kilichotokea!
Wale City walipagawa sn tena Kwa aina ya uchezaji wao vile msimu huu hawana chao!
Man city tayari wameshawatia kimavi next game nyie jamaa hamshindi ntakuja kuwakumbusha. Drogba mlimsifu sana asaiv mmegundua mlilamba galasa mnaanza kubashiri kwa remy hahahahahaha!