Kituko
JF-Expert Member
- Jan 12, 2009
- 9,555
- 9,368
Mimi nasema hivii Petr Cech arudi golini huyu dogo anatuzingua. Nina uhakika Cech lile goli angelipangua...nammind sana huyu dogo sometimes anaokoa poa sana next anafungwa goli la kizembe tu. Wala sio defence apo.
Next ni attacking mid aliyoipanga Mou ni sawa kabisa na alivyopanga Ntuzu na mimi nilikataa. Game kama ile ni ya kucheza against Man utd wenye defence kama wavu wa goli.
Mimi ningependelea iwe Hazard-Oscar-Schurrle/Willian. Yani game ya jana si ya Oscar kukosa sijui kwa nini Mou huwa hamuamini huyu dogo hana nguvu ila akili anayo. Kawaweka Willian na Hazard wote ni kupoteza mipira tu...ndo maana huwa nampenda Schurrle sana..yupo goal oriented.
Shitty walituzidi kutokana na safu iliyopangwa ya Chelsea.
Halafu Mou akafanya subs haraka kiasi. Ok simlaumu sana lakini angesubiri kabla ya kumuweka Mikel (defence oriented) halafu Zaba akaipata ile red card...am sure ingekuwa ni hadithi nyingine hapa.
Nonetheless, #stillBlue #ktbffh #cfc
Kaka Mentor, nakubaliana na wewe kulikuwa na matatizo kwenye uchezaji wa Team yetu jana, Hatukuingia kushinda kabisa, tulikuwa na mentallity ya kuwabahatisha/kuwastukiza tu, wachezaji wa Chelsea walikuwa wako makini na kuzuia magoli zaidi ya kufunga kwa kile kipindi cha kwanza,
1. Kipa-Anyway siwezi kusema kwamba ana uwezo mdogo ila anaonekana kama hajachangamka na kama hapigi kelele kuwaamsha mabeki wake, Kapoa sana Golini, kusema ukweli mpaka sasa bado sijaona kiwango cha kuzidi Petre Czec,
2. Kulia kulikuwa sawa tu
3.Kushoto, hilo ni tatizo lingine kwa Chelsea, Azip ni mzuri sana wa kudokoadokoa na kuintercept mipira na mara nyingi kona na mipira mingi ya kurushwa huwa upande wake, lakini sio mchezaji hasa wa kupandisha timu au kuanzisha mashambulizi kupitia kushoto, Ukiangalia mechi ya jana sidhani kama alipandisha mashambulizi zaidi ya mara kumi kwa mechi nzima ya jana, tofauti na Inanovic ambaye mara nyingi huwa anashambulia, anapiga cross na kufunga pia,
Hili ni tatizo kwa attacking hasa Hazard mabaye mara nyingi ndio huwa anacheza kushoto, mara nyingi inampasa hazard kuja Dip kuchukua mipira
4. Terry na Cahill Jana walicheza vizuri sana, sikuona tatizo lao hasa ukizingatia timu mara nyingi ilikuwa kwenye presha hasa kipindi cha Kwanza
5. Midfield ilikuwa ya kujiami sana, tofauti na nilivyotegemea, Man city walijua uzuri wa viuongo wa Chelsea, hivyo wakaja na 442-451, kwa minajilri ya kujaza kiungo kati, kujaribu kuiua nguvu Chelsea na kweli kipindi cha Kwanza tulipoteana sana kati na Mancity walifanikiwa kutawala kiungo
Kwa mtazamo wangu Mourinho alishindwa kuisoma game vizuri, Hasa baada ya Zabuleta kutolewa nje, Zabuleta alipotolewa, Man city ilibidi wamtoe Dzeko na kumuingiza Sagna ili kuimarisha ulinzi, kwa maana nyingine tayari Man City walikuwa wameshajipunguza nguvu mbele,
Kilichotakiwa kufanywa na Mourinho ni kupunguza midfield mmoja na kumuingiza Remy na Chelsea kubadirisha mfumo kwenda 442 au 4321 kwa maana tuwe na mastiker wawili mbele (Costa na Remy) au Remy angecheza nyuma ya Costa ili tuzidi kuwapa pressure Man city
Anyway tulipata point moja na bado tupo juu ya ligi na Mechi ya Jana ndio kilikuwa kipimo kikubwa cha Chelsea
Last edited by a moderator: