Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ndo matokeo ila sijachukia kama tungefungwa tena tufungwe na mtu kam aguero itakuwa dharau ila kwa upande wa Lampard mamb pow kbsa
 
Pale juu , tunakaribiwa na Southampton na Aston vila,
hata sijui hawa wengine wanapata wapi nguvu za kuja ku comment humu
 
Beki Yetu Inajitahd ila bado Mou anatakiwa Aitwisti kidogo Inachujs, ni mda mrefu hatuna clean sheets
 
Mimi nasema hivii Petr Cech arudi golini huyu dogo anatuzingua. Nina uhakika Cech lile goli angelipangua...nammind sana huyu dogo sometimes anaokoa poa sana next anafungwa goli la kizembe tu. Wala sio defence apo.

Next ni attacking mid aliyoipanga Mou ni sawa kabisa na alivyopanga Ntuzu na mimi nilikataa. Game kama ile ni ya kucheza against Man utd wenye defence kama wavu wa goli.

Mimi ningependelea iwe Hazard-Oscar-Schurrle/Willian. Yani game ya jana si ya Oscar kukosa sijui kwa nini Mou huwa hamuamini huyu dogo hana nguvu ila akili anayo. Kawaweka Willian na Hazard wote ni kupoteza mipira tu...ndo maana huwa nampenda Schurrle sana..yupo goal oriented.

Shitty walituzidi kutokana na safu iliyopangwa ya Chelsea.

Halafu Mou akafanya subs haraka kiasi. Ok simlaumu sana lakini angesubiri kabla ya kumuweka Mikel (defence oriented) halafu Zaba akaipata ile red card...am sure ingekuwa ni hadithi nyingine hapa.

Nonetheless, #stillBlue #ktbffh #cfc
 
Last edited by a moderator:
Mentor ile game siyo ya oscar tena angekuwepo ingekuwa worse zaidi bado Mou alipanga kikosi vizuri ila Courtos bado anashindwa kuwapanga mabeki anafungwa magoli rahisi sana
 
Mimi nasema hivii Petr Cech arudi golini huyu dogo anatuzingua. Nina uhakika Cech lile goli angelipangua...nammind sana huyu dogo sometimes anaokoa poa sana next anafungwa goli la kizembe tu. Wala sio defence apo.

Next ni attacking mid aliyoipanga Mou ni sawa kabisa na alivyopanga Ntuzu na mimi nilikataa. Game kama ile ni ya kucheza against Man utd wenye defence kama wavu wa goli.

Mimi ningependelea iwe Hazard-Oscar-Schurrle/Willian. Yani game ya jana si ya Oscar kukosa sijui kwa nini Mou huwa hamuamini huyu dogo hana nguvu ila akili anayo. Kawaweka Willian na Hazard wote ni kupoteza mipira tu...ndo maana huwa nampenda Schurrle sana..yupo goal oriented.

Shitty walituzidi kutokana na safu iliyopangwa ya Chelsea.

Halafu Mou akafanya subs haraka kiasi. Ok simlaumu sana lakini angesubiri kabla ya kumuweka Mikel (defence oriented) halafu Zaba akaipata ile red card...am sure ingekuwa ni hadithi nyingine hapa.

Nonetheless, #stillBlue #ktbffh #cfc

mech ya jana iliitaji watu wenye nguvu kutokana na man city kutumia nguvu kuliko kawaida nadhan david angelikuwepo ingemfaa zaid kuliko oscar
 
Last edited by a moderator:
Mimi nasema hivii Petr Cech arudi golini huyu dogo anatuzingua. Nina uhakika Cech lile goli angelipangua...nammind sana huyu dogo sometimes anaokoa poa sana next anafungwa goli la kizembe tu. Wala sio defence apo.

Next ni attacking mid aliyoipanga Mou ni sawa kabisa na alivyopanga Ntuzu na mimi nilikataa. Game kama ile ni ya kucheza against Man utd wenye defence kama wavu wa goli.

Mimi ningependelea iwe Hazard-Oscar-Schurrle/Willian. Yani game ya jana si ya Oscar kukosa sijui kwa nini Mou huwa hamuamini huyu dogo hana nguvu ila akili anayo. Kawaweka Willian na Hazard wote ni kupoteza mipira tu...ndo maana huwa nampenda Schurrle sana..yupo goal oriented.

Shitty walituzidi kutokana na safu iliyopangwa ya Chelsea.

Halafu Mou akafanya subs haraka kiasi. Ok simlaumu sana lakini angesubiri kabla ya kumuweka Mikel (defence oriented) halafu Zaba akaipata ile red card...am sure ingekuwa ni hadithi nyingine hapa.

Nonetheless, #stillBlue #ktbffh #cfc

Mentor mi nakubaliana na wewe Lkn Kwa game ya Jana City walikua ktk plesha ya juu hasa km wangepoteza game ya Jana hao city basi pengo la points lingekua KUBWA sn Kati ya Chelsea na City Na hapo ingekua kz sn Kwa city kuutetea ubingwa wake hasa kutokana na aina ya uchezaji wa Chelsea msimu huu! So they had to do all they can to win that game! Na pia hawakutaka kupoteza ile game coz last season they lost against chelsea at Etihad

Na pia kwa Chelsea kupanga kile kikosi ilikua sawa kabisa ktk akili ya wachezaji wa city ilikua inawapa hofu na kucheza Kwa tahadhari sn!

Kutoka suluhu ni jambo zuri kulikoni km tungepoteza! Lkn Mimi LAMPARD tu kaniumiza sn Yani nashindwa kusema neno juu Yake!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom