Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Diego hana ujanja wa kuwafunga majogoo aiseee ujinga aliofanya zabaleta umewaokoa sana nyie ilkuwa mpgwe para la adabu!
Hahaaaa Aisee subiri hiyo siku ifike mfi uje uone!
Diego hana ujanja wa kuwafunga majogoo aiseee ujinga aliofanya zabaleta umewaokoa sana nyie ilkuwa mpgwe para la adabu!
Kuna mambo makubwa sn yatakuja Kwa Costa na Remy na hili limedhihirika wazi ktk EPL. Kua na SUBIRA mkuu. Nafikiri utakua wa kwanza kuja humu na kusema Costa ni kitu kingine!
hata Mario alikuwa mfungaji mzuri alipokuwa City..huku LFC anapoteza muda tu..
West Ham kawatieni kipapai..subiri jumamosi vs Everton..:wacko:
Man city tayari wameshawatia kimavi next game nyie jamaa hamshindi ntakuja kuwakumbusha. Drogba mlimsifu sana asaiv mmegundua mlilamba galasa mnaanza kubashiri kwa remy hahahahahaha!
Hahaaaa Aisee subiri hiyo siku ifike mfi uje uone!
Wewe ndo utakua mchambuzi wa SOCCER wa kwanza kusema hivi!
Mkuu mambo ya kusema cjui nani hana chao kwa sasa bado ni mapema sana we cheki gemu zinavokwenda may b atleast january ndo ujivike ushehe yahaya.
Ni sawa na nyie! Game KUBWA mnakaza na ndogo mnapigwa! Hivyo Ndio walivyo City!
Hamna chenu msimu huu!
Ntakuja kuwakumbusha hahahahaha!
Hahahahahaha hata ww ni mchambuz wa kwanza kusema mancity hawana chao msimu huu.
Yah hiyo ndo Hali halisi hawana chao city!
Nyie jamaa mnajifanya watoto wa mjini eti wababe wa nje ndani sasa kama mancity walikuwa nusu/5.5 mkashindwa je ni kigogo gani mtayeweza kumfunga kwao labda totneham.
Hujakosea uko sawa kabisa lile tittle ni la Kops.
Chelsea fc Ndio mpango mzima!
Latest form
Chelsea: win, win, win, win, draw
Man city: win win lose draw draw
Arsenal: win, draw, draw, draw, win
Liverpool:win lose win lose lose
Man utd: killed, outclassed, murdered, win,
raped
Latest form
Chelsea: win, win, win, win, draw
Man city: win win lose draw draw
Arsenal: win, draw, draw, draw, win
Liverpool:win lose win lose lose
Man utd: killed, outclassed, murdered, win,
raped