Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Na tuanze kusaka signature ya one good right back...Iva is over 30 mambo ya kutegemea mkataba wa mwaka mmoja mmoja sio.

Next summer though...this season we are good. Terry is good..a leader..legend....but ts time we started phasing him out slowly!!!

Mimi nadhani tuanze kutafuta signature ya good left back, maana right back yupo Azpilicueta..... kushoto ndo majanga ambapo yupo Felipe Luis na ana miaka 29 kwa sasa.....

Hapo kwa Terry nakuunga mkono,
 
Terry anapata msaada toka kwa akina Ramirez na Cahil tofauti na Metusaker na Arteta ambao wote ni njia ya lami

Sawa Terry anapata msaada kwa hao watu, nakubali lakini sasa hao watu wanachoka sana saa nyingine wanaona cha kufia nini, wanaamua kutulia tuu.

Ni kama msimu uliopita ambapo Lampard alikuwa akicheza tulikuwa kama tupo pungufu uwanjani maana alikuwa anapotea vibaya, hajalishi alipokuwa akicheza kumi wa nane
 
Wale jamaa wenyewe hawakuamini kama wangepata hata goli moja ndio maana walifurahia sana walipoona ni draw. Kwao ilikuwa kama kushinda kombe.

Ndio maana mkuu baada ya game Mourinho alivyohojiwa akasema, walikuja kutafuta point tu..wala sio kushinda.
 
Chelsea msimu huu sioni taji. Alimcheka Wenger sasa Mourhnio zamu yake ya kunyolewa imefika.

Chelsea hawezi kubeba taji lolote kwa kumtegemea striker mmoja tu!
 
Chelsea msimu huu sioni taji. Alimcheka Wenger sasa Mourhnio zamu yake ya kunyolewa imefika.

Chelsea hawezi kubeba taji lolote kwa kumtegemea striker mmoja tu!
Hahaa.. Mnaziba macho eeh.. Remy vipi? Tumekamilika, kuna wale jirani zetu wenye Giroud, Sanogo na Welbelk :A S wink::A S 109:
 
msimu tulochukua kombe chelsea ikiongozwa na drogba mbona hamkusemaga kuwa tunategemea straiker mmoja tu....chelsea inawafungaji kibao hadi beki kwetu anajukumu la kufunga...
 
Na kesho tukianza ivi.. wapinzani wameumia, na kiungo cha man city kilivyopotea asee..
 

Attachments

  • 1411242786341.jpg
    1411242786341.jpg
    22.1 KB · Views: 216
Grand PA sioni kama kipa ni tatizo, though tunajua uwezo wa cech. Kuna tatizo kwnye mabeki, sielewi ni coordination mbovu au nini? But nadhani huu ndo utakua msimu wa mwisho wa Terry.
 
Last edited by a moderator:
Schurrle ni mzuri kama sub sio wa kuanza, hapo kulia aanze Williams

Lolote laweza tokea Kituko Schurrle anaweza kua mzuri ata akianza, kumbuka mechi na Burnley alianza na bado alkua vzuri, aliscore that game. Game ya Swansea ndo haikua yake.. but yoyote kati yao anaweza anza.
 
Last edited by a moderator:
Schurrle ni mzuri kama sub sio wa kuanza, hapo kulia aanze Williams
Nakubaliana na ww!" huyu schurrle ni mchezaji wa mechi moja moja, hayupo constant! anaweza akangaa kwenye moja inayofuata akaboronga mbaaya ............
Grand PA sioni kama kipa ni tatizo, though tunajua uwezo wa cech. Kuna tatizo kwnye mabeki, sielewi ni coordination mbovu au nini? But nadhani huu ndo utakua msimu wa mwisho wa Terry.

hata kama beki imelega! sometimes anafungwa magoli y kizembe sana ........... soon czech atarudi golini mark my word!"

Grand PA
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom