Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Fabregas Goal, Chelsea 1 vs Schalke 04 0, pande kutoka kwa Hazard
 
kiukweli huyu Thibaut Controis sina hata imani nae ..........

Grand PA
 
Nimependa Jose alivyopanga kikosi kwa ajili ya maandalizi ya game ijayo ya Man City!

Anajielewa sana huyu kocha wa dunia,hawa man city watajuta tutawafanya kama mwaka Jana,naona kila dalili tutawaacha mbali then tutakuwa tunakamilisha ratiba,hizi timu ndogo mwaka jana zilituwekea gogo mwaka huu ndo tumeanza nao vipigo tu.
 
Dah! Soka lingekuwa rahisi kama ulivyoandika hapo juu, basi kusingekuwa na haja ya uwepo wa makocha. Na ladha ya mashindano inakuwa haipo tena.
 
Yap mkuu Viol malengo ni kujiweka vzr ktk EPL kwanza Alafu Ndio tukomae na CL kweli kweli!
 
Last edited by a moderator:

Hahaaaa mkuu Nzi bhana msimu huu tuko imara kung'oa visiki vyote!
 
Last edited by a moderator:
Mtani agosti 8 na Ntuzu poleni sana!Msivunjike moyo chukulieni matokeo positively na ndiyo mpira una probability 3 za sare kushinda au kushindwa!

Chukulieni matokeo haya kama changamoto kwenu lkn bet yangu ipo pale pale "" Kwa uchezaji huu kama Drogba atafunga bao 4 EPL msimu mzima natoa kreti la Castle hapa mgawane"
 
Last edited by a moderator:
Yap mkuu Viol malengo ni kujiweka vzr ktk EPL kwanza Alafu Ndio tukomae na CL kweli kweli!

Refa angekuwa makini mngechapwa leo!Fabr alitakiwa apewe kadi ya njano kwa faulo ile mbaya lkn akaachiwa akaenda kufunga
 
Last edited by a moderator:
Anajielewa sana huyu kocha wa dunia,hawa man city watajuta tutawafanya kama mwaka Jana,naona kila dalili tutawaacha mbali then tutakuwa tunakamilisha ratiba,hizi timu ndogo mwaka jana zilituwekea gogo mwaka huu ndo tumeanza nao vipigo tu.

Ni vyema siku nyingine muwe mnakubali kuwa mlicheza vibaya!!Mbona sisi majogoo tukicheza hovyo huwa tunakubali?

The Blue leo walikuwa off set hata sare hiyo washukuru!Goli la Fabr hakikustahili li stand alicheza faulo
 
Mtani agosti 8 na Ntuzu poleni sana!Msivunjike moyo chukulieni matokeo positively na ndiyo mpira una probability 3 za sare kushinda au kushindwa!

Chukulieni matokeo haya kama changamoto kwenu lkn bet yangu ipo pale pale "" Kwa uchezaji huu kama Drogba atafunga bao 4 EPL msimu mzima natoa kreti la Castle hapa mgawane"

Mkuu hivi droo nayo ya kupewa pole?sasa sisi ambao ni dro je arsenal waliopigwa juzi tutawaambia nini
 
Last edited by a moderator:
Dah! Soka lingekuwa rahisi kama ulivyoandika hapo juu, basi kusingekuwa na haja ya uwepo wa makocha. Na ladha ya mashindano inakuwa haipo tena.

Kwetu jana ilikuwa dro je huko kwenu ngapi,teh teh teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom