Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mtani agosti 8 na Ntuzu poleni sana!Msivunjike moyo chukulieni matokeo positively na ndiyo mpira una probability 3 za sare kushinda au kushindwa!

Chukulieni matokeo haya kama changamoto kwenu lkn bet yangu ipo pale pale "" Kwa uchezaji huu kama Drogba atafunga bao 4 EPL msimu mzima natoa kreti la Castle hapa mgawane"

Drogba ana uhakika kuwafunga Arsenal mechi zote mbili
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu agosti 8 sijui niwape pole au hongera maana sijui kwenu droo ni matokeo mazuri au mbaya.....sikuangalia game yenu niliangalia bayern vs man city....vipi mko kileleni kwenye group???
 
Last edited by a moderator:
Hongereni sana kwa kutoa droo, maurinho ni kocha smart namkubali ni jembe kweli, make alitaka droo na kuweka akiba ya wachezaji wasiumie ili kupunguza aibu ya magoli pale etihad. Viva jose maurinyo.
 
The blues tusiumie sana hata droo ile ni nzuri, make kikosi kilchopangwa kocha alinuia kupunguza dhahama itakayotukumba pale etihad may be tunaweza tukajikakamua tukatoa droo kama washka gobore.
 
Mtani agosti 8 na Ntuzu poleni sana!Msivunjike moyo chukulieni matokeo positively na ndiyo mpira una probability 3 za sare kushinda au kushindwa!

Chukulieni matokeo haya kama changamoto kwenu lkn bet yangu ipo pale pale "" Kwa uchezaji huu kama Drogba atafunga bao 4 EPL msimu mzima natoa kreti la Castle hapa mgawane"

Hahaaaa usichokijua ni usiku wa Giza!

Ukimuona Drogba anacheza basi wafungaji watakua ni viungo! Sasa hayo magoli afunge ya nini? Atafunga km akipata nafasi!
 
Last edited by a moderator:
Wale jamaa wenyewe hawakuamini kama wangepata hata goli moja ndio maana walifurahia sana walipoona ni draw. Kwao ilikuwa kama kushinda kombe.
 
Itv kipindi cha michezo wangekifuta tu mpaka saiv siamini eti mtangazaji katangaza jana chelsea wameshinda kwa goli moja.
 
Itv kipindi cha michezo wangekifuta tu mpaka saiv siamini eti mtangazaji katangaza jana chelsea wameshinda kwa goli moja.[/QUOTE
duuuh....huyoo...mtangazaji....atakuwa....shabiki....wa...... chelsea
 
Last edited by a moderator:
Wale jamaa wenyewe hawakuamini kama wangepata hata goli moja ndio maana walifurahia sana walipoona ni draw. Kwao ilikuwa kama kushinda kombe.

Refa angekuwa FAIR walistahili points zote 3!Fabregas' goal makes me vomit!!

As I told you everyday;You are not tested yet
 
Hongereni watani kwa kuziba mapengo yote during the off season.
Timu yenu imekamilika na sioni weakness yoyote darajani mwaka huu kuanzia kipa hadi striker

Old-fashioned last man"Libero" Terry(34)cant copy with the pace of young and talented strikers!!
6-3
4-2

Bado haujaona tatizo hapo mkuu?
 
Terry anapata msaada toka kwa akina Ramirez na Cahil tofauti na Metusaker na Arteta ambao wote ni njia ya lami

Mkuu lkn avarage yao ni kuruhusu bao 1.5 per game hawa Cahil na Terry!

You cant be crowned a championship kwa beki kuruhusu bao nyingi kama hizi per game mkuu
 
Old-fashioned last man"Libero" Terry(34)cant copy with the pace of young and talented strikers!!
6-3
4-2

Bado haujaona tatizo hapo mkuu?

I guess you have a point by the way hata mimi nimeobserve sana Cahill anachoka sana ku cover makosa ya Terry. Though kwenye game ya Everton alikosea marking tukafungwa goli moja hivi...sasa hapo napo sijui alikuwa tired ama he was trying to cover for two.

Well I was thinking ts time Zouma aanze kupewa subs hata za dakika 80 more frequently kuanza ku cope.

Game za UCL Iva arudi ndani..Azpi kulia na Felipe Kushoto. Terry could be a sub...wapinzani wakishachoka.
 
Na tuanze kusaka signature ya one good right back...Iva is over 30 mambo ya kutegemea mkataba wa mwaka mmoja mmoja sio.

Next summer though...this season we are good. Terry is good..a leader..legend....but ts time we started phasing him out slowly!!!
 
Do I need to say more?You wrap up my case hommie!

Majogoo mnatucheka kwa sasa lkn baada ya miaka 2 mtakuja kumuelewa BR!

Mignolet(26);Manquillo(19);Moreno(22);Lovren(26),Sakho(23);SG mwaka wake wa mwisho atakuja Lucas Leiva(27);Coutihno(21);Sterling(20)Lallana(23);Markovic(22);Balo(24);Sturrigde(25);Hendo(24);Borin(23);Can(21)

Mabingwa EPL miaka 5 mfululizo kuanzia mwaka huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom