Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nakubaliana na ww!" huyu schurrle ni mchezaji wa mechi moja moja, hayupo constant! anaweza akangaa kwenye moja inayofuata akaboronga mbaaya ............

hata kama beki imelega! sometimes anafungwa magoli y kizembe sana ........... soon czech atarudi golini mark my word!"

Grand PA

kuna tatazo kwa Terry amedrop kiwangi kwa hizi mechi nne za kwanza hii inampa shida cahil naye anaonekana kushuka leo pale mbeleyao inabidi wakae matic,mikel,Ramires
 
Mikel atacheza ngapi apo? Matic na Ramires 6 na 8, Fabregas anapanda 10..
 
kuna tatazo kwa Terry amedrop kiwangi kwa hizi mechi nne za kwanza hii inampa shida cahil naye anaonekana kushuka leo pale mbeleyao inabidi wakae matic,mikel,Ramires

Mkuu mi nilikuwa sijaelewa maana namkubali Cahill ila hizi mechi za sijamkubali kumbe tatizo terry,pale nyuma pia kunahitaji mawasiliano,BTW sioni uziri wa man city maana pale nyuma nao hawajatulia
 
Mkuu Viol na Wakuu mashabiki wenzangu wa The Blues

Timu yetu haina tatizo ata sehemu moja! Hayo ni makosa tu ya kiuchezaji Wakati mwingine hutokea! Lkn ukitaka kujua Kua hatuna tatizo, basi subiri game ya Leo muone timu itakavyocheza asilimia mia Kwa mia ktk kila idara!
Man City ni wateja wetu tu hao na Leo tunakwenda kuwaduga tu!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mi nilikuwa sijaelewa maana namkubali Cahill ila hizi mechi za sijamkubali kumbe tatizo terry,pale nyuma pia kunahitaji mawasiliano,BTW sioni uziri wa man city maana pale nyuma nao hawajatulia

If only we opted for either;

Cech; Azpi, Cahill, Terry, Iva

Or

Courtois; Felipe, Cahill, Iva, Azpi
 
Wameshacheza mechi tano tano ila bado hawajafika pale kileleni..
a win today is very vital..
 
If only we opted for either;

Cech; Azpi, Cahill, Terry, Iva

Or

Courtois; Felipe, Cahill, Iva, Azpi

Nkwela pale nyuma patakua hivi

Courtois

Ivanovic, Terry, Cahill, Azpi.

Alafu Kati patakua hivi

Matic, Ramires, Fabrigas.

Hazard, Costa, Willian.

Kazi imeisha.

Sub itakua hivi.

Cech, Felipe, Obi, Oscar, Salah, Schullre, Remy au simba mzee Drogba!

Hawatoki Hawa Man City mkuu!
 
Huo mfumo hautakuwa mzuri kwa kuwafunga tim kama man cyt maan man cty wanapenda sana kutumia upenyo wa katikati kushambulia hivyo inabid tuchezeshe viungo weng
 
Mkuu Leo tunakwenda kuattack Kwa nguvu na kukaba Kwa nguvu!

Man City ni wabivu katikati na hii inatokana na kiwango cha Yaya Toure kushuka ktk msimu huu! Hivyo basi anamuacha Fernadinho Kua peke yake pale!

Alafu ili mpira uwe wa kasi Lazima tuweke viungo wepesi kupeleka mpira mbele ili hao City na wao wawe na kz ya kuutuzia! Alafu tukishapata Ushindi Ndio tunaingiza viungo Kazi km Obi!
 
Nkwela Ntuzu i guess Oscar anahitajika hapo. Not Willian

Mkuu Mentor hii Ndio game ya Willian maana tunahitaji kuwapeleka Hawa Man City Kutoka pande zote! Yani katikati na pembeni!
Hivyo basi km Williani hatocheza basi ule upande wake wa pembeni atacheza Ramires na Kati atasimama Matic Na Obi. Alafu nyuma ya Costa atakuwepo Fabrigas na Winger kushoto atakuwepo Hazard!

Na Sub itakua Oscar mbadala wa Fabrigas na Willian Felipe Salah na Schullre na Cech!

Bado tuko imara sn mkuu Yani ata wakipanga vp kikosi!

Ushindi Lazima Leo!
 
Last edited by a moderator:
Nkwela Ntuzu i guess Oscar anahitajika hapo. Not Willian

Mimi nakubaliana na wewe mkuu Mentor, Oscar ni muhimu sana leo maana anabadilishana vizuri sana na Fabregas zile namba kumi na nane uwanjani...kuna rotation nzuri sana kati yao...
 
Last edited by a moderator:
Mimi nakubaliana na wewe mkuu Mentor, Oscar ni muhimu sana leo maana anabadilishana vizuri sana na Fabregas zile namba kumi na nane uwanjani...kuna rotation nzuri sana kati yao...

Tusubiri tuone mkuu! Lkn kikubwa leo tunahitaji kuwashambulia Kwa nguvu sn na kukaba Kwa nguvu! Tunahitaji watu wepesi na wenye mbio sn! Sasa ktk Hilo ukimuweka Willian na Oscar, Willian anamudu vzr kuliko Oscar!
 
Mkuu Mentor hii Ndio game ya Willian maana tunahitaji kuwapeleka Hawa Man City Kutoka pande zote! Yani katikati na pembeni!
Hivyo basi km Williani hatocheza basi ule upande wake wa pembeni atacheza Ramires na Kati atasimama Matic Na Obi. Alafu nyuma ya Costa atakuwepo Fabrigas na Winger kushoto atakuwepo Hazard!

Na Sub itakua Oscar mbadala wa Fabrigas na Willian Felipe Salah na Schullre na Cech!

Bado tuko imara sn mkuu Yani ata wakipanga vp kikosi!

Ushindi Lazima Leo!

Hapana mkuu Ntuzu Oscar na Fabregas wakiwa ndani pamoja na Hazard kuna kuwa na bonge la combination, na hapo ndipo Costa anaweza fanya yake kiurahisi sana..kumbuka leo tunstakiwa kuhold mpira ili kuwashinda Manchester city....
 
Last edited by a moderator:
Grand PA sioni kama kipa ni tatizo, though tunajua uwezo wa cech. Kuna tatizo kwnye mabeki, sielewi ni coordination mbovu au nini? But nadhani huu ndo utakua msimu wa mwisho wa Terry.

Nahisi, sina uhakika sana ila naona kama Cech ana uwezo mkubwa sana wa kuwapanga akina Terry na Cahill kuliko Thibat
 
Last edited by a moderator:
Hapana mkuu Ntuzu Oscar na Fabregas wakiwa ndani pamoja na Hazard kuna kuwa na bonge la combination, na hapo ndipo Costa anaweza fanya yake kiurahisi sana..kumbuka leo tunstakiwa kuhold mpira ili kuwashinda Manchester city....

Sawa mkuu Lkn Mimi binafsi nikiangalia kikosi chetu chote watakaocheza na watakaokua sub wote watakua vzr tu!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom