Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Ntuzu, umekuja kutafutwa na 'mlezi' wenu...:A S-eek:
Mkuu we acha tu. Unaweza ukabadili Lugha.
Hahahahaaaa
Ntuzu, umekuja kutafutwa na 'mlezi' wenu...:A S-eek:
Mlezi 'wao'? Yeye na nani?
Mkuu we acha tu. Unaweza ukabadili Lugha.
Hahahahaaaa
karibu Khantwe..samahani sijajua kama we ni ME au KE..
Ila karibu jamvini..
uliposema wakipotea nyumbani utakuja kuwatafuta humu ndo nikasema 'mlezi' umekuja kuwatafuta...
uwe na amani mgeni wetu..
kwa hiyo mkuu Ntuzu; kule MMU wewe unashikilia wadhifa gani?
😛eep:
karibu mkuu RRONDO..
tuendelee na maisha ya mpira..wiki hii angalau tutakuwa na stori nyingi maana premier league inarejea jumamosi..
on top..CHELSEA FC
MISSION ACCOMPLISHED!!!!!!!!!!mission yangu leo ilikuwa kuhakikisha thread hii inafika pages 900!!!! haiwezekani timu kubwa kama hii page chini ya 1000 miaka yote hio!!!! kama pages za thread zingekuwa ndio points kwenye league arsenal wangekuwa mabingwa kila mwaka!!!
Fabregas kasema moyo wake uko arsenal hapo anatengeneza pesa tu....
karibu Khantwe..samahani sijajua kama we ni ME au KE..
Ila karibu jamvini..
uliposema wakipotea nyumbani utakuja kuwatafuta humu ndo nikasema 'mlezi' umekuja kuwatafuta...
uwe na amani mgeni wetu..
I will always feel a Gunner and I know that I am going to return to [the Emirates Stadium] and I feel that it will be a special moment but I am committed,' Fabregas told El Pais.'Remember that I played a Champions League final against Barcelona. I swear to you that I would have done anything to win that game even though I'd been Barcelona since I was a kid.
'So you know that when I play against Arsenal I will know who I am playing with, who my teammates are and who I will defend and I know that the Arsenal fans will understand; I have no doubt.'
The midfielder had a number of run-ins with Chelsea during his previous spell in England, and was more surprised than anyone to end up in blue.
He said: 'If you'd told me five years ago that I would play for Chelsea and Mourinho I would not have believed you, but life changes.
'I spoke with my agent and told him to find me a team. Chelsea's offer arrived and for me it was about returning to London, the place where I did best.
'There was no better exit. I spoke with Mourinho and he told me things that I needed to hear. I felt valued, felt that I was going to be part of something important.'
MISSION ACCOMPLISHED!!!!!!!!!!mission yangu leo ilikuwa kuhakikisha thread hii inafika pages 900!!!! haiwezekani timu kubwa kama hii page chini ya 1000 miaka yote hio!!!! kama pages za thread zingekuwa ndio points kwenye league arsenal wangekuwa mabingwa kila mwaka!!!
Nashukuru mwenyeji...
Shukrani Kubwa iende kwa agosti 8, Ntuzu, Mourinho, RRONDO, Mentor na wengineo ambao kwa kutokukusudia sijawataja hapa lakini mpo Active member wa the Chelsea FC Thread,
Kwa kweli Mmeinyanyua Thread sana kiasi kwamba haipiti siku bila mtu kuja kuchungulia kama kuna updates gani zimekuwa added,
Thanks All ,
kuna timu Nyingi zinavaa blue England lakini Chelsea ni TRUE BLUES
Nashukuru mwenyeji...
mkuu Ntuzu, kasema nikuite 'shemeji' nimeshapata jibu kuwa wewe ni KE..
karibu humu jamvini yaani, ..:welcome:
Shemeji unafika hadi huku!???