ok tell me what happened after atletico game???!! u went missing for more than 72hrs!!!
Hii comment Imenichekesha....imebidi nikugongee tu like ila mi mpitaji tu..
Hii comment Imenichekesha....imebidi nikugongee tu like ila mi mpitaji tu..
Aya mukulu.
Fabregas kasema moyo wake uko arsenal hapo anatengeneza pesa tu....
Hahaaaa mi nilikuwepo na nilijibu hoja zenu zote. Ebu rudi ukaangalie huko nyuma.
Hahahaaaa mama mchungaji upo? Leo umepita ktk nyumba yetu? Karibu sn mamito.
ha ha ha ha ha huyu bro wangu najua wapi huwa tunakutana huku nyumbani kukiwa hakukakliki!!!
Asante nlipita kuwajulieni hali tu hapa kijiweni kwenu ili njue kwa kuwatafutia watu wakipotea nyumbani
Fabregas kasema moyo wake uko arsenal hapo anatengeneza pesa tu....
Mkuu RRONDO unajua mimi huwa nipo jamvini..muda wote..unakumbuka wakati ambapo wewe na wenzako mlienda likizo? ulikuwa unapita humu unanikuta unaanza kusema eti mbona wee unashinda jamvini kila wakati..:A S-eek:
kuhusu Ntuzu na Mentor; wewe hapo RRONDO huwa unawashawishi waende MMU sijui mnafuata nini kule..ipo siku nitakuja kuwatafuteni huko...
mkuu wewe tulia..sisi tunapiga SWANSEA CITY jumamosi na kufikisha 12..wewe jipange na mechi yako na QPR...:spit:
Ntuzu, umekuja kutafutwa na 'mlezi' wenu...:A S-eek:
umeamka eeh karibu nyumbani kwako.....nilishavamia asubuhi kumbe muhusika ulikuwa lindoni.