Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

article-0-1907F8F6000005DC-596_634x465.jpg

utu uzima dawa..ha haha hapa Babu Cech akiokoa mpira uliokuwa ukielekea wavuni..mechi ya FA 2013 tuliwafunga manchester 1-0..goli la Demba Baaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.:hail:
 
CHELSEA IMEKAMILIKA KILA IDARA.

ngoja niorodheshe hapa kila mchezaji na mbadala wake..

1. Petr Cech/Thibaut Courtois/Mark Schwerzer {wote makipa wazuri sana}
2. Ivanovic{huyu anacheza hadi beki wa kati}/cesar azpilicueta..{huyu kwake pia ni kushoto namba 3}
3. Azpilicueta/Filipe luis/Nathan Ake.
4. Garry Cahill/Kurt Zouma/Ivanovic.
5. John Terry/Christensen{bwana mdogo anavaa namba 31}

haya kwenye viungo wa kukaba na viungo washambuliaji:

Matic, Ramires, Mikel, Fabregas, Mo Salah, Oscar, Eden Hazard, Willian, Schurrle{huyu kwa sasa pale Chelsea anajukumu la pekee yake kabisa nitakuja kulijadili baadaye.}

Wafungaji: Diego Costa, Loic Remy na 'Simba Mzee'{simba mzee anawasubiri Arsenal}:hail:
 
Collect me if am wrong lakini Ramires hakucheza kama pacha wa Matic, alicheza pembeni (no.7) ingawa alikua anaibiaibia na katikati, no.6 alikua Matic na no.8 alikua Cesc, ndio maana baadae JM baada ya kuona beki haina ulinzi wa kutosha alimuingiza Mikel akacheze kuingo ya chini na Matic ili Cesc apande juu no.10 kuchukua nafasi ya Willian

Matic na Ramires walipangwa kucheza majukumu ya namba 6 na 8.

Cesc Fabregas alipangwa kucheza majukumu ya Oscar na ndiyo maana akatoa ile assist ya kwnza ya goli akiwa kwneye 'number 10' role.

kuhusu Ramires kucheza winga namba 7 ilitokea baada ya JOHN OBI MIKEL kuingia. Baada ya Mikel kuingia akacheza na Matic kati, Ramires akaenda upande wa Willian.

Tangu mwanzo wa mcheza game plan ilikuwa Matic 6, Ramires 8"box to box" na Cesc # 10, lakini kumbuka jambo moja huyu Ramires ni mtu wa kupanda na kushuka kama tu beki wetu Ivanovic..alifunga goli akiwa ndani ya box la adui wakati yeye ni beki namba 2..tena haikuwa kona wala mpira wa adhabu. ni move ya kawaida tu. so far so good! Chelsea fc mwaka huu iko sawa sana mkuu Mourinho.

Kumbuka mwaka jana ulikuwa unatukosoa kwamba tunapoteza pointi kwa watoto, sasa tunakusanya mbona hamtaki kutupongeza jamani??

siwaelewi..mwaka jana mechi ya kwanza vs Everton tulifungwa 1-0, sasa tumeshinda 6-3 hayo ni maendeleo makubwa sana.
subiri tuchezi mechi 10 kwanza tukusanye pointi za kutosha alaf njoo useme kwamba beki ni mbovu..

Mkuu agosti 8 umemjibu ndugu yetu Mourinho vzr sn.
 
Last edited by a moderator:
hayo mapambo ya harusi yatafanyika wapi? maana naona umeseme 'location' yako ni mbinguni..ha haaha haha ha haah mwaka huu kazi ipo jamani.

karibu lakini ladyfurahia

natumaini mkuu Ntuzu atakupa utambulisho wa humu nyumbani...ntuzu eeh?? ntuzu eeh?? njoo utoe utambulisho..maana hilo ndo jukumu lako 'maalum'.:spit:

ladyfurahia karibu sn jamvini jukumu lako na wewe ni kumwaga picha mamito.
 
Last edited by a moderator:
Mimi namheshimu sana huyu mkuu 'mourinho' ukosaoaji wake unatusaidia.

with all respect namkaribisha asikose kutembelea jukwaa letu. Ingawa yeye ni mtu wa Juve{ipo siku nitamuuliza kwa nini anajiita Mourinho badala ya kuitwa Conte au Pirlo}

kwa wageni wastaarabu wote tutawajibu vizuri kwa heshima na adabu..mpira ni kueleweshana..

CHELSEA FC FOREVER BLUE.

Mkuu agosti 8 umemjibu ndugu yetu Mourinho vzr sn.
 
Mimi namheshimu sana huyu mkuu 'mourinho' ukosaoaji wake unatusaidia.

with all respect namkaribisha asikose kutembelea jukwaa letu. Ingawa yeye ni mtu wa Juve{ipo siku nitamuuliza kwa nini anajiita Mourinho badala ya kuitwa Conte au Pirlo}

kwa wageni wastaarabu wote tutawajibu vizuri kwa heshima na adabu..mpira ni kueleweshana..

CHELSEA FC FOREVER BLUE.

Ata mimi mkuu namheshimu sn huyu ndugu Mourinho michango yake ni mizuri sn

Karibu sn mkuu Mourinho
 
Last edited by a moderator:
kumbe huwa unaenda MMU kupiga kampeni? lete mashabiki humu ndani bhana..

wengine walikuwa MAN UROJO..wanakaribishwa..

Hahahaaaa watakuja wengi tu wadau wa MMU mkuu tutajumuika pamoja ktk nyumba yetu hii ya furaha.
 
Mimi namheshimu sana huyu mkuu 'mourinho' ukosaoaji wake unatusaidia.

with all respect namkaribisha asikose kutembelea jukwaa letu. Ingawa yeye ni mtu wa Juve{ipo siku nitamuuliza kwa nini anajiita Mourinho badala ya kuitwa Conte au Pirlo}

kwa wageni wastaarabu wote tutawajibu vizuri kwa heshima na adabu..mpira ni kueleweshana..

CHELSEA FC FOREVER BLUE.

wastaarabu humu si wale wanaowasifia.....tukipinga tu sio wastaarabu!!
 
MMU hawawezi kuja kwa ma MAFIOSO HUMU!!!!!!!!!!!

Hahahaaaaa

Naona Urojo na Maria na Farao wametua kwenu mmeanza kujidanganya kua nyie ni mabingwa huku mnasahau tumewapita point 7 hahaaaaa. Aisee nyie bhana vichekesho kweli.
 
Hahahaaaaa

Naona Urojo na Maria na Farao wametua kwenu mmeanza kujidanganya kua nyie ni mabingwa huku mnasahau tumewapita point 7 hahaaaaa. Aisee nyie bhana vichekesho kweli.

sisi hatuwezi kuchukua ubingwa....tutashangilia majina makubwa tu na chenga....huku FALCAO kule DI MARIA.....pembeni kidogo MATA.....ROONEY....VAN PERSIE ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
RRONDO mkuu umepotea sana bhana..vipi lakini?

:A S-eek:

sisi hatuwezi kuchukua ubingwa....tutashangilia majina makubwa tu na chenga....huku FALCAO kule DI MARIA.....pembeni kidogo MATA.....ROONEY....VAN PERSIE ha ha ha ha ha ha ha ha ha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom