Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Eden-Hazard-Chelsea-Liverpool-Photographer-of_2984075.jpg

chelsea wanashinda, liverpool wanashangaa tu.:A S-eek:
 
article-2576196-06DC9CD200000514-326_634x423.jpg

OGOPA SANA; OGOPA SANAA, OGOPA SANAA:A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek::A S-eek:

1408408463509_wps_1_fabregas.jpg

maestro akigonga kisigino kwa IVANOVIC aliyepiga krosi ya goli...

nyie wapinzani kaeni mbali sana..ha aha huu mwaka mbaya snaa kwenye aisee.
 
Nakuambia hivi Chelsea ni tishio kubwa sana. Kila mtu akija cheza na sisi anajilinda asifungwe, kuanzia timu ndogo hadi timu kubwa. Yaani Liverpool ikikutana na sisi inajilinda wakati sisi twataka funga wao
 
EVERTON ni mzazi wake na Liverpool mkuu Ntuzu, sema tu kadumaa...
tunawachapa ili tuwashitue vijana wa LFC..

alaf wao watakuwa na SPURS wakishinda ni droo.. ha aha ha hali ni mbaya sana kwa LFC mwaka huu.:wacko:

Hahaaaaa Everton iliugua maradhi ya utapia mlo ndo ikadumaa.

Lfc wana kz ingine kwa spurs. Lfc watapoteza tu hiyo game
 
Watu wanajitoa ufahamu kwa kuiona Chelsea ni timu ndogo wakati ni timu kubwa sana tu, tena ni timu ambayo itakuwa na makombe mengi sana 21st Century
 
Mimi nina hakika msimu huu twazidi zile record ya 04/05
Maana msimu ule tulikuwa timu iliyofungwa magoli machache sana 9 tu.
Na pia Tukawa timu iliyofikisha point nyingi kwenye EPL chini ya Morinho 95.
Pia Chelsea ilikuwa ni timu yenye defence nzuri kuliko timu zote.
Na piaaaaa Timu iliyobeba makombd yote ya UEFA kuanzia Super Cup, EUROPA na Champions league.
 
Nakubaliana na wewe mkuu kwa asilimia zote na mfungaji bora lazima atokee chelsea msimu huu! Watake wasitake
 
Afu manure fans wanasema Man city and chelsea are ruining football!!!

Tatizo ni kwamba wanaspend BIG kwa average players (fellaini, herrera, Shaw, Young etc) wenzao wanaspend BIG kwa kina Matic, Costa, Willian, Reges, Jovetic, Fernandinho!!!

KIKOSI KIMEJAA MEDIOCRE PLAYERS KIBAO, AFU KILA SIKU WANATUPIGIA MAKELELE.

Van Persie naye muda wake ndo unamalizika (majeruhi ya mara kwa mara na UMRI)..
 
Nimeskia COSTA kawa ruled out kwa week6, hope ts true..yule jamaa naombea sana tunapokutana na Chelsea asiwepo..manake nilivyomuona HANA hata kale ka HALI ka Kuadopt League kwanza..manake anatupia tu yule M-BABA.

Na akimaliza kama MFUNGAJI bora kwenye League katika msimu wake wa kwanza itakuwa ni DHARAU SANA!!!
 
Hahahaaaaaa

Mkuu tuko fiti sn mkuu ata km Costa hayupo
 
Nimeskia COSTA kawa ruled out kwa week6, hope ts true..yule jamaa naombea sana tunapokutana na Chelsea asiwepo..manake nilivyomuona HANA hata kale ka HALI ka Kuadopt League kwanza..manake anatupia tu yule M-BABA.

Na akimaliza kama MFUNGAJI bora kwenye League katika msimu wake wa kwanza itakuwa ni DHARAU SANA!!!

Mkuu Mosdef salama?

usiwe na hofu..tutamchezesha SIMBA MZEE..

the Telegraph had more:
It is understood Costa suffered a hamstring problem in training on Wednesday that has prompted fears he could be out for up to six weeks.

But Chelsea are hoping further assessment will show the injury is not too bad and Costa has still not given up on facing Everton at Goodison Park.

AC Milan have held talks with Chelsea over the transfer of Fernando Torres, according to Sky sources.

The Serie A club's vice-president Adriano Galliani hinted at a move for Torres this week, and the clubs have now begun discussions over a potential deal.

Sky Sports' Spanish football expert Guillem Balague believes agreement on a fee is close, although he says the deal is not done yet.
Chelsea manager Jose Mourinho said at the weekend Torres remains in his plans, but a player who cost the club £50m did not even make the squad for Saturday's win against Leicester.

If a move goes through, Torres could be joined in Milan by current Chelsea team-mate Marco van Ginkel.
The Dutch midfielder has recovered from a serious knee injury suffered early in his first season in England, and Milan want to take him on loan - although Sky Italia reports that van Ginkel prefers to stay at Chelsea.
Galliani said: "We are confident. We have made our proposal to Chelsea and are now waiting on an answer. We hope we can get him."
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom