Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
Kama nilivyosema hizi ni habari kutoka the Guardina..
CHELSEA FC - bado hawajasema kwamba COSTA atakaa nje muda gani.
Hakuna haja ya mashabiki wa CHELSEA FC kuwa na hofu yoyote..
timu imetimia na jumamosi tunaenda LIVERPOOL kuchukua pointi 3...
Mara nyingi hizi habari za kuumia mchezaji hazinipi tabu kwasababu chelsea ni timu isiyotegemea mtu mmoja. Chesea imejengwa kiuwezo kwa mchezaji yoyote kufunga