![]()
hii ilikuwa FA CUP FINAL - MEI 2009.
CHELSEA FC 2 - 1 EVERTON.
huyu mtu mweusi alifunga goli kwenye fainali hiyo. mtu pekee "mweusi" kufunga katika kila fainali ya FA aliyocheza.
DIDIER DROGBA 'SIMBA MZEE' HABARI NYINGINE..KUNAPOKUWA NA KOMBE UWANJANI.:first:
Ntuzu kijana wako Costa kaumia na atakaa nje takribani miezi 2
Ina maana sasa attack ataongoza Drogba au Torres?
Ur not serious even a bit!Majogoo ya Liverpool hadi Costa kurudi tumewaacha points 15
Costa yupi huyo?
Au yule wa Mwenge Kariakoo, Mwenge Posta?
Costa mzima
hadi sasa mmetuacha pointi ngapi kwani?
qwi qwi qwi vijogoo bwana; wewe umechapwa 3-1 alaf unawaza kuniacha pointi 15?
ha haha acha utani mkuu..
Diego Costa wa Chelsea kaumia jana mazoezini na ni breaking news kila kwenye sports channels!
Drogba ataongoza strike forces yenu mechi 8 za EPL ehehehehehe
Nimefungwa na team bora;nimefungwa na bingwa mtetezi!Sijacheza na Burnley wala Leicester walio kosa point kwa ujinga wao wenyewe
Mkuu you did not prove anything yet
THE GUARDIAN - UINGEREZA.
"Chelsea suffered an injury scare in training on Wednesday after Diego Costa pulled up with a hamstring injury, though the severity of the strain remains to be determined.
The Spain international, a £32m signing from Atlético Madrid this summer, will undergo further tests at Cobham and while the initial prognosis appeared grim, there are hopes the injury will not prove as severe as first feared.
The 25-year-old has scored in each of his first two appearances in the Premier League and has swiftly established himself as first-choice and a key member of José Mourinho's preferred line-up.
Although Chelsea have not written off his chances of featuring at Everton on Saturday, even if the injury rules the Brazil-born forward out for the forseeable future they may sanction Fernando Torres's mooted loan move to Milan.
Torres is receptive to the possibility of joining Milan, though talks between the Italian club and Chelsea have yet to reach agreement over the Spaniard's wage package. The striker, who moved from Liverpool for a then British record £50m in January 2011, has two years to run on his £175,000-a-week contract and is unwilling to take a pay cut if he departs Stamford Bridge. Yet having rarely thrived over his three years at the club, there is a recognition that he will only ever play a fringe role at Chelsea after falling behind Costa and even the veteran Didier Drogba in the pecking order.
"Our goal is to take a great striker," said Milan's vice-president, Adriano Galliani. "We will see if we achieve our aim, but Fernando Torres? He is a great striker. We are actively working."
Should Torres leave, Chelsea would seek to add a third senior forward to their ranks before the transfer window closes on Monday, with interest established in Roma's Mattia Destro and, more intruigingly, the Monaco striker Radamel Falcao.
Falcao is effectively available for loan and would be open to a move to London, even though loan fees and wages combined would see a season-long switch cost around £20m. Chelsea have long coveted Falcao, who shares his agent, Jorge Mendes, with Mourinho.
VEMA MKUU;
kumbuka APRIL 27 PIA ULIFUNGWA NA TIMU BORA KABISA..2-0 NDANI YA ANFIELD...
CHELSEA FC - FOREVER BLUE.
Naona unachagua article za kusoma kuhusu kuumia kwa Costa!Ukweli ni kuwa HATACHEZA kwa takribani miezi 2!Everton mtamuanzisha Torres ambaye kwenda kwake Milan kumesitishwa ahahah!
Soma hapa zaidi:
www.soccernet.com
Bora agosti 8 umeleta habari kamili. Huyu shabiki wa washindwa ambao hawajawahi onja Barclays Premier League Title toka 92 anapata wasi wasi sana.
Naona unachagua article za kusoma kuhusu kuumia kwa Costa!Ukweli ni kuwa HATACHEZA kwa takribani miezi 2!Everton mtamuanzisha Torres ambaye kwenda kwake Milan kumesitishwa ahahah!
Soma hapa zaidi:
www.soccernet.com
Ntuzu kijana wako Costa kaumia na atakaa nje takribani miezi 2
Ina maana sasa attack ataongoza Drogba au Torres?
Ur not serious even a bit!Majogoo ya Liverpool hadi Costa kurudi tumewaacha points 15